Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Mbona una makasiriko?Udhaifu ndio huu tupa hilo simu uende barabarani umekaa hapo kitandani kama baraka mpenja anahadithia mpira!
Turkey wamekamata mpinzani Mkuu na mgombea Urais na hajaachiwa licha ya maandamano ya Wapinzani sembuse Lisu?Baada ya kumkamata Tundu Lissu, hiki ndicho kitu ambacho serikali ya CCM watafanya katika kukabiliana na vuguvugu la NO REFORMS, NO ELECTION.
Anaweza kupewa mashitaka mazito na aakamnyima dhamana kama ilivyokuwa. Kwa Dr. Slaa na Mbowe au kama ilivyokuwa kwa Godbless Lema wakati wa Magu
All in all, Lissu wanaweza kumtesa lakini asiwe kama Mwamba alietoka mahabusu akaibukia Ikulu.
Lissu ni mpambanaji mwenye msimamo usiyoyumba mithili ya Mzee Mandela aliekaa jela miaka 27 na wanaharakati wengine.
Hata hivyo, pressure ya humu ndani na ile ya kutoka jumuiya ya kimataifa, inaweza kubadili hali ya mambo.
Watuhumiwa wengine waliobaki watabaki huko huko Mbinga.
Sasa wataanza kumuwinda makamu wake, John Heche, ila yeye wakimkamata, hawatamleta Dar-es-Salaam. Hawawezi kuwashikilia wote wawili sehemu moja katika mkoa mmoja.
Pole sana.Turkey wamekamata mpinzani Mkuu na mgombea Urais na hajaachiwa licha ya maandamano ya Wapinzani sembuse Lisu?
AsantePole sana.
Makasiriko sababu ya uoga wenu wanafiq!Mbona una makasiriko?
Mama oyeeeee!Baada ya kumkamata Tundu Lissu, hiki ndicho kitu ambacho serikali ya CCM watafanya katika kukabiliana na vuguvugu la NO REFORMS, NO ELECTION.
Anaweza kupewa mashitaka mazito na aakamnyima dhamana kama ilivyokuwa. Kwa Dr. Slaa na Mbowe au kama ilivyokuwa kwa Godbless Lema wakati wa Magu
All in all, Lissu wanaweza kumtesa lakini asiwe kama Mwamba alietoka mahabusu akaibukia Ikulu.
Lissu ni mpambanaji mwenye msimamo usiyoyumba mithili ya Mzee Mandela aliekaa jela miaka 27 na wanaharakati wengine.
Hata hivyo, pressure ya humu ndani na ile ya kutoka jumuiya ya kimataifa, inaweza kubadili hali ya mambo.
Watuhumiwa wengine waliobaki watabaki huko huko Mbinga.
Sasa wataanza kumuwinda makamu wake, John Heche, ila yeye wakimkamata, hawatamleta Dar-es-Salaam. Hawawezi kuwashikilia wote wawili sehemu moja katika mkoa mmoja.
Wewe ni mpuuzi sana!Udhaifu ndio huu tupa hilo simu uende barabarani umekaa hapo kitandani kama baraka mpenja anahadithia mpira!
Muda ndio kila kitu. Rangi zake halisi zimeshaonekana hata kwa vipofu tangu siku nyingi na ndio maana Lissu kasema watu wajiandae kuumizwa.Mama oyeeeee!
Mama ni mpole.
Mama ni msikivu.
Mama halindwi na wanajeshi wenye mabunduki.
🤣.
Tuliwaambia lakini mkajifanya wajuaji.Muda ndio kila kitu. Rangi zake halisi zimeshaonekana hata kwa vipofu tangu siku nyingi na ndio maana Lissu kasema watu wajiandae kuumizwa.
Sasa ulitarajia nini?Tuliwaambia lakini mkajifanya wajuaji.
Mpigwe tu.
Pigweni tu.Sasa ulitarajia nini?
Hakuna mabadiliko ya kuletewa mezani.
Hayakuhusu!Pigweni tu.
Btw, hivi wewe ushawahi hata kupigwa kirungu kimoja cha polisi?
Au wewe uanaharakati wako ni JF tu?
Mwanaharakati gani wewe hujawahi hata kupigwa kirungu cha polisi….Hayakuhusu!
Hahaaaa!Mwanaharakati gani wewe hujawahi hata kupigwa kirungu cha polisi….
Kamanda vipi wewe 🤣.Hahaaaa!