Tundu Lissu ndiye anayefaa . Hakuna kiongozi perfect.
Kama naziona aina za kina imhotep, Allen Kilewella, Retired, JokaKuu, Erythrocyte, johnthebaptist, Tlaatlaah, Lucas Mwashambwa na wale wengine hadi Kizimkazi huko:
Ukombozi si lelemama!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tundu Lissu ndiye anayefaa . Hakuna kiongozi perfect.
Ila Lissu ni kiboko!Akiamua kulichangamsha taifa ni dakika mbili tu anatumia.
I support youCHADEMA kingekuwa chini ya John Heche, kingevutia kundi kubwa la vijana kupambania mabadiliko ya kweli katika nchi. Kwangu mimi naona Tundu Lissu na yeye bado hatoshi.
Umejuaje? Unajimu?CHADEMA kingekuwa chini ya John Heche, kingevutia kundi kubwa la vijana kupambania mabadiliko ya kweli katika nchi. Kwangu mimi naona Tundu Lissu na yeye bado hatoshi.
Munyampaa Ndude ni kiboko.Ngoja aje@bintikiziwi amuone mjomba wake.Taifa limelala sn bora siasa za amsha amsha zirudi tulishazubaa sana kiongozi! Hii kutangaza nia tu jana kila chawa na uvccm wanahaha huko walipo, nchi nzima ilibaki inasikiliza somo. Alikuwa anafundisha taifa yani, kila mtu alitoka na kitu kipya!
Ndio maana anataka katiba ibadilishwe ili viongozi wawe na ukomo wa madaraka. Na isitoshe amependekeza kuwa ba chombo huru cha kusimamia chaguzi ndani ya chama ili apatikane kiongozi anayetakiwa na wengi kihalali. Pia ametahadharisha kuhusu jukumu la kusaka fedha kuwa la mtu mmoja maana ni hatari kwa taasisi. Sasa hapo ubinafsi wake ni upi?Mimi namwona Tundu Lisu, mtu imara sana, mwanasheria mzuri, mzalendo wa kweli kwa Taifa lake na mtu mwenye misimamo thabiti asiyeyumbishwa.
Baada ya kumsikia Jana akitangaza nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA taifa nilijifunza kitu kipya kuwa, pamoja na uzuri na uwezo mkubwa sana alionao, TL siyo kiongozi mzuri kwa sababu ya “ UBINAFSI” aliouonesha katika hoja zake. Kiongozi anayesema “Mimi nita…” atakuwa mbaya sana akiwa madarakani. Uongozi ni “collective responsibility” na siyo “one-man-show”.
Yaliyofanyika katika taasisi ambayo yeye ni Makamu Mwenyekiti hawezi kujitenga nayo. Kujaribu kujitenga nayo ni “udhaifu mkubwa kwake”. Hata akifanikiwa kuwa Mwenyekiti Taifa wa CHADEM, anatakiwa kutekeleza maamuzi ya vikao na wala si matakwa yake. Hoja ikipitishwa kwenye kikao, Mwenyekiti kazi yake ni kusimamia utekelezaji.
Wakati sikubaliani kabisa FAM kuendelea kuongoza CHADEMA, bado sikuridhishwa na TAL uwezo wa kiuongozi. Wanachama wa CHADEMA waendelee kuchukua fomu kugombea Mwenyekiti Taifa.
Ndio maana anataka katiba ibadilishwe ili viongozi wawe na ukomo wa madaraka. Na isitoshe amependekeza kuwa ba chombo huru cha kusimamia chaguzi ndani ya chama ili apatikane kiongozi anayetakiwa na wengi kihalali. Pia ametahadharisha kuhusu jukumu la kusaka fedha kuwa la mtu mmoja maana ni hatari kwa taasisi. Sasa hapo ubinafsi wake ni upi?
Na ikifika wakati wa uchaguzi, usimpigie kira kama unaona hatafanya upendavyo. Lakini ukweli usioacha shaka ni kuwa Mbowe hastahili tena kuwa mwenyekiti wa cdm.
Lissu ana hasira snMimi namwona Tundu Lisu, mtu imara sana, mwanasheria mzuri, mzalendo wa kweli kwa Taifa lake na mtu mwenye misimamo thabiti asiyeyumbishwa.
Baada ya kumsikia Jana akitangaza nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA taifa nilijifunza kitu kipya kuwa, pamoja na uzuri na uwezo mkubwa sana alionao, TL siyo kiongozi mzuri kwa sababu ya “ UBINAFSI” aliouonesha katika hoja zake. Kiongozi anayesema “Mimi nita…” atakuwa mbaya sana akiwa madarakani. Uongozi ni “collective responsibility” na siyo “one-man-show”.
Yaliyofanyika katika taasisi ambayo yeye ni Makamu Mwenyekiti hawezi kujitenga nayo. Kujaribu kujitenga nayo ni “udhaifu mkubwa kwake”. Hata akifanikiwa kuwa Mwenyekiti Taifa wa CHADEM, anatakiwa kutekeleza maamuzi ya vikao na wala si matakwa yake. Hoja ikipitishwa kwenye kikao, Mwenyekiti kazi yake ni kusimamia utekelezaji.
Wakati sikubaliani kabisa FAM kuendelea kuongoza CHADEMA, bado sikuridhishwa na TAL uwezo wa kiuongozi. Wanachama wa CHADEMA waendelee kuchukua fomu kugombea Mwenyekiti Taifa.
Tulieni CHADEMA ni imaraAjabu ni kuwa eti wanaccm waliokuwa wanamuita Mbowe "Mugabe" waliposikia Lissu ametangaza nia ya kuwania kuwa mwenyekiti wamehama ghafla wanasema n kuanza kusifia Mbowe anafaa.
Chadema wasiangalie nyuma demokrasia wanayohubiri waionyeshe kwa vitendo watu washindane kura halali ziamue
Mbowe ameshafika ukomo kwa kuongoza ni vyema abaki kama mshauri tu , CCM wameua demokrasia na kwa siasa za mtindo wa Mbowe wa matamko bila vitendo hawatofua dafu.
Ukiona adui yako anakusifia ni vyema kutafakari kuna mahali unakosea.
CCM ni genge la shetaniKutoka juzi ni yeye tu na CHADEMA mitandaoni, kaifunika kabisa ccm
Ahahah hapana niwe mkweli, ila enzi hizo nilishakula wa kuchoma, ile kiporo unakipasha motot kama unakaanga mahindi.Ndiyo.Haujawahi kula ugali wa kukaangwa?You've got a long way to go,boss!
There is no one you can judge someone's ability until you allow him to swim first in the said capacity. Give him such portfolio , the judgement will come thereafter.Vita mbinu, Lissu ni mtoto kwa fisadi Mbowe kwenye siasa.
Amekurupuka na si ajabu Mbowe aliacha kazi ya ukarabati wa dari aone wapi panapovuja.
Lissu hana mikakati ya kumshinda Mbowe miaka 800 uenyekiti wa CDM.
Vita mbinu, sio kukurupuka; hapo ndipo Lissu alipoonyesha bado.
Sasa sisemi Mbowe ndio kiongozi sahihi wa CDM, ila Lissu sio tactical. Mbowe hiyo coup attempt yao anaizima dakika moja tu.
If anything imeonyesha uchanga wa Lissu kwenye siasa.
Na ndio utakuwa mwanzo wa mwisho wa CDM, huu ni mtego mkubwa kwao. Mbowe ni kiongozi mzuri lakini kwa siasa za hiki kibibi, hafai! Hiki kibibi kinataka siasa za agano la kale za jino kwa jino nyundo mkononi..Kumvaa kiongozi wa chama inataka kuwashawishi kwanza walau 60% ya kamati kuu ya chama.
Kama ni serikali 60% ya kamati kuu ya chama, 60% mawaziri wakiwemo wale seniors na 60% ya wabunge.
Sio rahisi hivyo kama Lissu anavyodhani, amejichimbia kaburi ndani ya CDM.
Hatoboi miaka 800 ameonyesha uchanga wake wa siasa; hakina Zitto walijipanga kwanza kushinda yeye.
Kama utaelewa sakata la kina Julianza Shonza, Mtela Mwambapa, Dr Kitila Mkumbo kufukuzwa CDM na wengineo.
Ni mwisho wa siasa kwa Lissu, too ambitious.
Lissu anapaswa kuwa Waziri Mkuu wa Rais fulani lakini kwa nafasi ya Urais HAPANA. Lissu hawezi kuwa Rais. Lissu ni mtu tu wa kutumwa na kutekeleza. Nina ushahidi wa kauli zake nyingi kabla hajapigwa risasi na baada ya kupigwa risasi.Mimi namwona Tundu Lisu, mtu imara sana, mwanasheria mzuri, mzalendo wa kweli kwa Taifa lake na mtu mwenye misimamo thabiti asiyeyumbishwa.
Baada ya kumsikia Jana akitangaza nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA taifa nilijifunza kitu kipya kuwa, pamoja na uzuri na uwezo mkubwa sana alionao, TL siyo kiongozi mzuri kwa sababu ya “ UBINAFSI” aliouonesha katika hoja zake. Kiongozi anayesema “Mimi nita…” atakuwa mbaya sana akiwa madarakani. Uongozi ni “collective responsibility” na siyo “one-man-show”.
Yaliyofanyika katika taasisi ambayo yeye ni Makamu Mwenyekiti hawezi kujitenga nayo. Kujaribu kujitenga nayo ni “udhaifu mkubwa kwake”. Hata akifanikiwa kuwa Mwenyekiti Taifa wa CHADEM, anatakiwa kutekeleza maamuzi ya vikao na wala si matakwa yake. Hoja ikipitishwa kwenye kikao, Mwenyekiti kazi yake ni kusimamia utekelezaji.
Wakati sikubaliani kabisa FAM kuendelea kuongoza CHADEMA, bado sikuridhishwa na TAL uwezo wa kiuongozi. Wanachama wa CHADEMA waendelee kuchukua fomu kugombea Mwenyekiti Taifa.
Kitu gani unasubiri kupima kuhusu Lissu?Tundu Lissu awadanganye wasiomjua tu. Huyu hana tofauti na Magufuli kuanzia UDIKTETA, dharau, uropokaji hadi upendeleo.There is no one you can judge someone's ability until you allow him to swim first in the said capacity. Give him such portfolio , the judgement will come thereafter.
We get the solution after an experiment.
Life doesn’t work that way, for educated people you ought to anticipate what’s coming given the rules of engagement.There is no one you can judge someone's ability until you allow him to swim first in the said capacity. Give him such portfolio , the judgement will come thereafter.
We get the solution after an experiment.
Uongozi pia hutegemea muundo wa uongozi na jinsi ya katafsiri katibaMimi namwona Tundu Lisu, mtu imara sana, mwanasheria mzuri, mzalendo wa kweli kwa Taifa lake na mtu mwenye misimamo thabiti asiyeyumbishwa.
Baada ya kumsikia Jana akitangaza nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA taifa nilijifunza kitu kipya kuwa, pamoja na uzuri na uwezo mkubwa sana alionao, TL siyo kiongozi mzuri kwa sababu ya “ UBINAFSI” aliouonesha katika hoja zake. Kiongozi anayesema “Mimi nita…” atakuwa mbaya sana akiwa madarakani. Uongozi ni “collective responsibility” na siyo “one-man-show”.
Yaliyofanyika katika taasisi ambayo yeye ni Makamu Mwenyekiti hawezi kujitenga nayo. Kujaribu kujitenga nayo ni “udhaifu mkubwa kwake”. Hata akifanikiwa kuwa Mwenyekiti Taifa wa CHADEM, anatakiwa kutekeleza maamuzi ya vikao na wala si matakwa yake. Hoja ikipitishwa kwenye kikao, Mwenyekiti kazi yake ni kusimamia utekelezaji.
Wakati sikubaliani kabisa FAM kuendelea kuongoza CHADEMA, bado sikuridhishwa na TAL uwezo wa kiuongozi. Wanachama wa CHADEMA waendelee kuchukua fomu kugombea Mwenyekiti Taifa.
Sasa ataongoza je kwa hali hiyo? Kwani kugombea nafasi fulani hadi ushambulie wengine?Lissu ana hasira sn
Vita mbinu.Na ndio utakuwa mwanzo wa mwisho wa CDM, huu ni mtego mkubwa kwao. Mbowe ni kiongozi mzuri lakini kwa siasa za hiki kibibi, hafai! Hiki kibibi kinataka siasa za agano la kale za jino kwa jino nyundo mkononi..