Uchaguzi 2020 Lissu: Watanzania sio kwamba hawana akili bali Lugha ya kufundishia ndio shida, Elimu yetu inabidi ifumuliwe na lugha ya kufundishiwa iwe moja

Uchaguzi 2020 Lissu: Watanzania sio kwamba hawana akili bali Lugha ya kufundishia ndio shida, Elimu yetu inabidi ifumuliwe na lugha ya kufundishiwa iwe moja

Hii inamuhusu sana Magufuli maana yeye ni muhanga wa lugha zote mbili.

Magufuli hajui Kiswahili wala Kiingereza, kwahiyo natarajia atampa kura zote Tundu Lisu.

Sitarajii magufuli apinge hili kwa sababu litamnufaisha yeye binafsi.
 
Hii inamuhusu sana magufuli maana yeye ni muhanga wa lugha zote mbili.

Magufuli hajui Kiswahili wala Kiingereza, kwahiyo natarajia atampa kura zote Tundu Lisu.

Sitarajii magufuli apinge hili kwa sababu litamnufaisha yeye binafsi.
Slavery Mentality!!
 
Kati ya siku Lissu ameongea ujinga na utumbo ni leo, yaani lugha iwe kigezo cha kutopata maendeleo, hapana watanzania sio wajinga kiasi hicho, swali lakujiuliza kwa nini kumekuwa na taaluma ya Tafsiri na Ukarimani. Lissu jipange upya nchi kama urusi, uchina nchi za falme za kiarabu wanatumia lugha zao na wako vizuri kiuchumi.
Kwa uelewa huu ndio maana ccm imewafanya misukule, Lissu anaongea jambo jingine nanyi mnaelewa jambo jingine kabisa.
 
Ndiyo nyinyi tu ambao Lord Macaulay alisema karne ya 17 jinsi ya kuwafanya msijitambue!
View attachment 1564552
Magu2016. Je wajua kuwa sheria zetu bungeni humo zimeandikwa in English ?! . Hukumu zetu mahakamani ni kwa English !!. Documents karibu zote za maana serikalini mpaka leo ni English ?!. Ukivuka mpaka wetu tu, kama hujui English , automatically unakuwa bubu !!
 
Tundu Lissu asitufanye wajinga kiasi hicho. China wanajua kiingereza?????? Ujinga mtupu wala hatupotezi muda na mjiinga huyo, ajenda yetu kwa sasa ni kukiweka kiswahili lugha ya Kwanza Afrika halafu yeye anatuletea upupu.We want to make Tanzania great nation,kiswahili ni ajenda kuu
Akili ndogo huwezi kumwelewa Lissu.
Kama kiswahili ndo kila kitu, kwa nini sasa sio lugha ya kufundishia sekondari na vyuoni? Ukijiuliza hilo swali na kupata majibu yake ndipo utaanza kumwelewa lisu
 
Kiingereza ni kama kijaluo tuu, mbona wachina wengi hawajui kiingereza na wako vizuri kichwani,lissu ni miongoni mwa wale wakiona mtoto mdogo wa kizungu anaongea kiingereza wanamshangaa. Nakusema "mtoto huyu ana akili sana".
Rudi kasome tena alicho eleza Lissu ukifanikiwa kuelewa nadhani utarudi kufuta upupu ulioandika hapa.
 
Akili ndogo huwezi kumwelewa Lisu.
Kama kiswahili ndo kila kitu, kwa nini sasa sio lugha ya kufundishia sekondari na vyuoni? Ukijiuliza hilo swali na kupata majibu yake ndipo utaanza kumwelewa lisu
Akili za Lissu zimeshaathirika nafikiri Wabelgiji wamemfanya vibaya na baada ya kushindwa October 2020 anaweza kuwa kichaa!!
 
Tundu Lissu asitufanye wajinga kiasi hicho. China wanajua kiingereza?????? Ujinga mtupu wala hatupotezi muda na mjiinga huyo, ajenda yetu kwa sasa ni kukiweka kiswahili lugha ya Kwanza Afrika halafu yeye anatuletea upupu.We want to make Tanzania great nation,kiswahili ni ajenda kuu
Nanukuu hapa "sio kwasababu hatuna akili ila ni kwasababu tumekosa Sera ya Lugha."

Swali kama Lissu ni mjinga naonba unitajie sera ya lugha kwa taifa letu.
 
Dah mkuu umeelewa kilicho zungumzwa lakini au umetumwa tu kuja kujibu?
Mkuu kuna watu wapo stressed vibaya sana. Hapo unaweza kuta hata hajasoma maelezo ya Lissu mpaka mwisho, ila amekimbilia kuja kureply.
 
Rudi kasome tena alicho eleza Lissu ukifanikiwa kuelewa nadhani utarudi kufuta upupu ulioandika hapa.
Lissu ameeleza ugoro sana! Ni aibu mgombea urais badala ya kuipigia chapuo lugha yake anawadiss wasiyojua lugha ya kiingereza!! Slavery Mentality!!
 
Sasa Jiwe anaongea lugha gani?🤣🤣🤣
Kiukweli sijuagi hata anaongea lugha gani yule mzee!

Mara nitawabomolesha, mara nitawafanyizia maendeleo....... fontifedi...kirometa...

Sielewagi hata anachoongea.
 
Back
Top Bottom