Lissu: Wakili msomi, mwanasiasa asiye kiongozi mzuri

Ila Lissu ni kiboko!Akiamua kulichangamsha taifa ni dakika mbili tu anatumia.

Taifa limelala sn bora siasa za amsha amsha zirudi tulishazubaa sana kiongozi! Hii kutangaza nia tu jana kila chawa na uvccm wanahaha huko walipo, nchi nzima ilibaki inasikiliza somo. Alikuwa anafundisha taifa taratiiibu yani, huyu ni mwalimu kila mtu alitoka na kitu kipya! Naamini hata mama yetu alikuwa live anapata somo
 
Taifa limelala sn bora siasa za amsha amsha zirudi tulishazubaa sana kiongozi! Hii kutangaza nia tu jana kila chawa na uvccm wanahaha huko walipo, nchi nzima ilibaki inasikiliza somo. Alikuwa anafundisha taifa yani, kila mtu alitoka na kitu kipya!
Munyampaa Ndude ni kiboko.Ngoja aje@bintikiziwi amuone mjomba wake.
 
Ndio maana anataka katiba ibadilishwe ili viongozi wawe na ukomo wa madaraka. Na isitoshe amependekeza kuwa ba chombo huru cha kusimamia chaguzi ndani ya chama ili apatikane kiongozi anayetakiwa na wengi kihalali. Pia ametahadharisha kuhusu jukumu la kusaka fedha kuwa la mtu mmoja maana ni hatari kwa taasisi. Sasa hapo ubinafsi wake ni upi?

Na ikifika wakati wa uchaguzi, usimpigie kira kama unaona hatafanya upendavyo. Lakini ukweli usioacha shaka ni kuwa Mbowe hastahili tena kuwa mwenyekiti wa cdm.
 

Kiufupi anataka Chadema iwe taasisi yenye mifumo inayojitegemea na kufanya kazi sawasawa! Sio kama sasa hivi bora liende
 
Lissu ana hasira sn
 
Inaonekana wewe hata familia yako wanakusaidia kuiongoza
 
Tulieni CHADEMA ni imara
 
Ndiyo.Haujawahi kula ugali wa kukaangwa?You've got a long way to go,boss!
Ahahah hapana niwe mkweli, ila enzi hizo nilishakula wa kuchoma, ile kiporo unakipasha motot kama unakaanga mahindi.
Ila njia effective zaid ya kupasha maza alikua anaweka ndani ya mfuko wa rambo usiopitisha maji kisha anaweka kwenye maji yanayochemka,unakua kama ugal fresh😂😂
 
There is no one you can judge someone's ability until you allow him to swim first in the said capacity. Give him such portfolio , the judgement will come thereafter.

We get the solution after an experiment.
 
Na ndio utakuwa mwanzo wa mwisho wa CDM, huu ni mtego mkubwa kwao. Mbowe ni kiongozi mzuri lakini kwa siasa za hiki kibibi, hafai! Hiki kibibi kinataka siasa za agano la kale za jino kwa jino nyundo mkononi..
 
Lissu anapaswa kuwa Waziri Mkuu wa Rais fulani lakini kwa nafasi ya Urais HAPANA. Lissu hawezi kuwa Rais. Lissu ni mtu tu wa kutumwa na kutekeleza. Nina ushahidi wa kauli zake nyingi kabla hajapigwa risasi na baada ya kupigwa risasi.

Urais unahitaji mtu mwenye utulivu wa akili, busara na asiye na ghadhabu. Kwenye uongozi tofauti ya Lissu na Magufuli ni ndogo sana.

Kama CHADEMA inaweza kutoa kiongozi mzuri basi ni Mbowe anazo qualities zote. Lakini ni mfanyabiashara. Atatumia fursa zote kujitajirisha kama anavyofanya na fedha na raslimali za chama. Wakishindwa basi John Mnyika ana busara kuliko Lissu
 
There is no one you can judge someone's ability until you allow him to swim first in the said capacity. Give him such portfolio , the judgement will come thereafter.

We get the solution after an experiment.
Kitu gani unasubiri kupima kuhusu Lissu?Tundu Lissu awadanganye wasiomjua tu. Huyu hana tofauti na Magufuli kuanzia UDIKTETA, dharau, uropokaji hadi upendeleo.

Mwaka 2010 alimuingiza dada yake ķwenye viti maalum vya CHADEMA. Christina Lissu (RIP) alikuwa hana uwezo wowote lakini nikashngaa ni mbunge kwa kuwa kaka yake ni Makamu Mwenyekiti.

Halafu msiomjua mnasema eti amenyooka!! THUBUTU
 
There is no one you can judge someone's ability until you allow him to swim first in the said capacity. Give him such portfolio , the judgement will come thereafter.

We get the solution after an experiment.
Life doesn’t work that way, for educated people you ought to anticipate what’s coming given the rules of engagement.

Every discipline has established rules including politics. In politics there are formal planning process which entails gathering internal senior suport of party members before you plan a coupe.

Ndio maana unajua Lissu hatoboi.
 
Uongozi pia hutegemea muundo wa uongozi na jinsi ya katafsiri katiba
 
Na ndio utakuwa mwanzo wa mwisho wa CDM, huu ni mtego mkubwa kwao. Mbowe ni kiongozi mzuri lakini kwa siasa za hiki kibibi, hafai! Hiki kibibi kinataka siasa za agano la kale za jino kwa jino nyundo mkononi..
Vita mbinu.

Mama sio slouch achana na mbinu za kuwakibili CDM hao sio tishio kwake.

Ana mbinu za kukabiliana na upinzani wa ndani ya CCM kwanza, na kajipanga vizuri.

Bi Tozo yupo vizuri kwa vita ya ndani ya CCM, siasa za CDM sio za kumnyima usingizi.

CDM Mbowe kaishiwa mbinu na Lissu hana sifa za uongozi wa chama wala nchi (Lissu hana leadership qualities).

Kingine Lissu hana uwezo wa kujenga hoja za demagogue politics anazotamani; kufikia azma yake ya kuwaingiza watu kitaa.

Anachotegemea ni viongozi wa makanisa na dini zote kwa ujumla kuwamahisha waumini wao kumsaidia. Serikali ikiamua kuwakabili hao watu ni dakika moja tu.

Lissu is not a leadership material; kwa kuanza tu Mbowe ana mmaliza Lissu aishi Tanzania full time huo muda wa kusimamia chama atautoa wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…