Piki piki 18'000 mbona ni hela nyingi sana?
Why this in Afrika?
Tulimkosea wapi Mungu?
Sheria ya uchaguzi inataka kila chama kipeleke bajeti yake ya uchaguz kuepuka mambo ya rushwa
Tusubirie bajeti ya ccm, utashangaa kufika trilion Tsh.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Piki piki 18'000 mbona ni hela nyingi sana?
Why this in Afrika?
Tulimkosea wapi Mungu?
Sema jamaa anafeli sanaa, huwa anawapata wa kuwaongopea, ukipita Morogoro road na kwingineko pembezoni mwa main roads kuna mabango mengi ya kumsifia rais yanasomeka kutoka Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, sio Dar pekee mikoa mingi ni hivyo kama sio Chata ya CCM basi itakuwa kutoka ofisi za RCs na DCs, ila lissu anawadanganya waziwazi wananchi kuwa yote yamegharimiwa na Rais.
Mi sio mnazi wa siasa ila jamaa analazimisha kuwa na influence kubwa kwa watu kwa kutumia udanganyifu, hapa bado hajachaguliwa kuwa hata mwenyekiti wa chama, sa akiwa rais si atapiga parefu huyuuu,,,,!!!!
Sikia the way anavyowaconvince watu (wasiojua) kwa maneno ya kibalagha na kulazimisha kuamini eti mabango ni kitu chenye gharama zaidia kwenye biashara, is it right,???. kweli wanasiasa si wakuwaamini.
Washauri wake, mwambieni mwamba atembee na hoja za msingi na sio kutudanganya.
Vijana wa chadema na lisu mmejaza matope vichwani.aliyesema amelipwq stahiki zake ni nani na aliyesema hajalipwa ni nani?Usijiite mjingamimi jiite mpumbavu mm
Hawajalazimishwa ni sehemu ya utekelezaji wa kazi!..Na hao ma-RC na ma-DC wametoa wapi fedha za kutengeneza mabango ya Mama Samia?
..Mimi naona ni afadhali Mama Samia angeng'aramia mabango yake mwenyewe kuliko kutumia fedha za umma kwa kulazimisha Ma-RC, na na-DC.
Hawajalazimishwa ni sehemu ya utekelezaji wa kazi!
Na angetumia pesa yake mngehoji pia, pesa zote anatolewa wapi,,,,,????
chama mnachodai kinakubalika mpaka vijijini kinagawa pikipiki za nn sasa?Zikielekezwa kwake msianze kulialia 🐼
Mbona hatajawahi kumsikia kuhusu uwenyekiti wa milele wa Mzee Mbowe?Lissu muongeaji kweli kweli
Mnafahamu mmeletewa pikipiki ngapi? Meziona, mkoa huu umeletewa pikipiki 700, na zote zimeandikwa SSH 2025 na zina picha yake, na kila mkoa umepata hizo pikipiki hizi kwa wastani 700, piga hesabu kwa mikoa 26 ya Tanganyika mara pikipiki 700 ni pikipiki 18,200 pikipiki siyo za Serikali, siyo za CCM Ni za Samia Suluhu Hassan 2025 ni za Mama Abduli.
Rais hajaagiza kufanyika kwa hayo, bali nowdays kuna Hii unit ya HM huwa na bajeti yao na wao wanafanya kwa uwezo wao, tatizo lililopo ni kuwa wengi wenu mmekariri maisha!..haya mabango kama ametumia fedha za umma toka ofisi za maRc na maDc ni ufugaji na matumizi mabaya ya madaraka.
..Rais alipaswa kutafuta chanzo kingine kwa ajili ya kazi hiyo na sio fedha za umma. Ni afadhali angekwenda kuomba kwa nchi wahisani, ingekuwa ni chanzo halali, na sisi tungebaki kuhoji busara ya kufanya hivyo.
Rais hajaagiza kufanyika kwa hayo, bali nowdays kuna Hii unit ya HM huwa na bajeti yao na wao wanafanya kwa uwezo wao, tatizo lililopo ni kuwa wengi wenu mmekariri maisha!
Lucas Mwashambwa na Makonda. aka Bashite.Samia hawezi kujibizana na lisu. Yeye ni amiri jeshi mkuu. Lisu ni mdogo sana kwa samia. Wapo watakaomjibu ila sio samia
Machawa na vijana waliomaliza shule majuzi juzi.Kwa wajuzi wa hizi pikipiki wanaenda kupewa wakina nani?
Hapana sababu mambo yake Yana athiri maisha yetu na yata athiri ya watoto na wajukuu wetu.
HakikaHapana sababu mambo yake Yana athiri maisha yetu na yata athiri ya watoto na wajukuu wetu.
Mkuu 'Chinese blade', mimi sitaki kukushawishi uamini anayosema Lissu; lakini andiko lako hili linaonyesha hujui mambo mengi; kwa mfano hilo la picha barabarani. Kama ni wakuu wa Mkoa wanatumia hizo pesa kuweka mabango barabarani, hapo wewe unaona ni sahihi? Hiyo pesa wakuu wa mikoa wameipata wapi, ni kutokana na kodi za wananchi?Hata hujui gharama za kutengeneza bango la aina hiyo, kwa nini usifanye utafiti kidogo tu ukapata ukweli wake, kuliko kuja tu hapa na kukanusha mambo usiyoyajuwa.Sema jamaa anafeli sanaa, huwa anawapata wa kuwaongopea, ukipita Morogoro road na kwingineko pembezoni mwa main roads kuna mabango mengi ya kumsifia rais yanasomeka kutoka Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, sio Dar pekee mikoa mingi ni hivyo kama sio Chata ya CCM basi itakuwa kutoka ofisi za RCs na DCs, ila lissu anawadanganya waziwazi wananchi kuwa yote yamegharimiwa na Rais.
Mi sio mnazi wa siasa ila jamaa analazimisha kuwa na influence kubwa kwa watu kwa kutumia udanganyifu, hapa bado hajachaguliwa kuwa hata mwenyekiti wa chama, sa akiwa rais si atapiga parefu huyuuu,,,,!!!!
Sikia the way anavyowaconvince watu (wasiojua) kwa maneno ya kibalagha na kulazimisha kuamini eti mabango ni kitu chenye gharama zaidia kwenye biashara, is it right,???. kweli wanasiasa si wakuwaamini.
Washauri wake, mwambieni mwamba atembee na hoja za msingi na sio kutudanganya.
Mwizi haachwi
Kwani hayo mabango yanaagizwa nje ya nchi kwamba yanagharimu pesa mingi kiasi hichoooo????Mkuu 'Chinese blade', mimi sitaki kukushawishi uamini anayosema Lissu; lakini andiko lako hili linaonyesha hujui mambo mengi; kwa mfano hilo la picha barabarani. Kama ni wakuu wa Mkoa wanatumia hizo pesa kuweka mabango barabarani, hapo wewe unaona ni sahihi? Hiyo pesa wakuu wa mikoa wameipata wapi, ni kutokana na kodi za wananchi?Hata hujui gharama za kutengeneza bango la aina hiyo, kwa nini usifanye utafiti kidogo tu ukapata ukweli wake, kuliko kuja tu hapa na kukanusha mambo usiyoyajuwa.