Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Changamoto ya Lissu ni kujiamini kupita kiasiSasa ataongoza je kwa hali hiyo? Kwani kugombea nafasi fulani hadi ushambulie wengine?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Changamoto ya Lissu ni kujiamini kupita kiasiSasa ataongoza je kwa hali hiyo? Kwani kugombea nafasi fulani hadi ushambulie wengine?
CHADEMA kingekuwa chini ya John Heche, kingevutia kundi kubwa la vijana kupambania mabadiliko ya kweli katika nchi. Kwangu mimi naona Tundu Lissu na yeye bado hatoshi.
Utoto mwingi bado umemjaa kichwani, japo anakaribia miaka 60.Changamoto ya Lissu ni kujiamini kupita kiasi
Utoto mwingi bado umemjaa kichwani, japo anakaribia miaka 60.
Utoto ni kudhani unaweza amka asubuhi moja na kumvaa mwenyekiti wa chama, wakati kamati kuu yote viongozi wa majimbo keshaisuka ni watu wake.Ukubwa mwingi hali mna miaka 18 mmefanya nini, wapi?
Utoto ni kudhani unaweza amka asubuhi moja na kumvaa mwenyekiti wa chama, wakati kamati kuu yote viongozi wa majimbo keshaisuka ni watu wake.
Vita mbinu
Mbowe anaushawishi ndan ya Chadema na Ccm ila sio boraVita mbinu, Lissu ni mtoto kwa fisadi Mbowe kwenye siasa.
Amekurupuka na si ajabu Mbowe aliacha kazi ya ukarabati wa dari aone wapi panapovuja.
Lissu hana mikakati ya kumshinda Mbowe miaka 800 uenyekiti wa CDM.
Vita mbinu, sio kukurupuka; hapo ndipo Lissu alipoonyesha bado.
Sasa sisemi Mbowe ndio kiongozi sahihi wa CDM, ila Lissu sio tactical. Mbowe hiyo coup attempt yao anaizima dakika moja tu.
If anything imeonyesha uchanga wa Lissu kwenye siasa.
You are better than that.CCM mnapata taabu sana. Kwa hiyo mmeumia mno na hapa mnalia machozi tusiyaite ya mamba?
Sasa chama tu mtu mmoja anakaa miaka na miaka kwenye kiti je mkipewa hii nchi. Hembu kuweni serious sasa. Zama zina badilika weka kura watu wapige apatikane mshindi na ukomo wa kuwa mwenyekiti muweke ndani ya chama chenu. Sasa mnapotaka wananchi wawape imani yao kwa muenendo huu nani atawaamini kuwa mtatuletea demokrasia safi nchiniMimi namwona Tundu Lisu, mtu imara sana, mwanasheria mzuri, mzalendo wa kweli kwa Taifa lake na mtu mwenye misimamo thabiti asiyeyumbishwa.
Baada ya kumsikia Jana akitangaza nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA taifa nilijifunza kitu kipya kuwa, pamoja na uzuri na uwezo mkubwa sana alionao, TL siyo kiongozi mzuri kwa sababu ya “ UBINAFSI” aliouonesha katika hoja zake. Kiongozi anayesema “Mimi nita…” atakuwa mbaya sana akiwa madarakani. Uongozi ni “collective responsibility” na siyo “one-man-show”.
Yaliyofanyika katika taasisi ambayo yeye ni Makamu Mwenyekiti hawezi kujitenga nayo. Kujaribu kujitenga nayo ni “udhaifu mkubwa kwake”. Hata akifanikiwa kuwa Mwenyekiti Taifa wa CHADEM, anatakiwa kutekeleza maamuzi ya vikao na wala si matakwa yake. Hoja ikipitishwa kwenye kikao, Mwenyekiti kazi yake ni kusimamia utekelezaji.
Wakati sikubaliani kabisa FAM kuendelea kuongoza CHADEMA, bado sikuridhishwa na TAL uwezo wa kiuongozi. Wanachama wa CHADEMA waendelee kuchukua fomu kugombea Mwenyekiti Taifa.
Sasa hiyo kweli ni sifa ya Kiongozi mzuri? Yaani ili ugombee nafasi unawashambulia wengine?Changamoto ya Lissu ni kujiamini kupita kiasi
Kulemba lemba kwenye siasa = being diplomatic; using polite languageHiki ni nini? Ndio kipimo cha viongozi? Tusaidie kufahamu kijana
Ni mtazamo ambao nakubaliana nao.Mbowe anaushawishi ndan ya Chadema na Ccm ila sio bora
Ni bora shetani umjuae kuliko jini usilolijua
Kuna nyuzi nying sana humu zitaanzishwa na wana Ccm wakijifanya ni chadema na kuna nyuzi nying sana za wanachadema zitafunguliwa humu kumponda na kumshusha lisu na wengne wataenda mbali ad kusema lisu amekurupuka, lisu anataka fanya mapinduzi, lisu ni msaliti na lugha zingne zote mbaya
Utoto ni kudhani unaweza amka asubuhi moja na kumvaa mwenyekiti wa chama, wakati kamati kuu yote viongozi wa majimbo keshaisuka ni watu wake.
Vita mbinu, Lissu ni mtu wa his
AbadilikeUtoto mwingi bado umemjaa kichwani, japo anakaribia miaka 60.
Kila mtu na kasoro zakeSasa hiyo kweli ni sifa ya Kiongozi mzuri? Yaani ili ugombee nafasi unawashambulia wengine?
Daa nimecheka sana mwezake Kenya huko ndg miguna miguna atakuwa wapi kwasasaIla Lissu ni kiboko!Akiamua kulichangamsha taifa ni dakika mbili tu anatumia.
Wenye akili nyingi sana hawatakiwi kushika nafasi za juu za uongozi. Mmojawapo ni Lisu. Nafasi kama uwaziri mkuu ndio inamfaa zaidi masna ni mtu wa kutenda.Mimi namwona Tundu Lisu, mtu imara sana, mwanasheria mzuri, mzalendo wa kweli kwa Taifa lake na mtu mwenye misimamo thabiti asiyeyumbishwa.
Baada ya kumsikia Jana akitangaza nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA taifa nilijifunza kitu kipya kuwa, pamoja na uzuri na uwezo mkubwa sana alionao, TL siyo kiongozi mzuri kwa sababu ya “ UBINAFSI” aliouonesha katika hoja zake. Kiongozi anayesema “Mimi nita…” atakuwa mbaya sana akiwa madarakani. Uongozi ni “collective responsibility” na siyo “one-man-show”.
Yaliyofanyika katika taasisi ambayo yeye ni Makamu Mwenyekiti hawezi kujitenga nayo. Kujaribu kujitenga nayo ni “udhaifu mkubwa kwake”. Hata akifanikiwa kuwa Mwenyekiti Taifa wa CHADEM, anatakiwa kutekeleza maamuzi ya vikao na wala si matakwa yake. Hoja ikipitishwa kwenye kikao, Mwenyekiti kazi yake ni kusimamia utekelezaji.
Wakati sikubaliani kabisa FAM kuendelea kuongoza CHADEMA, bado sikuridhishwa na TAL uwezo wa kiuongozi. Wanachama wa CHADEMA waendelee kuchukua fomu kugombea Mwenyekiti Taifa.
All the best kwenye harakati zake.Wewe ni ant Lisu! Acha Lisu ajaribu bahati yake, watu wengi wanampenda Lisu kuliko mtu mwingine yeyote
Too late, keshavuka mipaka ya uvumilivu ndani ya CDM hiyo ndio conclusion yangu (aina maana nitakuwa sahihi mwisho wa siku).Abadilike