Pre GE2025 Lissu: Wasijifiche nyuma ya msikiti, waje hadharani tuyaseme matendo yao maovu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mimi napenda nijue jambo moja kabla hatujaendelea.

Hivi ni kweli kuna hizo pikipiki zenye picha ya Rais Samia na zimeandikwa hivyo!!??
Kama zipo, ni kiasi gani na ni mkoa upi na upi?
 
Hizi ndiyo hoja akina Mwashambwa, wapambe wa Sa1000 walistahili kujibu. Lakini wanaishia kwenye riwaya zisizo na contents.

Pikipiki 18,200 mara milioni 2.8 ni sh bilioni 50.960.

Hata kama mshahara wa Samia ukiwa milioni 50 kwa mwezi, kwa miezi 36 ni sh bilioni 1.8. Sasa hizi zaidi ya bilioni 49 ametoa wapi??

Huyu mama lazima ni mwizi mkubwa. Na watu wanajua zilikotoka hizi pesa. Ameuza bandari zetu na hifadhi za Taifa na mbuga za wanyama kwa Waarabu kwa sababu ya maslahi yake binafsi na jamaa zake.
Inaweza kuwa ni mbaya zaidi ya hapo , mkuu 'Bams'.
Hizo Bandari, mbuga na mengine ambayo tayari tumekwisha yashuhudia tayari; huo ni mwanzo tu.

Samia akipata miaka mitano mingine, hapo ndipo utakapojuwa bei halisi tunayokusudiwa kunuliwa na hawa matajiri.
 
...tunaendelea

Ingekuwa hoja kama tusingemsema Magufuli kwa mfano, kuna mtu alimsema Magufuli kama mie? Kuna mtu alimsema Kikwete kama sisi? Mpaka Mkapa, mie kesi yangu ya kwanza ni ya Mkapa mambo ya madini mwaka 2002 miaka 22 zimekwenda wamasai wamefukuzwa umasaini, Ngorongoro loliondo, mnafikiri hizi hela amezitoa wapi? Mnafikiri amezitoa wapi Watanzania?
Sema jamaa anafeli sanaa, huwa anawapata wa kuwaongopea, ukipita Morogoro road na kwingineko pembezoni mwa main roads kuna mabango mengi ya kumsifia rais yanasomeka kutoka Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, sio Dar pekee mikoa mingi ni hivyo kama sio Chata ya CCM basi itakuwa kutoka ofisi za RCs na DCs, ila lissu anawadanganya waziwazi wananchi kuwa yote yamegharimiwa na Rais.

Mi sio mnazi wa siasa ila jamaa analazimisha kuwa na influence kubwa kwa watu kwa kutumia udanganyifu, hapa bado hajachaguliwa kuwa hata mwenyekiti wa chama, sa akiwa rais si atapiga parefu huyuuu,,,,!!!!

Sikia the way anavyowaconvince watu (wasiojua) kwa maneno ya kibalagha na kulazimisha kuamini eti mabango ni kitu chenye gharama zaidia kwenye biashara, is it right,???. kweli wanasiasa si wakuwaamini.

Washauri wake, mwambieni mwamba atembee na hoja za msingi na sio kutudanganya.
 
Hizo pikipiki zitatumiwa na kumfaidisha nani, hujiulizi hilo,,,???

We umebeba taarifa tu ya jamaa hata kuichakata umeshindwa.
Piki piki 18'000 mbona ni hela nyingi sana?
Why this in Afrika?

Tulimkosea wapi Mungu?
 
Inaweza kuwa ni mbaya zaidi ya hapo , mkuu 'Bams'.
Hizo Bandari, mbuga na mengine ambayo tayari tumekwisha yashuhudia tayari; huo ni mwanzo tu.

Samia akipata miaka mitano mingine, hapo ndipo utakapojuwa bei halisi tunayokusudiwa kunuliwa na hawa matajiri.
Usisahau kwamba kisiwa cha Mafia kiko sokoni
 
Warioba jaji na waziri mkuu,anamkubali sana Lisu

Sijajua sababu kwa kuwa ni wote ni learned brothers au uchomvu wa ccm umekithiri au wote tabia yao moja ya kukaza

Mana ,warioba alishamkazia sana unyerere
 
Kuwapa watu wengine milele kwa kubadilishana na hela
Na kukosa umiliki wa hicho kitu,,,!!!

Ko wewe unaamini kuwa bandari za tz zimeuzwa,,,???

Kama we ni mwanaume kumbuka kuna familia inakutegemea mzee, ifanye iwe proud nawe,,,!!!

Za kuambiwa changanya na zako.
Wasalaam.
 
Sema jamaa anafeli sanaa, huwa anawapata wa kuwaongopea, ukipita Morogoro road na kwingineko pembezoni mwa main roads kuna mabango mengi ya kumsifia rais yanasomeka kutoka Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, sio Dar pekee mikoa mingi ni hivyo kama sio Chata ya CCM basi itakuwa kutoka ofisi za RCs na DCs, ila lissu anawadanganya waziwazi wananchi kuwa yote yamegharimiwa na Rais.

Mi sio mnazi wa siasa ila jamaa analazimisha kuwa na influence kubwa kwa watu kwa kutumia udanganyifu, hapa bado hajachaguliwa kuwa hata mwenyekiti wa chama, sa akiwa rais si atapiga parefu huyuuu,,,,!!!!

Sikia the way anavyowaconvince watu (wasiojua) kwa maneno ya kibalagha na kulazimisha kuamini eti mabango ni kitu chenye gharama zaidia kwenye biashara, is it right,???. kweli wanasiasa si wakuwaamini.

Washauri wake, mwambieni mwamba atembee na hoja za msingi na sio kutudanganya.
Wewe ndio Hamnazo kabisa.........ulitaka aandike pesa za mabango kapewa na mabwanyenye?
 
Hahaha huanda hata sisi tukauzwa haki ya nani😂😂
Wewe zuzu kabisa, yaani unaamini utauzwa kwenye dunia Hii ya demokrasia na uhuru.

Mengi unayoyafanya unayafanya kwa sababu ni haki yako na uhuru ni haki yako ambayo haipaswi kuingiliwa na mwingine, ila wewe kwa kutokuwa na akili na ujinga uliojificha kwenye cheti cha digrii uchwara unawezapigwa hela au hata bure kwa sababu huzijui haki zako za msingi.

Na kingine Ofisi zilizoandaa mabango zipo chini ya serikali tena kwa bajeti za ofisi husika, ila wewe usiyefahamu na kutafakari hata ukiambiwa nini huwa unabeba kama kilivyo.

Angalia usijefanya familia yako ikawa na aibu kwa sababu ya ujinga wako!
 
Bwana wee mtajuana wenyewe hayatuhusu ssi wananchi wanyonge
 
Alimsema Magufuli halafu yakamkuta ya kumkuta, akawa anamsemea kama mkimbizi

Tatizo binadaamu hatuna shukurani, wakipewa kiganja wanataka mkono mzima,

Hizi sarakasi ni kwa sababu amenyimwa maslahi hakuna chochote cha maana
 
Back
Top Bottom