Lissu wanaweza kumtesa lakini asiwe kama Mwamba aliyetoka Mahabusu akaibukia Ikulu

Baada ya kumkamata Tundu Lissu, hiki ndicho kitu ambacho serikali ya CCM watafanya katika kukabiliana na vuguvugu la NO REFORMS, NO ELECTION.

Anaweza kupewa mashitaka mazito na aakamnyima dhamana kama ilivyokuwa. Kwa Dr. Slaa na Mbowe au kama ilivyokuwa kwa Godbless Lema wakati wa Magu

All in all, Lissu wanaweza kumtesa lakini asiwe kama Mwamba alietoka mahabusu akaibukia Ikulu.

Lissu ni mpambanaji mwenye msimamo usiyoyumba mithili ya Mzee Mandela aliekaa jela miaka 27 na wanaharakati wengine.

Pia soma > Pre GE2025 - Tundu Lissu akamatwa na Polisi akielekea Mbinga, Ruvuma

Hata hivyo, pressure ya humu ndani na ile ya kutoka jumuiya ya kimataifa, inaweza kubadili hali ya mambo.

Watuhumiwa wengine waliobaki watabaki huko huko Mbinga.

Sasa wataanza kumuwinda makamu wake, John Heche, ila yeye wakimkamata, hawatamleta Dar-es-Salaam. Hawawezi kuwashikilia wote wawili sehemu moja katika mkoa mmoja.
Mtu mpumbavu huwa hajui afanye nini kwa wakati gani!
Mtu mpumbavu ni mpumbavu tu.
 
Nimeangalia video naona kama polisi huwa wanafurahia sana kupima nguvu zao kwa raia.Labda ni vile hawana medani nyingine ya kuonesha nguvu lakini hakukua na sababu ya nguvu zote zile ni uharibifu wa Amani na utulivu.Labda tutakapo kuwa na level ya matumizi makubwa ya akili na nguvu kidogo itasaidia.Wale wananchi hua ni mchanganyiko wanawake,watoto,wazee,walemavu kwani kama Lissu kafanya kosa si umwandikie summons na kumuhoji tu bila kugeuza nchi yetu kama vita.
 
G sijui 55 ndani ya wiki hizi hizo mwamba anakamatwa baada ya zile kelele za G55 kushindwa kumzuia sijui nataka kumaanisha nn lakini kwa jicho la tatu. kunaconnection ya kelele za genge la walamba asali na watu wasystem inawezekana.. kuna jinsi ambavyo mbinu za kuzuia harakati za mwamba kwa njia ya kutumia walamba asali na karata pekee waliobaki wa nayo ni yakumkamata.. hawajui huyu si yule aliyeibukia ikulu huyu ni mwamba ambaye hata jiwe na ubabe wake wote alimshindwa na ukimkamata ndio unarahisisha kazi yake
 
Mlipokuwa mnaambiwa msihamasishe uhaini na vurugu mlikuwa mnaptegemea nini?
Uhaini unaujua au unausikia? Mbona wanaosema wataua kwa sindano za sumu bado hamjawakamata au kisa ni ccm? Jibuni hoja zake na sio kutumia mbwa wa kipoliccm.
 
Wananchi wanaipongeza serikali yao kuwa imara, mapumbavu km hayo yashughulikiwe
Yeah ni vema kama leo wanapongeza basi iwe ndo wakati wa mzuri wa kutatuai au kuondoa kiini cha tatzo hasa kama kinajulikana na kusovika pia.

Maana watu ni dynamics mtoto wa mfalme suleiman(Rehoboam) hakuamin macho yake.
 
Baada ya kumkamata Tundu Lissu, hiki ndicho kitu ambacho serikali ya CCM watafanya katika kukabiliana na vuguvugu la NO REFORMS, NO ELECTION.

Anaweza kupewa mashitaka mazito na aakamnyima dhamana kama ilivyokuwa. Kwa Dr. Slaa na Mbowe au kama ilivyokuwa kwa Godbless Lema wakati wa Magu

All in all, Lissu wanaweza kumtesa lakini asiwe kama Mwamba alietoka mahabusu akaibukia Ikulu.

Lissu ni mpambanaji mwenye msimamo usiyoyumba mithili ya Mzee Mandela aliekaa jela miaka 27 na wanaharakati wengine.

Pia soma > Pre GE2025 - Tundu Lissu akamatwa na Polisi akielekea Mbinga, Ruvuma

Hata hivyo, pressure ya humu ndani na ile ya kutoka jumuiya ya kimataifa, inaweza kubadili hali ya mambo.

Watuhumiwa wengine waliobaki watabaki huko huko Mbinga.

Sasa wataanza kumuwinda makamu wake, John Heche, ila yeye wakimkamata, hawatamleta Dar-es-Salaam. Hawawezi kuwashikilia wote wawili sehemu moja katika mkoa mmoja.
Ccm imezidiwa mapema Sana mpaka huruma dah lissu wahurumie😂😂
 
Pigweni tu.

Btw, hivi wewe ushawahi hata kupigwa kirungu kimoja cha polisi?

Au wewe uanaharakati wako ni JF tu?
Hivi persona non grata kama wewe unapata wapi ujasiri wa kujadili mambo ya nchini kwetu badala ya kushughulika na ubebaji wako wa maboksi huko uliko
 
Baada ya kumkamata Tundu Lissu, hiki ndicho kitu ambacho serikali ya CCM watafanya katika kukabiliana na vuguvugu la NO REFORMS, NO ELECTION.

Anaweza kupewa mashitaka mazito na aakamnyima dhamana kama ilivyokuwa. Kwa Dr. Slaa na Mbowe au kama ilivyokuwa kwa Godbless Lema wakati wa Magu

All in all, Lissu wanaweza kumtesa lakini asiwe kama Mwamba alietoka mahabusu akaibukia Ikulu.

Lissu ni mpambanaji mwenye msimamo usiyoyumba mithili ya Mzee Mandela aliekaa jela miaka 27 na wanaharakati wengine.

Pia soma > Pre GE2025 - Tundu Lissu akamatwa na Polisi akielekea Mbinga, Ruvuma

Hata hivyo, pressure ya humu ndani na ile ya kutoka jumuiya ya kimataifa, inaweza kubadili hali ya mambo.

Watuhumiwa wengine waliobaki watabaki huko huko Mbinga.

Sasa wataanza kumuwinda makamu wake, John Heche, ila yeye wakimkamata, hawatamleta Dar-es-Salaam. Hawawezi kuwashikilia wote wawili sehemu moja katika mkoa mmoja.

Sasa hapo ndipo panapotakiwa kuonyesha nguvu ya kuzuia uchaguzi ianze.

Sababu ya kuandamana nchi nzima ipo .
Uwezo wa kuandamana nchi nzima upo.
Nia ya kuandamana nchi nzima ipo .
Ni vizuri Haki ya mwenyekiti ipatikane.
Wapinzani wanatakiwa wasimame imara maana nyuma yao kuna nguvu kubwa ya umma na Mungu pia .

Samia aliikuta nchi imetulia na Lisu alikua Ubeligiji akisubiri uchaguzi wa 2025 .
Samia ndiye aliyeleta shida zote hizi kwa kuwa na sura na ndimi mbili mbili .

Mbele ya vyombo vya habari Mara 4R mara demokrasia ,mara tume huru feki . Nyuma ya pazia wakateni mikia , kifo ni kifo tu ,katiba ni kakijitabu tu hakana maana .

Rais Samia kama angekua na kauli moja na akaisimamia leo tusingekua na taifa lenye mgawanyiko mkubwa namna hiyo.
Mpaka uchaguzi ufike nchi itakua kwenye hali mbaya sana na uhasama na chuki kubwa sana .
Hapo bado uchaguzi ndani ya CCM kutangaza nia za ubunge na madiwani .
Kwa sasa ni wapinzani ila bado linakuja zimwi ndani ya CCM. Huko ndio watatoana ngeu timu Magufuli na Timu wapiga dili .
 
Baada ya kumkamata Tundu Lissu, hiki ndicho kitu ambacho serikali ya CCM watafanya katika kukabiliana na vuguvugu la NO REFORMS, NO ELECTION.

Anaweza kupewa mashitaka mazito na aakamnyima dhamana kama ilivyokuwa. Kwa Dr. Slaa na Mbowe au kama ilivyokuwa kwa Godbless Lema wakati wa Magu

All in all, Lissu wanaweza kumtesa lakini asiwe kama Mwamba alietoka mahabusu akaibukia Ikulu.

Lissu ni mpambanaji mwenye msimamo usiyoyumba mithili ya Mzee Mandela aliekaa jela miaka 27 na wanaharakati wengine.

Pia soma > Pre GE2025 - Tundu Lissu akamatwa na Polisi akielekea Mbinga, Ruvuma

Hata hivyo, pressure ya humu ndani na ile ya kutoka jumuiya ya kimataifa, inaweza kubadili hali ya mambo.

Watuhumiwa wengine waliobaki watabaki huko huko Mbinga.

Sasa wataanza kumuwinda makamu wake, John Heche, ila yeye wakimkamata, hawatamleta Dar-es-Salaam. Hawawezi kuwashikilia wote wawili sehemu moja katika mkoa mmoja.
Mi nikahisi mnaenda kumchomoa Polisi kumbe anatakiwa kujipambania mwenyewe? Haya!!
 
Back
Top Bottom