Baada ya kumkamata Tundu Lissu, hiki ndicho kitu ambacho serikali ya CCM watafanya katika kukabiliana na vuguvugu la NO REFORMS, NO ELECTION.
Anaweza kupewa mashitaka mazito na aakamnyima dhamana kama ilivyokuwa. Kwa Dr. Slaa na Mbowe au kama ilivyokuwa kwa Godbless Lema wakati wa Magu
All in all, Lissu wanaweza kumtesa lakini asiwe kama Mwamba alietoka mahabusu akaibukia Ikulu.
Lissu ni mpambanaji mwenye msimamo usiyoyumba mithili ya Mzee Mandela aliekaa jela miaka 27 na wanaharakati wengine.
Pia soma > Pre GE2025 - Tundu Lissu akamatwa na Polisi akielekea Mbinga, Ruvuma
Hata hivyo, pressure ya humu ndani na ile ya kutoka jumuiya ya kimataifa, inaweza kubadili hali ya mambo.
Watuhumiwa wengine waliobaki watabaki huko huko Mbinga.
Sasa wataanza kumuwinda makamu wake, John Heche, ila yeye wakimkamata, hawatamleta Dar-es-Salaam. Hawawezi kuwashikilia wote wawili sehemu moja katika mkoa mmoja.
Wamshughulikie huyo kibaraka, ni mzushi, mpotoshaji, mwongo, mchochezi. Ila mwisho wa hilo kibaraka ni mbaya. Km amekata tamaa ya maisha ajinyonge, bwege kweliBaada ya kumkamata Tundu Lissu, hiki ndicho kitu ambacho serikali ya CCM watafanya katika kukabiliana na vuguvugu la NO REFORMS, NO ELECTION.
Anaweza kupewa mashitaka mazito na aakamnyima dhamana kama ilivyokuwa. Kwa Dr. Slaa na Mbowe au kama ilivyokuwa kwa Godbless Lema wakati wa Magu
All in all, Lissu wanaweza kumtesa lakini asiwe kama Mwamba alietoka mahabusu akaibukia Ikulu.
Lissu ni mpambanaji mwenye msimamo usiyoyumba mithili ya Mzee Mandela aliekaa jela miaka 27 na wanaharakati wengine.
Pia soma > Pre GE2025 - Tundu Lissu akamatwa na Polisi akielekea Mbinga, Ruvuma
Hata hivyo, pressure ya humu ndani na ile ya kutoka jumuiya ya kimataifa, inaweza kubadili hali ya mambo.
Watuhumiwa wengine waliobaki watabaki huko huko Mbinga.
Sasa wataanza kumuwinda makamu wake, John Heche, ila yeye wakimkamata, hawatamleta Dar-es-Salaam. Hawawezi kuwashikilia wote wawili sehemu moja katika mkoa mmoja.
Wananchi wanaipongeza serikali yao kuwa imara, mapumbavu km hayo yashughulikiweDuu! Hii ya kamatakamata hatakama wakamatwaji wanahatia kunasiku wananchi wanaweza pandsha kichaa hasa wanapounganisha matukio.
Kiufupi katika utulivu wa akili ya kitanzania bila kuwa na hisia za chama, huwez shadadia hizo style na zile style kukamata watu mchana katika sababu tatanishi.
Kama inngekuwa inahatarisha usala wa utawala wa ccm au chadema tuu ingekuwa simpo.
Lakin kwa kipind na kizaz hiki cha majobless they hav to change key.
Binadamu hawaaminiki.
tusijiaminishe kwamba watz ni mazoba kwa kufanya vitu bila kujali.
MUNGU SAIDIA uchaguz upite wenyewe, ili maisha yaendelee kama kawaida bila makovu wala majeraha kwa taifa.
Sisi ni nchi huru we bwege. Una wajomba zako huko nje?Joto la ndani na jumuiya ya kimataifa itawatesa, kwa sasa mtakula vikwazo na hela ya madafu itakuwa hali mbali. Waache watu wapige siasa na shida za vikwazo zisitupate sisi. Sijiandaeni na mzee wa mawigi na EU. Msifikiri wao hawaangalii. Hamna uwezo wa kuhimili mapigo ya vikwazo
Nchi huru, kaulize waliowekewa vikwazo kama si nchi huru. Matusi tu ndo umebaki nayo. Kwani Cuba, Iran etc si nchi huru. Hata application moja ya international transactions hamjawahi tengeneza unajifanya hakuna la kukutisheni. Wakiwaminya ndo mtajua. Najua ninachosema. Nimetembea sana na sifanyi kazi za kwenu hizo za njaa njaa. Najua nacho maanisha. Unadhani kila anayeandika ni chadema, hapa tunaandika kwa sababu hatutaki maisha ya ndugu zetu yaanze kuwa ya tabu. tumeona mengi jinsi wananchi wa nchi zingine wanavyo pata shida na vikwazo.Sisi ni nchi huru we bwege. Una wajomba zako huko nje?
Baada ya kumkamata Tundu Lissu, hiki ndicho kitu ambacho serikali ya CCM watafanya katika kukabiliana na vuguvugu la NO REFORMS, NO ELECTION.
Anaweza kupewa mashitaka mazito na aakamnyima dhamana kama ilivyokuwa. Kwa Dr. Slaa na Mbowe au kama ilivyokuwa kwa Godbless Lema wakati wa Magu
All in all, Lissu wanaweza kumtesa lakini asiwe kama Mwamba alietoka mahabusu akaibukia Ikulu.
Lissu ni mpambanaji mwenye msimamo usiyoyumba mithili ya Mzee Mandela aliekaa jela miaka 27 na wanaharakati wengine.
Pia soma > Pre GE2025 - Tundu Lissu akamatwa na Polisi akielekea Mbinga, Ruvuma
Hata hivyo, pressure ya humu ndani na ile ya kutoka jumuiya ya kimataifa, inaweza kubadili hali ya mambo.
Watuhumiwa wengine waliobaki watabaki huko huko Mbinga.
Sasa wataanza kumuwinda makamu wake, John Heche, ila yeye wakimkamata, hawatamleta Dar-es-Salaam. Hawawezi kuwashikilia wote wawili sehemu moja katika mk
Huu ndio ukweli,kachezea sharubu za simba.Si mlisema kibabe mtazuia uchaguzi zuieni sasa Lisu kukamatwa wajinga nyie
KIPARA BILA AKILI NI SAWA NA Tako🤣🤣🤣🤣🤣🙏QUOTE="kipara kipya, post: 53412850, member: 364867"]
Udhaifu ndio huu tupa hilo simu uende barabarani umekaa hapo kitandani kama baraka mpenja anahadithia mpira!
He will go down as one of the best minds kuwahi kutokea nchi hii.Binafsi namshukuru sana Mungu kwa kutuletea Mh. Tundu Lissu, mzalendo wa kweli wa nchi yake.
Huu ndio ukweli.Wamshughulikie huyo kibaraka, ni mzushi, mpotoshaji, mwongo, mchochezi. Ila mwisho wa hilo kibaraka ni mbaya. Km amekata tamaa ya maisha ajinyonge, bwege kweli
Achana na huyo anauza gazeti.Mbona una makasiriko?
Haya tuliyategemea,sasa tusikie tena waliokuwa wanasema wanaogopa uchaguzi sababu hawajajipanga.Baada ya kumkamata Tundu Lissu, hiki ndicho kitu ambacho serikali ya CCM watafanya katika kukabiliana na vuguvugu la NO REFORMS, NO ELECTION.
Anaweza kupewa mashitaka mazito na aakamnyima dhamana kama ilivyokuwa. Kwa Dr. Slaa na Mbowe au kama ilivyokuwa kwa Godbless Lema wakati wa Magu
All in all, Lissu wanaweza kumtesa lakini asiwe kama Mwamba alietoka mahabusu akaibukia Ikulu.
Lissu ni mpambanaji mwenye msimamo usiyoyumba mithili ya Mzee Mandela aliekaa jela miaka 27 na wanaharakati wengine.
Pia soma > Pre GE2025 - Tundu Lissu akamatwa na Polisi akielekea Mbinga, Ruvuma
Hata hivyo, pressure ya humu ndani na ile ya kutoka jumuiya ya kimataifa, inaweza kubadili hali ya mambo.
Watuhumiwa wengine waliobaki watabaki huko huko Mbinga.
Sasa wataanza kumuwinda makamu wake, John Heche, ila yeye wakimkamata, hawatamleta Dar-es-Salaam. Hawawezi kuwashikilia wote wawili sehemu moja katika mkoa mmoja.
Ukweli ni upi,dhuluma haijawahi kushinda haki.Huu ndio ukweli.
Turkey wamekamata mpinzani Mkuu na mgombea Urais na hajaachiwa licha ya maandamano ya Wapinzani sembuse Lisu?
Uchaguzi gani? Tutazuia Uchafuzi huu👇Si mlisema kibabe mtazuia uchaguzi zuieni sasa Lisu kukamatwa wajinga nyie
Mlipokuwa mnaambiwa msihamasishe uhaini na vurugu mlikuwa mnaptegemea nini?View attachment 3298175
Tumiani hoja badala ya hawa mbwa.