Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sio majaji tu hata huyu bwana hapa akiongea utajificha mbali kabisa inasikitisha.
Sikiliza kidogo uone kwanini Lissu ana point ya msingi. Aibu kishenzi.
Nishawajua, yule bidada pamoja na yule stoneMpaka sasa list yangu ya wenye PhD wasiojua kingreza inasoma 2 na naendelea kufanya utafiti kuwabaini PhD holders wengine lugha gongana
Watoto wa darasa la kwanza hawafanyi makosa kama hayo; “I am a politicians”![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba I am a politicians?
Hatari mzee baba katisha
I am a politicians,I don't want to take this time as to say so many political words, simple and clear it's only congregations to you to the university corridor... Columbia University to a good assistance we are getting to this hospital..Umeona aibu ya taifa kwenye hiyo video? Sijui nani alimchagua mtu huyu kuwa kiongozi!
Lissu anakijua ndo maana kasema hivyo na si mara moja kasema hivyo..ukitaka kujua hudhuria kesi za lissu uone anavyowatesa majaji kwa ngeriKwa hiyo yeye anakijua hicho Kiingereza kama Majaji na Mahakimu wetu hawakijui?
Embu huyo bidada mtambulishe hata mficho wa hali ya juu nione kama kweli umepatia.ila huyo mwingine umepatiaNishawajua, yule bidada pamoja na yule stone
Ni juhudi ya mtu binafsi ndiyo lakini kwa jaji wa mahakama kuu lugha ya english is one of the tools of work ambayo ni lazima ajue kuitumia. Sheria nyingi, miendenendo ya kesi na hukumu vyote vinahitaji mtu mwenye uelewa sahihi wa kiingereza. Alichosema Lissu ni kweli na just ameeonyosha jinsi wataalam wetu kwenye sekta mbali mbali walivyochaguliwa huku hawana vigezo.Nimekwambia kiingereza ni juhudi ya MTU binafsi,siyo lazima majaji wakijue vizuri kuliko MTU mwingine
lissu anajifanya anajuwa kila kitu kuliko wenzie wote hana lolote hana alijualo ni kujitapa tu kusiko na msingAmesema Majaji na Mawakili wa Tanzania hawajui Kiingereza na kwamba wakiongea anaweza kuingia chini ya uvungu kwa aibu, ina maana yeye anakijua hicho kiingereza, sasa kakijulia wapi?
Kazaliwa, kakulia, kasomea hapa hapa Bongo kuanzia msingi mpaka Chuo kikuu, kama hao wengine, sasa iweje ajione anajua kuliko wengine?
Kujua kiingereza siyo kujua kila kitu ,na wala si lazima kukijua choteAmesema Majaji na Mawakili wa Tanzania hawajui Kiingereza na kwamba wakiongea anaweza kuingia chini ya uvungu kwa aibu, ina maana yeye anakijua hicho kiingereza, sasa kakijulia wapi?
Kazaliwa, kakulia, kasomea hapa hapa Bongo kuanzia msingi mpaka Chuo kikuu, kama hao wengine, sasa iweje ajione anajua kuliko wengine?
Si yule anayesimamia watu kuelimikaEmbu huyo bidada mtambulishe hata mficho wa hali ya juu nione kama kweli umepatia.ila huyo mwingine umepatia
Kwamba ili uwe kiongoz bora lazima ujue kizungu.Ili upate majibu itisheni mdahalo wa wagombea wote wa urais.
hapana yafanyike majadiliano ya kina kwa njia ya mdahalo tupate majibu kamili.Kwamba ili uwe kiongoz bora lazima ujue kizungu.
Kujua Kiingereza ndio usomi? Basi sawa!Fikiria tu muda Mtu anaotumia kujifunza Kiingereza ajifunze na aelewe miaka 4 tu ya Sekondari anakuwa hajaelewa Kiingereza sawa sawa na anakwenda tena form 5 na 6 bado anakuwa vilevile, kwa kifupi Watu wetu hawajui Kiingereza.
Kwakuwa ni lazima uende shule ..kiingereza sio kisukumaKujua Kiingereza ndio usomi? Basi sawa!
Mkuu Chige umemaliza yote. Na zaidi alichokuwa anamaanisha Lissu ni kuwa english ni moja kati ya nyenzo za kazi ambazo majaji wetu wanatakiwa waifahamu. Mazingira ya kufanyia kazi mahakama kuu na jaji kwa ujumla yanategemea sana lugha ya kiingereza hivyo kama jaji hakijui vizuri ni shida na hataweza kutenda kazi vizuri. Hii inaonyesha kuwa jinsi tunavyoteua majaji wetu kuna walakini. Na sishangai sana kwani mambo ya uteuzi hapa Bongo siku hizi yameacha kufanyika on merit na badala yake yanatumia vigezo vya milango ya nyuma. Na hii siyo kwa upande wa majaji tu bali hata kwenye mainjinia, madaktari nk utakutana na wahitimu ambao uelewa wao ni zero kabisa. Unaweza kuamini kuna mtu amemaliza Phd na kuandika thesis za kiingereza lakini sasa hivi ukimwambia aandike insha ya karatasi moja kwa kimombo hawezi? Hapa kuna tatizo zaidi ya uelewa wa lugha...Sina jibu la kitalaamu katika hili lakini hakuna ajabu yoyote ikiwa Lissu yupo more fluent in English kulinganisha na hao wengine hata kama wote wamesoma shule zile zile na kukulia mazingira yale yale!
Nina kila sababu ya kuamini watu tunatofautiana uwezo wetu wa ku-master lugha ya kigeni/ second language.
Mama yangu kwa mfano... huyu hakupata bahati ya elimu, lakini anakupigia broken ya Malkia!
Anachonishangaza zaidi ni uwezo wake wa kuongea lugha za makabila matatu wakati maisha yake karibu yote yupo Dar es salaam, na wala hajawahi kuishi kwenye mikoa ya hayo makabila mengine mawili!
Kutokana na makuzi yake, ananishangaza hata ambavyo bado anaiweza lugha ya kabila lake wakati hajaishi sana kule! And on top of that, hata Bush kwetu ni very rare ukute watu wanaongea kilugha... labda majumbani kwao kwa baadhi; but still my mom anaongea kilugha!
Nililazimika siku moja kumuuliza ni namna ana-manage kuongea hizo lugha wakati hajaishi hayo mazingira... hata mwenyewe nikaona kama anajishangaa!
I bet angekuwa ameenda shule yule, basi angekuwa na uwezo wa ku-master lugha za mataifa kadhaa endapo angeamua kujifunza!
But also REMEMBER, according to Howard Gardner na theory yake ya Multiple Intelligences, out of 8 intelligences in Multiple Intelligence Theory, moja wapo ni Linguistic Intelligence!
So, if Gardner is true, na TL kasema kweli kuhusu hao majaji, then tunaweza ku-conclude kwamba Tundu Lissu has HIGHER Linguistic Intelligence kulinganisha na hao majaji!
Ni kweli anakijua au hakijui kiingereza,tuanzie hapo.Au ww ndio hao lawyers nini, si kwa povu hili.bila shaka unaweweseka.Pole mkuu.Amesema Majaji na Mawakili wa Tanzania hawajui Kiingereza na kwamba wakiongea anaweza kuingia chini ya uvungu kwa aibu, ina maana yeye anakijua hicho kiingereza, sasa kakijulia wapi?
Kazaliwa, kakulia, kasomea hapa hapa Bongo kuanzia msingi mpaka Chuo kikuu, kama hao wengine, sasa iweje ajione anajua kuliko wengine?
You're right, nilishindwa kuelezea alichomaanisha Lissu kwa sababu sijasikia full script ya alichosema ila tu niliona tweet inayoelezea TL kuzungumzia umuhimu wa kuwa na mjadala juu ya sera ya lugha!Mkuu Chige umemaliza yote. Na zaidi alichokuwa anamaanisha Lissu ni kuwa english ni moja kati ya nyenzo za kazi ambazo majaji wetu wanatakiwa waifahamu. Mazingira ya kufanyia kazi mahakama kuu na jaji kwa ujumla yanategemea sana lugha ya kiingereza hivyo kama jaji hakijui vizuri ni shida na hataweza kutenda kazi vizuri. Hii inaonyesha kuwa jinsi tunavyoteua majaji wetu kuna walakini. Na sishangai sana kwani mambo ya uteuzi hapa Bongo siku hizi yameacha kufanyika on merit na badala yake yanatumia vigezo vya milango ya nyuma. Na hii siyo kwa upande wa majaji tu bali hata kwenye mainjinia, madaktari nk utakutana na wahitimu ambao uelewa wao ni zero kabisa. Unaweza kuamini kuna mtu amemaliza Phd na kuandika thesis za kiingereza lakini sasa hivi ukimwambia aandike insha ya karatasi moja kwa kimombo hawezi? Hapa kuna tatizo zaidi ya uelewa wa lugha...