Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
- Thread starter
- #21
Heeee!!!!Kamanda vipi wewe š¤£.
Heeee!!!!Kamanda vipi wewe š¤£.
Hayakuhusu!
Hivi Lisu anapokamatwa wale walinzi wake hufanya nini?Heeee!!!!
Si mlisema kibabe mtazuia uchaguzi zuieni sasa Lisu kukamatwa wajinga nyieBaada ya kumkamata Tundu Lissu, hiki ndicho kitu ambacho serikali ya CCM watafanya katika kukabiliana na vuguvugu la NO REFORMS, NO ELECTION.
Anaweza kupewa mashitaka mazito na aakamnyima dhamana kama ilivyokuwa. Kwa Dr. Slaa na Mbowe au kama ilivyokuwa kwa Godbless Lema wakati wa Magu
All in all, Lissu wanaweza kumtesa lakini asiwe kama Mwamba alietoka mahabusu akaibukia Ikulu.
Lissu ni mpambanaji mwenye msimamo usiyoyumba mithili ya Mzee Mandela aliekaa jela miaka 27 na wanaharakati wengine.
Pia soma > Pre GE2025 - Tundu Lissu akamatwa na Polisi akielekea Mbinga, Ruvuma
Hata hivyo, pressure ya humu ndani na ile ya kutoka jumuiya ya kimataifa, inaweza kubadili hali ya mambo.
Watuhumiwa wengine waliobaki watabaki huko huko Mbinga.
Sasa wataanza kumuwinda makamu wake, John Heche, ila yeye wakimkamata, hawatamleta Dar-es-Salaam. Hawawezi kuwashikilia wote wawili sehemu moja katika mkoa mmoja.
Wametoroka mbio kwa spidi ya mweweHivi Lisu anapokamatwa wale walinzi wake hufanya nini?
Msitupangie.Si mlisema kibabe mtazuia uchaguzi zuieni sasa Lisu kukamatwa wajinga nyie
Keyboard warriorš¤£Mwanaharakati gani wewe hujawahi hata kupigwa kirungu cha polisiā¦.
Mkwara mbuzi tu wakiona Polisi wanatimua mbioHivi Lisu anapokamatwa wale walinzi wake hufanya nini?
Mkuu kwani sikuhizi unasapoti hadi watu waliokamatwa bila kosa? Au ndiyo ile tunasema kuwashwawashwa.Makasiriko sababu ya uoga wenu wanafiq!
Umeandika kitu gani?Akalalemo, kamanda anakaa na ulinzi wa makamanda
Akalalemo, kamanda anakaa na ulinzi wa makamanda
Wameshafanya kosa lakimkakati hii No reform No Election ndio wameipalilia sasa na Kesho Mkutano upo pale pale watu wanachukua point 3 nyumbani kwa Katibu mkuu wa chama we huogopiBaada ya kumkamata Tundu Lissu, hiki ndicho kitu ambacho serikali ya CCM watafanya katika kukabiliana na vuguvugu la NO REFORMS, NO ELECTION.
Anaweza kupewa mashitaka mazito na aakamnyima dhamana kama ilivyokuwa. Kwa Dr. Slaa na Mbowe au kama ilivyokuwa kwa Godbless Lema wakati wa Magu
All in all, Lissu wanaweza kumtesa lakini asiwe kama Mwamba alietoka mahabusu akaibukia Ikulu.
Lissu ni mpambanaji mwenye msimamo usiyoyumba mithili ya Mzee Mandela aliekaa jela miaka 27 na wanaharakati wengine.
Pia soma > Pre GE2025 - Tundu Lissu akamatwa na Polisi akielekea Mbinga, Ruvuma
Hata hivyo, pressure ya humu ndani na ile ya kutoka jumuiya ya kimataifa, inaweza kubadili hali ya mambo.
Watuhumiwa wengine waliobaki watabaki huko huko Mbinga.
Sasa wataanza kumuwinda makamu wake, John Heche, ila yeye wakimkamata, hawatamleta Dar-es-Salaam. Hawawezi kuwashikilia wote wawili sehemu moja katika mkoa mmoja.
CCM hawana maarifa, wana maafa.Wameshafanya kosa lakimkakati hii No reform No Election ndio wameipalilia sasa na Kesho Mkutano upo pale pale watu wanachukua point 3 nyumbani kwa Katibu mkuu wa chama we huogopi
Hii ni devine blindness huenda washauri nao wanafanya makusudi aharibikiweCCM hawana maarifa, wana maafa.
ndo maana reform inatakiwa!Baada ya kumkamata Tundu Lissu, hiki ndicho kitu ambacho serikali ya CCM watafanya katika kukabiliana na vuguvugu la NO REFORMS, NO ELECTION.
Anaweza kupewa mashitaka mazito na aakamnyima dhamana kama ilivyokuwa. Kwa Dr. Slaa na Mbowe au kama ilivyokuwa kwa Godbless Lema wakati wa Magu
All in all, Lissu wanaweza kumtesa lakini asiwe kama Mwamba alietoka mahabusu akaibukia Ikulu.
Lissu ni mpambanaji mwenye msimamo usiyoyumba mithili ya Mzee Mandela aliekaa jela miaka 27 na wanaharakati wengine.
Pia soma > Pre GE2025 - Tundu Lissu akamatwa na Polisi akielekea Mbinga, Ruvuma
Hata hivyo, pressure ya humu ndani na ile ya kutoka jumuiya ya kimataifa, inaweza kubadili hali ya mambo.
Watuhumiwa wengine waliobaki watabaki huko huko Mbinga.
Sasa wataanza kumuwinda makamu wake, John Heche, ila yeye wakimkamata, hawatamleta Dar-es-Salaam. Hawawezi kuwashikilia wote wawili sehemu moja katika mkoa mmoja.
Wanazidi kuongeza sababu kwanini reforms leo ni muhimu kuliko jana.ndo maana reform inatakiwa!
Nipasie Mpepe Hommie,,Ukishamaliza KunyongaWameshafanya kosa lakimkakati hii No reform No Election ndio wameipalilia sasa na Kesho Mkutano upo pale pale watu wanachukua point 3 nyumbani kwa Katibu mkuu wa chama we huogopi
Turkey wamekamata mpinzani Mkuu na mgombea Urais na hajaachiwa licha ya maandamano ya Wapinzani sembuse Lisu?