Pre GE2025 Lissu: Wasijifiche nyuma ya msikiti, waje hadharani tuyaseme matendo yao maovu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
..unit ya " HM" naomba ufafanuzi ni kitu gani.

..kama Rais hajaagiza basi mabango waondolewe, haswa yale ambayo yamehusisha watu zaidi ya Rais.
Habari Maelezo, hawa sometimes wana act as Marketing and Public Relations Unit kwenye serikali.
 
Huu usiwe mjadala wa kutuchukulia muda hapa mkuu 'Chinese...' Kujuwa kwako namna ya kuyatengeneza hakuondoi hoja ya msingi, kwamba yana gharama, ambayo pamoja na wewe kujuwa, lakini huna ujasiri wa kuweka tarakimu hapa watu wazione. Hii ni kawaida ya mtu asiyejuwa anachozungumzia.

Hapa yanazungumziwa mabango, huko kwenye video unatafuta kitu gani tena. Kama ni kujibu swali la mtihani, tayari umekwisha feli hivi hivi, kama mchezo mchezo!.Lakini sikulaumu wewe, sote tunajuwa elimu mbovu inayotolewa siku hizi.
 
In the End, we will remember not the words of our enemies, but the silence of our friends.
Martin Luther King.
Hapo baadae tutajiuliza kwann watu makini CCM na Serikalini waliyackia haya waliyajua haya lakini wakawa kimya wakati mambo yakienda mrama!
 
mi nimegusia pale alipojaribu kukonvince watu kwa kusema 'kwa wafanya biashara hamna asiyejua kuwa hakuna kitu kina gharama kama mabango' Hii sio kweli na itabaki hivyo!!!
Hayo mabango ni cheap na accessible kuliko PA au mikutano ya hadhara ya kila siku yenye lengo la kuhabarisha jamii na kusifu utendaji wa serikali ya mama!

Usilazimishe vile unavyojua wewe iwe hivyo, hautapata jambo gani kwenye akili yako!!!
 
LOooh!
Sasa hapa ni nani anaye lazimisha!

Hayo maneno uliyo koleza hapo yanaelezea gharama kwa mhusika, mwenye biashara yake ya duka; kwake ni gharama kubwa; wewe unayageuza na kuyatumia kivyako. Ndiyo maana nikakwambia utakuwa ukiwa mbovu sana katika kuelewa maswali wakati wa mitihani, kama ulijaaliwa kufika huko.

Hiyo unayoita 'cheap', watu wanashindwa kulipa, wewe unasema 'cheap'. Unajuwa maana ya 'cheap' ni nini?
Mabango anayotengenezewa Samia siyo 'cheap'. Pesa hiyo ingeweza kutumika kuwapelekea watu maji, na hata kujenga Zahanati kadhaa, wewe unaiita 'cheap'!

EEeeenHEeeeeh! Eti 'Accessible', una maana gani? Hivi watu mmerogwa akili siku hizi kutumia maneno ili muonekane nanyi mnajuwa kitu, kumbe hamna lolote?
'Accessible' kwa nani. Mwanakijiji yanamsaidia kitu gani hayo mabango ya huyo mwanamke?

Unaleta ubishi usiokuwa na maana, na wala huna uwezo na hayo unayotaka uonekane unayaweza.

Sikutegemea tungefika huku, lakini unalazimisha iwe hivyo.
 
Mbona simple tuu,pesa imetoka kwenye chama Chao Cha CCM,kwani hawana Mapato? Au inakuaje wajameni?

Mbona Chadomo Huwa wanakodi Chopa 3 Kwa mabilioni,hela Huwa wanatoa wapi? Kuna hoja kweli hapo?

Mwisho ni kweli Chadema ni chama Cha kidini yaani Cha Wakristo na Kila mtu anajua.
 
Acha kukariri!!!
 

Kwa mahesabu ya haraka haraka;

Pikipiki @ Tshs 3 000 000/-
Idadi ya Pikipiki: 18 200

Ghalama ya Pikipiki (Jumla) : 3 000 000 x 18 200 = 54600000000

Hizo ni Billion 54.6

Halafu kuna mtu anatkuja hapa kudai huyu mtu siyo FISADI...... Seriously!!?
 
Lissu ni shujaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…