Pre GE2025 Lissu: Wasijifiche nyuma ya msikiti, waje hadharani tuyaseme matendo yao maovu

Pre GE2025 Lissu: Wasijifiche nyuma ya msikiti, waje hadharani tuyaseme matendo yao maovu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

...tunaendelea

Ingekuwa hoja kama tusingemsema Magufuli kwa mfano, kuna mtu alimsema Magufuli kama mie? Kuna mtu alimsema Kikwete kama sisi? Mpaka Mkapa, mie kesi yangu ya kwanza ni ya Mkapa mambo ya madini mwaka 2002 miaka 22
Wadanganyika! Mimi naonaga kama WaTanganyika kama hawana akili, na kihuni, huyu mama anaiba pesa zenu halafu anawanunulia Ice Cream nyie mnalamba, na kumsifia!!!!!!!!!!!!!!!!!

Tanzaniaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
 

...tunaendelea

Ingekuwa hoja kama tusingemsema Magufuli kwa mfano, kuna mtu alimsema Magufuli kama mie? Kuna mtu alimsema Kikwete kama sisi? Mpaka Mkapa, mie kesi yangu ya kwanza ni ya Mkapa mambo ya madini mwaka 2002 miaka 22
The state endeleeni kumlinda huyu mtu!

Hatuna mwingine!kwenye serikali ijayo hakikisheni anakua sehem ya serikali ndio ndio!!
 

...tunaendelea

Ingekuwa hoja kama tusingemsema Magufuli kwa mfano, kuna mtu alimsema Magufuli kama mie? Kuna mtu alimsema

Hizi ndiyo hoja akina Mwashambwa, wapambe wa Samia walistahili kujibu. Lakini wanaishia kwenye riwaya zisizo na contents.

Pikipiki 18,200 mara milioni 2.8 ni sh bilioni 50.960.

Hata kama mshahara wa Samia ukiwa milioni 50 kwa mwezi, kwa miezi 36 ni sh bilioni 1.8. Sasa hizi zaidi ya bilioni 49 ametoa wapi??

Huyu mama lazima ni mwizi mkubwa. Na watu wanajua zilikotoka hizi pesa. Ameuza bandari zetu na hifadhi za Taifa na mbuga za wanyama kwa Waarabu kwa sababu ya maslahi yake binafsi na jamaa zake.
 
Piki piki 18'000 mbona ni hela nyingi sana?
Why this in Afrika?

Tulimkosea wapi Mungu?

Pikipiki 18,200 hakuna namna anaweza kuthibitisha kuwa hiyo hela ni pesa yake halali. Hilo halipo. Maana hata kama mshahara wake ungekuwa milioni 100 kwa mwezi, bado hawezi kununua hata pikipiki 3,000. Mauzo ya rasilimali za nchi kwa manufaa yake binafsi.
 
Mwambie huyo maza asijifiche nyuma ya msikiti sijui usichana wake ajibu hizo hoja Hizo hela zimetoka wapi
Samia hawezi kujibizana na lisu. Yeye ni amiri jeshi mkuu. Lisu ni mdogo sana kwa samia. Wapo watakaomjibu ila sio samia
 
Back
Top Bottom