Kwanza wewe umetawaliwa na chuki binafsi dhidi ya Lissu, possibly due to political ideology au misimamo yake. Hivyo badala ya kuiangalia na kuipima hoja yake wewe inapambana na chuki dhidi yake. Assume for the moment, hiyo hoja kaizungumza JPM au Kikwete halafu ipime...Tundu Lissu asitufanye wajinga kiasi hicho. China wanajua Kiingereza? Ujinga mtupu wala hatupotezi muda na mjiinga huyo, ajenda yetu kwa sasa ni kukiweka Kiswahili lugha ya Kwanza Afrika halafu yeye anatuletea upupu. We want to make Tanzania great nation, Kiswahili ni ajenda kuu.
Hajakwambia anataka ,anakwambia tuwe na lugha moja ,ka kuswshili iwe kiswahili au ka kizungu iwe kizungu,India chuki inakufanya usielewe vizuriLugha yetu ya taifa ni kiswahili sasa anataka Kiingereza kiwe kama lugha yetu? Kwani Muingereza anaongea Kiswahili kama Mtanzania?
Lieu hajajiandaa kuwa raisTundu Lissu amesema haya kuhusu lugha ya kufundishia:
Ukiniuliza mimi, honest opinion Nchi yetu haiwezi kuzungumza Kiingereza, hivyo tunahitaji kuwa na mjadala juu ya sera ya lugha, tusipokuwa na mjadala huu, hatufiki popote kwani language of instruction is everything.
Mimi ni Wakili, Majaji wengi hawajui kiingereza, ukienda Nchi za wenzetu huko Mtanzania akiongea unatamani kuingia uvunguni mwa meza, Kiingereza chetu ni kibaya, sio kwasababu hatuna akili ila ni kwasababu tumekosa Sera ya Lugha.
Tangu tumepata Uhuru tumekua na ndimi mbili kuhusiana na lugha na ndimi mbili ni hatari, ulimi mmoja tumesema Kiswahili ni lugha ya Taifa na tumeiendeleza kwelikweli, ulimi wa pili tumesema Kiswahili si lugha ya kufundishia.
Fikiria tu muda Mtu anaotumia kujifunza Kiingereza ajifunze na aelewe miaka 4 tu ya Sekondari anakuwa hajaelewa Kiingereza sawa sawa na anakwenda tena form 5 na 6 bado anakuwa vilevile, kwa kifupi Watu wetu hawajui Kiingereza.
Na wewe ni mzazi wa familia hapo mtaani ?Amesema Majaji na Mawakili wa Tanzania hawajui Kiingereza na kwamba wakiongea anaweza kuingia chini ya uvungu kwa aibu, ina maana yeye anakijua hicho kiingereza, sasa kakijulia wapi?
Kazaliwa, kakulia, kasomea hapa hapa Bongo kuanzia msingi mpaka Chuo kikuu, kama hao wengine, sasa iweje ajione anajua kuliko wengine?
Itakua ni aibu kwa taifa mkuu, tutapata fedheha kubwa sana kama nchi.Ili upate majibu itisheni mdahalo wa wagombea wote wa urais.
Kingereza siyo Yes and no let mdahako live na usisahau kulet na pain killer K Vant na Adam energyAmesema Majaji na Mawakili wa Tanzania hawajui Kiingereza na kwamba wakiongea anaweza kuingia chini ya uvungu kwa aibu, ina maana yeye anakijua hicho kiingereza, sasa kakijulia wapi?
Kazaliwa, kakulia, kasomea hapa hapa Bongo kuanzia msingi mpaka Chuo kikuu, kama hao wengine, sasa iweje ajione anajua kuliko wengine?
Hajajiona kasema wengi hawajui na siyo mbaya maana siyo lugha yetu,tujitahidi ni sawa MTU anaposema Tanzania hapa mpira hakuna na wakati yeye ni mtanzania pia,kiingereza ni juhudi ya MTU binafsi mkuu.Amesema Majaji na Mawakili wa Tanzania hawajui Kiingereza na kwamba wakiongea anaweza kuingia chini ya uvungu kwa aibu, ina maana yeye anakijua hicho kiingereza, sasa kakijulia wapi?
Kazaliwa, kakulia, kasomea hapa hapa Bongo kuanzia msingi mpaka Chuo kikuu, kama hao wengine, sasa iweje ajione anajua kuliko wengine?
Amesema Majaji na Mawakili wa Tanzania hawajui Kiingereza na kwamba wakiongea anaweza kuingia chini ya uvungu kwa aibu, ina maana yeye anakijua hicho kiingereza, sasa kakijulia wapi?
Kazaliwa, kakulia, kasomea hapa hapa Bongo kuanzia msingi mpaka Chuo kikuu, kama hao wengine, sasa iweje ajione anajua kuliko wengine?
Exactly, ndiyo maana tunasema Lisu is extraordinary intelligent! University of Warwick Law Professors walisema wamepita wanafunzi wengi hapa, lkn huyu ni exceptionally intelligent!Amesema Majaji na Mawakili wa Tanzania hawajui Kiingereza na kwamba wakiongea anaweza kuingia chini ya uvungu kwa aibu, ina maana yeye anakijua hicho kiingereza, sasa kakijulia wapi?
Kazaliwa, kakulia, kasomea hapa hapa Bongo kuanzia msingi mpaka Chuo kikuu, kama hao wengine, sasa iweje ajione anajua kuliko wengine?
Sio majaji tu hata huyu bwana hapa akiongea utajificha mbali kabisa inasikitisha.Amesema Majaji na Mawakili wa Tanzania hawajui Kiingereza na kwamba wakiongea anaweza kuingia chini ya uvungu kwa aibu, ina maana yeye anakijua hicho kiingereza, sasa kakijulia wapi?
Kazaliwa, kakulia, kasomea hapa hapa Bongo kuanzia msingi mpaka Chuo kikuu, kama hao wengine, sasa iweje ajione anajua kuliko wengine?
Nimekwambia kiingereza ni juhudi ya MTU binafsi,siyo lazima majaji wakijue vizuri kuliko MTU mwingine.Kwa hiyo yeye anakijua hicho Kiingereza kama Majaji na Mahakimu wetu hawakijui?
Umeona aibu ya taifa kwenye hiyo video? Sijui nani alimchagua mtu huyu kuwa kiongozi!Kwa hiyo na wewe unakijua Kiingereza mpaka ujifiche wengine wakiongea?