Noel Ngiama Makanda
JF-Expert Member
- Oct 14, 2018
- 1,782
- 3,103
Huyu jamaa anatema madini sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Slavery Mentality!!Hii inamuhusu sana magufuli maana yeye ni muhanga wa lugha zote mbili.
Magufuli hajui Kiswahili wala Kiingereza, kwahiyo natarajia atampa kura zote Tundu Lisu.
Sitarajii magufuli apinge hili kwa sababu litamnufaisha yeye binafsi.
Na wewe unajiita GT bila aibu kabisa!!Ujue kizungu.
Kwa uelewa huu ndio maana ccm imewafanya misukule, Lissu anaongea jambo jingine nanyi mnaelewa jambo jingine kabisa.Kati ya siku Lissu ameongea ujinga na utumbo ni leo, yaani lugha iwe kigezo cha kutopata maendeleo, hapana watanzania sio wajinga kiasi hicho, swali lakujiuliza kwa nini kumekuwa na taaluma ya Tafsiri na Ukarimani. Lissu jipange upya nchi kama urusi, uchina nchi za falme za kiarabu wanatumia lugha zao na wako vizuri kiuchumi.
Shauli lako bas... Kalale nacho!Na wewe unajiita GT bila aibu kabisa!!
Magu2016. Je wajua kuwa sheria zetu bungeni humo zimeandikwa in English ?! . Hukumu zetu mahakamani ni kwa English !!. Documents karibu zote za maana serikalini mpaka leo ni English ?!. Ukivuka mpaka wetu tu, kama hujui English , automatically unakuwa bubu !!Ndiyo nyinyi tu ambao Lord Macaulay alisema karne ya 17 jinsi ya kuwafanya msijitambue!
View attachment 1564552
Magufuli hajui Kiswahili. Sidanganyi wala simsingizii.Slavery Mentality!!
Nilikuwa natafuta mtu aliyemjibu. SwadaktaMkuu hivi umeelewa anachosema Tundu lisu au umekurupuka kujibu tu.
Sasa Jiwe anaongea lugha gani?🤣🤣🤣Magufuli atapinga, na wakati huo huo hajui Kiswahili wala Kingeresa.
Akili ndogo huwezi kumwelewa Lissu.Tundu Lissu asitufanye wajinga kiasi hicho. China wanajua kiingereza?????? Ujinga mtupu wala hatupotezi muda na mjiinga huyo, ajenda yetu kwa sasa ni kukiweka kiswahili lugha ya Kwanza Afrika halafu yeye anatuletea upupu.We want to make Tanzania great nation,kiswahili ni ajenda kuu
Kuandika tu hujui Kiswahili utakijua kweli?Magufuli hajui Kiswahili. Sidanganyi wala simsizingizii.
Kama nadanganya, thibitisha.
Rudi kasome tena alicho eleza Lissu ukifanikiwa kuelewa nadhani utarudi kufuta upupu ulioandika hapa.Kiingereza ni kama kijaluo tuu, mbona wachina wengi hawajui kiingereza na wako vizuri kichwani,lissu ni miongoni mwa wale wakiona mtoto mdogo wa kizungu anaongea kiingereza wanamshangaa. Nakusema "mtoto huyu ana akili sana".
Akili za Lissu zimeshaathirika nafikiri Wabelgiji wamemfanya vibaya na baada ya kushindwa October 2020 anaweza kuwa kichaa!!Akili ndogo huwezi kumwelewa Lisu.
Kama kiswahili ndo kila kitu, kwa nini sasa sio lugha ya kufundishia sekondari na vyuoni? Ukijiuliza hilo swali na kupata majibu yake ndipo utaanza kumwelewa lisu
Nanukuu hapa "sio kwasababu hatuna akili ila ni kwasababu tumekosa Sera ya Lugha."Tundu Lissu asitufanye wajinga kiasi hicho. China wanajua kiingereza?????? Ujinga mtupu wala hatupotezi muda na mjiinga huyo, ajenda yetu kwa sasa ni kukiweka kiswahili lugha ya Kwanza Afrika halafu yeye anatuletea upupu.We want to make Tanzania great nation,kiswahili ni ajenda kuu
Mkuu kuna watu wapo stressed vibaya sana. Hapo unaweza kuta hata hajasoma maelezo ya Lissu mpaka mwisho, ila amekimbilia kuja kureply.Dah mkuu umeelewa kilicho zungumzwa lakini au umetumwa tu kuja kujibu?
Lissu ameeleza ugoro sana! Ni aibu mgombea urais badala ya kuipigia chapuo lugha yake anawadiss wasiyojua lugha ya kiingereza!! Slavery Mentality!!Rudi kasome tena alicho eleza Lissu ukifanikiwa kuelewa nadhani utarudi kufuta upupu ulioandika hapa.
Kiukweli sijuagi hata anaongea lugha gani yule mzee!Sasa Jiwe anaongea lugha gani?🤣🤣🤣