kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,141
- 24,449
Wapi tulipo agana!Wewe mbona unapenda ku instigate Vijana?nenda mwenyewe!
Wapi tulipo agana!Wewe mbona unapenda ku instigate Vijana?nenda mwenyewe!
Achana na hawa "wasiojulikana" wanaoropoka hapa JF. Mie nawahurumia sana wale tuite wajinga wanaotumia Bunge kuropoka hisia zao kuwasemanga na kuwatukana wengine tena viongozi wa wananchi kwa kivuli cha bunge. Wanajiweka katika kona mbaya ya kisasi wenyeweWacha akae huko, kuna kazi ya kufanya pale mahakamani, hii ipo kwenye 18 ya plan. Usiite watu wajinga ikajakuthibitika wewe ndio mjinga. Tanzania ya jana sio hii ya mwaka ujao, ccm watajuta mana wote chamoto tutaona
KIongozi Chakaza kweli unekomaa!Achana na hawa "wasiojulikana" wanaoropoka hapa JF. Mie nawahurumia sana wale tuite wajinga wanaotumia Bunge kuropoka hisia zao kuwasemanga na kuwatukana wengine tena viongozi wa wananchi kwa kivuli cha bunge. Wanajiweka katika kona mbaya ya kisasi wenyewe
Mkuu wangu kipara kipya, siasa sio kitu poa sana kikiingia kwenye hisia. Nimeona clip moja jana mbunge aitwaye Kessy akimtukana Lissu kuwa ni Juha na kebehi nyingi tuu.KIongozi Chakaza kweli unekomaa!
Kuna mipaka of what they can doHivi Lisu anapokamatwa wale walinzi wake hufanya nini?
Upo sahihi haswa niwaonapo wanasiasa wakikutana nje ya siasa hupiga soga na kucheka na kuwafanya wafuasi wao majuha mimi sitaki kabisa initawale siasa ya bongo kama vilabu vyao mtu anafungisha kusudi jioni viongozi wa simba na yanga wanakutana klabu na kuwacheka mashabiki wenye kuumizana bila kupata faida...Mkuu wangu kipara kipya, siasa sio kitu poa sana kikiingia kwenye hisia. Nimeona clip moja jana mbunge aitwaye Kessy akimtukana Lissu kuwa ni Juha na kebehi nyingi tuu.
Nikajiuliza, hivi wapiga kura wake jimboni walimtuma hayo? Halafu hajui kuwa Lissu ni kiongozi kwa Watanzania wengine na wanamheshimu?
Hivi anajua kilicho mpata Mbunge mmoja kule Kenya katika uwanja wa Kasarani baada ya kumtukana Raila Odinga? Alikula kipigo cha mbwa mwizi hatasahau maisha yote maana kidogo apoteze maisha.
Shauri yao, hizi ghadhabu wajengazo kwa watu wajue madhara ni kwao.
Ha ha ha!Upo sahihi haswa niwaonapo wanasiasa wakikutana nje ya siasa hupiga soga na kucheka na kuwafanya wafuasi wao majuha mimi sitaki kabisa initawale siasa ya bongo kama vilabu vyao mtu anafungisha kusudi jioni viongozi wa simba na yanga wanakutana klabu na kuwacheka mashabiki wenye kuumizana bila kupata faida...