Lissu: Wakili msomi, mwanasiasa asiye kiongozi mzuri

Wapi nimeongelea alikua na mpinzani? Wewe umesema Mbowe atamaliza siasa za Lissu, ndio nasema kama JPMA na risasi zote zile na kumfukuza ubunge na bado Lissu akarudi kushine kwenye siasa, ndio Mbowe ataweza mmaliza?
Mbowe atammaliza sababu huo uenyekiti atashinda, hatompa fursa ya kugombea uraisi.

Baada ya hapo Lissu atakuwa mwanachama wa kawaida, ambae hawezi tumia platform ya CDM kujijenga that’s not rocket science.

Hayo ya Magufuli kumpiga risasi uwezi thibitisha pia.
 
Kuna kura za maoni zinaendelea kupigwa humu, ukishamaliza kusoma maoni ya watu kwenye huu uzi wako, nakushauri nenda kaangalie hizo kura za maoni zinamuweka wapi Lissu.
 
CHADEMA kingekuwa chini ya John Heche, kingevutia kundi kubwa la vijana kupambania mabadiliko ya kweli katika nchi. Kwangu mimi naona Tundu Lissu na yeye bado hatoshi.
Heche awe Katibu Mkuu wa Mwenyekiti Lussu.
Chama kitakuwa na foward hatari kama ile Barcelona ya kina Messi. Ma ccm ni wahuni inatakiwa siasa za combination hiyo hapo sasa!.
 
Anachokosa Lissu ni busara za kulemba lemba na lugha ya upole. Vinginevyo ni kiongozi mzuri kuliko watu wengi. Anafaa although not the best.
Note: simlinganishi na Mbowe.
Haahaa nini maana ya busara? hizi ni blah blah, kiongozi amewahi kuwa makamu anashindwaje kuwa mwenyekiti?
 
CHADEMA kingekuwa chini ya John Heche, kingevutia kundi kubwa la vijana kupambania mabadiliko ya kweli katika nchi. Kwangu mimi naona Tundu Lissu na yeye bado hatoshi.
Haahaa hongera kwa kunyoa maoni, lissu kwangu ndo silaha pekee iliyobaki chadema kwa sasa.Atawavusha sana
 
Relax. Kwa nini mlimpa u makamu mwenyekiti wakati mnaju si kiongozi mzuri? Kwa nini kila mwaka mnawapelekea wanaikungi ili awe mbunge wao wakati mnajua hawezi?
Jambo hilo la TAL kutokua kiongozi, ndo umelijua leo baada ya kutangaza kuchuana na Ayatollah?
 
Mbona kugombea urais 2020 Mbowe alichukua fomu ila alipoona upepo akakimbia. Lissu akishindwa kihalali haiwezi kuwa mwisho wake maana he's politically active pengine kuliko mwanasiasa yoyote Tanzania so hawezi potea kisa kuwa mwanachama wa kawaida pengo litaonekana.

Ila nikwambie tu Lissu sio zitto, akifanyiwa figisu ndio utakua mwisho wa Mbowe na kitageuka kama NCCR au CUF. Maana Hata Urais Lissu akigombea kupitia ACT bado atamzidi kura Mbowe
 
Ahahahahahah.
Kweli bwanaa..
Mimi jana sikua sana online ila nikiwa narud home nasikiliza Dochevele ndio nikasikia Lissu kaliamsha huko afrika mashariki, heeh kurud mtandaoni, kwel bwana kachafua hali ya hewa 😂😂
Kama taifa ni lazima tuchangamshwe kidogo.Siyo kuzubaa kama kipolo cha dona.Hata mzee Kikwete anajua hilo.
 
Abdul na genge lenu mmeannza kuhaha
 

CCM mnapata taabu sana!
 

Huyu simba kawalaza watu uchi jana aisee, sio kwa nyuzi na kila uchafu unaojazwa kwenye hii server duh! Hebu tuambie wewe kiongozi mzuri na nani na umetumia vipimo gani kumpima? Unaugua ukiwa wapi kijana?
 
Heche agombee nafasi ya Mwenyekiti Chadema.
 
Anachokosa Lissu ni busara za kulemba lemba na lugha ya upole. Vinginevyo ni kiongozi mzuri kuliko watu wengi. Anafaa although not the best.
Note: simlinganishi na Mbowe.

Hiki ni nini? Ndio kipimo cha viongozi? Tusaidie kufahamu kijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…