GANG MO
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 2,092
- 2,210
Sasa kwaninj mnatuchanganya mara sheria ziandikwe kwa kiingereza. Mara shulen sekondari mpaka elimu ya juu ni kiingereza tu. Sasa lissu anakuambia tumekosa sera ya lugha. Tuamue moja kama ni kiswahili au EnglishLugha yetu ya taifa ni kiswahili sasa anataka Kiingereza kiwe kama lugha yetu? Kwani muingereza anaongea kiswahili kama mtanzania.?