Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Saddist😅Tuliwaambia lakini mkajifanya wajuaji.
Mpigwe tu.
Saddist😅Tuliwaambia lakini mkajifanya wajuaji.
Mpigwe tu.
We jamaa tangu mzee wako aondoke hujakaa sawa hadi leo. Sijui alikuwa amekuahidi nini😅😅Tuliwaambia lakini mkajifanya wajuaji.
Mpigwe tu.
Kakwambia ukweli wewe mwalimu Mpumbavu…. Unataka akupambanie ateseke peke yake wewe unawaza mpira na mbususu!! Lissu ataumia sana akiwaendekeza nyie wapumbavu wa mitandaoni.Mbona una makasiriko?
Duuuh!Barabarani nenda wewe
Leo hii wewe unambeza Mbowe! Haya ngoja tuone huyo unayemsifia.Baada ya kumkamata Tundu Lissu, hiki ndicho kitu ambacho serikali ya CCM watafanya katika kukabiliana na vuguvugu la NO REFORMS, NO ELECTION.
Anaweza kupewa mashitaka mazito na aakamnyima dhamana kama ilivyokuwa. Kwa Dr. Slaa na Mbowe au kama ilivyokuwa kwa Godbless Lema wakati wa Magu
All in all, Lissu wanaweza kumtesa lakini asiwe kama Mwamba alietoka mahabusu akaibukia Ikulu.
Lissu ni mpambanaji mwenye msimamo usiyoyumba mithili ya Mzee Mandela aliekaa jela miaka 27 na wanaharakati wengine.
Pia soma > Pre GE2025 - Tundu Lissu akamatwa na Polisi akielekea Mbinga, Ruvuma
Hata hivyo, pressure ya humu ndani na ile ya kutoka jumuiya ya kimataifa, inaweza kubadili hali ya mambo.
Watuhumiwa wengine waliobaki watabaki huko huko Mbinga.
Sasa wataanza kumuwinda makamu wake, John Heche, ila yeye wakimkamata, hawatamleta Dar-es-Salaam. Hawawezi kuwashikilia wote wawili sehemu moja katika mkoa mmoja.
Imeshangaza sana tena mbele ya halaiki yote ile, Wenzetu Kenya kule sidhani kama Ni Rahisi Kumchomoa RAO katika ya WananachiHivi Lisu anapokamatwa wale walinzi wake hufanya nini?
Kwa hiyo hilo ndio mnalolipenda? Kumbe ndio maana once wale wavaa magwanda katika nchi zingine wakiamua kuchukua madaraka kwa nguvu na kuwaua viongozi waliokuwepo madarakani watu wanashangilia kama vile walio uwawa ni mbwa wenye vichaa mitaani?Turkey wamekamata mpinzani Mkuu na mgombea Urais na hajaachiwa licha ya maandamano ya Wapinzani sembuse Lisu?
Lisu ni chuma cha mjerumaniBaada ya kumkamata Tundu Lissu, hiki ndicho kitu ambacho serikali ya CCM watafanya katika kukabiliana na vuguvugu la NO REFORMS, NO ELECTION.
Anaweza kupewa mashitaka mazito na aakamnyima dhamana kama ilivyokuwa. Kwa Dr. Slaa na Mbowe au kama ilivyokuwa kwa Godbless Lema wakati wa Magu
All in all, Lissu wanaweza kumtesa lakini asiwe kama Mwamba alietoka mahabusu akaibukia Ikulu.
Lissu ni mpambanaji mwenye msimamo usiyoyumba mithili ya Mzee Mandela aliekaa jela miaka 27 na wanaharakati wengine.
Pia soma > Pre GE2025 - Tundu Lissu akamatwa na Polisi akielekea Mbinga, Ruvuma
Hata hivyo, pressure ya humu ndani na ile ya kutoka jumuiya ya kimataifa, inaweza kubadili hali ya mambo.
Watuhumiwa wengine waliobaki watabaki huko huko Mbinga.
Sasa wataanza kumuwinda makamu wake, John Heche, ila yeye wakimkamata, hawatamleta Dar-es-Salaam. Hawawezi kuwashikilia wote wawili sehemu moja katika mkoa mmoja.
Kule hakuna polisi failureImeshangaza sana tena mbele ya halaiki yote ile, Wenzetu Kenya kule sidhani kama Ni Rahisi Kumchomoa RAO katika ya Wananachi
Toa mapendekezo ndugu chawa ya nini afanye hata kama ni kula mlungula kama mnavyofanya kwenye mambo yenu yote,ikiwa ni hata kuitumia hiyo mbeleko yenu ya wakati wote mnatangaza tumlungula kwao na mambo yenu yana wanyookea.Udhaifu ndio huu tupa hilo simu uende barabarani umekaa hapo kitandani kama baraka mpenja anahadithia mpira!
Wewe mbona km una mimba changa, shida nini? 😹Udhaifu ndio huu tupa hilo simu uende barabarani umekaa hapo kitandani kama baraka mpenja anahadithia mpira!
Kwahiyo ushauri wako nini?Turkey wamekamata mpinzani Mkuu na mgombea Urais na hajaachiwa licha ya maandamano ya Wapinzani sembuse Lisu?
Awe docileKwahiyo ushauri wako nini?
Lissu ni mpambanaji mwenye msimamo usiyoyumba mithili ya Mzee Mandela aliekaa jela miaka 27 na wanaharakBaada ya kumkamata Tundu Lissu, hiki ndicho kitu ambacho serikali ya CCM watafanya katika kukabiliana na vuguvugu la NO REFORMS, NO ELECTION.
Anaweza kupewa mashitaka mazito na aakamnyima dhamana kama ilivyokuwa. Kwa Dr. Slaa na Mbowe au kama ilivyokuwa kwa Godbless Lema wakati wa Magu
All in all, Lissu wanaweza kumtesa lakini asiwe kama Mwamba alietoka mahabusu akaibukia Ikulu.
Lissu ni mpambanaji mwenye msimamo usiyoyumba mithili ya Mzee Mandela aliekaa jela miaka 27 na wanaharakati wengine.
Pia soma > Pre GE2025 - Tundu Lissu akamatwa na Polisi akielekea Mbinga, Ruvuma
Hata hivyo, pressure ya humu ndani na ile ya kutoka jumuiya ya kimataifa, inaweza kubadili hali ya mambo.
Watuhumiwa wengine waliobaki watabaki huko huko Mbinga.
Sasa wataanza kumuwinda makamu wake, John Heche, ila yeye wakimkamata, hawatamleta Dar-es-Salaam. Hawawezi kuwashikilia wote wawili sehemu moja katika mkoa mmoja.
Yeye sio chawa km wewe hawezi kutulia huku nchi inapelekwa km gari bovu..!!Awe docile
punguza upupuUdhaifu ndio huu tupa hilo simu uende barabarani umekaa hapo kitandani kama baraka mpenja anahadithia mpira!
How?Yeye sio chawa km wewe hawezi kutulia huku nchi inapelekwa km gari bovu..!!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mama oyeeeee!
Mama ni mpole.
Mama ni msikivu.
Mama halindwi na wanajeshi wenye mabunduki.
🤣.
Wacha akae huko, kuna kazi ya kufanya pale mahakamani, hii ipo kwenye 18 ya plan. Usiite watu wajinga ikajakuthibitika wewe ndio mjinga. Tanzania ya jana sio hii ya mwaka ujao, ccm watajuta mana wote chamoto tutaonaSi mlisema kibabe mtazuia uchaguzi zuieni sasa Lisu kukamatwa wajinga nyie
Wewe mbona unapenda ku instigate Vijana?nenda mwenyewe!Udhaifu ndio huu tupa hilo simu uende barabarani umekaa hapo kitandani kama baraka mpenja anahadithia mpira!