Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Baada ya kumkamata Tundu Lissu, hiki ndicho kitu ambacho serikali ya CCM watafanya katika kukabiliana na vuguvugu la NO REFORMS, NO ELECTION.
Anaweza kupewa mashitaka mazito na aakamnyima dhamana kama ilivyokuwa. Kwa Dr. Slaa na Mbowe au kama ilivyokuwa kwa Godbless Lema wakati wa Magu
All in all, Lissu wanaweza kumtesa lakini asiwe kama Mwamba alietoka mahabusu akaibukia Ikulu.
Lissu ni mpambanaji mwenye msimamo usiyoyumba mithili ya Mzee Mandela aliekaa jela miaka 27 na wanaharakati wengine.
Pia soma > Pre GE2025 - Tundu Lissu akamatwa na Polisi akielekea Mbinga, Ruvuma
Hata hivyo, pressure ya humu ndani na ile ya kutoka jumuiya ya kimataifa, inaweza kubadili hali ya mambo.
Watuhumiwa wengine waliobaki watabaki huko huko Mbinga.
Sasa wataanza kumuwinda makamu wake, John Heche, ila yeye wakimkamata, hawatamleta Dar-es-Salaam. Hawawezi kuwashikilia wote wawili sehemu moja katika mkoa mmoja.