Kilitime
Huyo aliyekuwa naibu waziri mkuu na waziri wa mambo ya ndani hakuwa anahukumu, alikuwa anasuluhisha.Hebu tuambie wangapi walikwenda jela au kupata kifungo cha nje au kulipa faini serikalini??
Mfano wa Mwanakijiji haufai hapa hata kidogo.Yeye kaja hapa kaeleza kuwa alikosea kwa kuwa alileta taarifa mwanzoni kabisa kumbe baadaye hali ikawa tofauti.
Still ni tuhuma, mamlaka yenye uwezo wa kuhakikisha vielelezo vyako au ushahidi wako ni sahihi sio Jasusi, Kilitime, MKJJ, Kichwa Maji... ni Mahakama!!!
PHP:Unatakiwa kujua hukumu ni nini kabla ya kuuliza swali!
Mie nadhani wewe ndo unahitaji kujua tofauti ya kuhukumu na kusuluhisha.
Hebu nikumbushe hivi mgogoro wa CUF na CCM (eti ndo unaitwa mwafaka au??)uko mahakamani au uko kwa akina Makamba.Ni vizuri pia ukaniambia kuwa wanachokifanya ni kuhukumu au kusuluhisha???
PHP:Unatakiwa kujua hukumu ni nini kabla ya kuuliza swali!
Mie nadhani wewe ndo unahitaji kujua tofauti ya kuhukumu na kusuluhisha.
Hebu nikumbushe hivi mgogoro wa CUF na CCM (eti ndo unaitwa mwafaka au??)uko mahakamani au uko kwa akina Makamba.Ni vizuri pia ukaniambia kuwa wanachokifanya ni kuhukumu au kusuluhisha???
Yesi hakuna hukumu kwa sababu hakuna mtuhumiwa!!! panapokuwa kuna kutokuwa na maelewano,,, suluhisho lake ni kusuluhisha!
Papokuwa na kosa la jinai, huwa kunakuwa na hukumu!!!
Mrema alivyomaliza matatizo ya kanisa kule Arumeru alisuluhisha!!! sawa....
Mwizi akiiba, Mla rushwa,,, etc... hakuna suluhisho hapa...
Whatsoever the case, the message from president is simple,,, kila kilichosema ni TUHUMA tu, until prove in the court of law, kitaendelea kuwa TUHUMA;
And you have to remember he did not said ni uongo au ni ukweli! until uchunguzi,,, sijui mlitaka rais awe Jaji Ramadhani, i do not know reall!
Zaidi ya hapo ni Kuvunja Katiba kwa kutompa huyo MTUHUMIWA haki yake ya msingi ya kujitetea mbele ya SHERIA, msioelewa hilo kwa kweli mnataka tujenge taifa lisilofuata sheria!
No wonder mtu anajenga Jangwani, bila kibali, na kuelezwa kwamba ni eneo hatari kwa maisha yake, na kupewa kiwanja ajenge sehemu nyingine, at end of the day akivunjiwa nyumba anasema serikali imemuonea...
Ndio taifa tunalojenga,,, tulalamike likiwa chini ya CCM, lakini hali itakuwa mbaya kama wananchi watakuchukua sheria mkononi hata taifa hili likiwa chini ya Kipenzi Zitto au Mbowe!!!
Ni vyema kama watu hao wanajiaandaa kushika nchi wawafundishe/kuwahimiza wananchi kufuata sheria maana ndiyo itafanya wafanye wanayokusudia kulifanyia taifa.
Naungana na Mzee Mwanakijiji kwamba Mh. kama vile amejikita kwenye RUSHWA, lakini hata kama sio kwenye RUSHWA hata wizi huo mwingine, utumiaji wa madaraka vibaya, also need to be proved,,, tangu lini Dr. Slaa akawa na vyeo vyote hivyo vya kuprove vitu!
Mwenzako Akinyolewa Wewe Tia Maji!
I'm expecting the same reaction hata kama Rais angekuwa Prof. Lipumba, Leonard Shayo, Mh. Mbowe, Mh. Zitto, Mh. Mudhihiri..
But I should of course expect different reaction kama Rais angekuwa... Kaka... Agustion Lyatonga Mrema
..so,what is your take?
Mambo yaliyosemwa ni ya maana sana kwa taifa hili, lakini TUSISITIZE UCHUNGUZI ZAIDI kuliko HUKUMU kabla ya UCHUNGUZI wa namna YOYOTE..kwamba yote yanayosemwa ni upuuzi au hayapo au hayana ukweli?
Nafaidika kwa namna ile ile unayofaidika wewe,,, tofauti na wengine ni kwamba mimi napenda haki itendeke MAHALI kote hata KWA waziri amepewe haki yake ya KIKATIBA kujitetea kwenye mamlaka husika.....unajua,anyways....wewe unafaidika na nini katika kutetea haya!
Yesi nisingepiga mawe, kumbukeni KWAMBA si vyema kuua waporaji wa simu,,, KUMBUKA HUKUMU YA KUA KWENYE VITABU VYA DINI, Havikusema UUE ukiibiwa..kama ungekuwa mwizi,wakakumata na kuanza kukupiga mawe,nami niko mtaa mmoja na hao jamaa[maana yake nimeathirika kwa namna moja au nyingine na wizi wako],nisingerusha jiwe hata moja!ningeangalia halafu nikaondoka mara moja...nisije takwa ushahidi!
...hayo ndo maneno yangu!
Yesi nisingepiga mawe, kumbukeni KWAMBA si vyema kuua waporaji wa simu,,, KUMBUKA HUKUMU YA KUA KWENYE VITABU VYA DINI, Havikusema UUE ukiibiwa
..haswaa!usingepiga...ungekuwa unapigwa!.kama umenifahamu hapo!
..sikufahamu kama we ni mcha mungu!hongera!ila kumbuka kuwa vitabu vinasema dhuluma ni dhambi!na uongo ni dhambi pia!na kutochukua hatua ni dhambi pia!
..asaalam aleykhum!
Dar si Lamu,
Mrudie/Mche Mola wako Ukweli ule wa Kumcha, haswa hizi siku chache za Mwezi Mtukufu wa Ramadhani!!! Acha Kumdhania Mwenzako Uongo!!! Inshallah Ukatubu especially kwenye mwezi huu wa toba!!!
Yote tunayosema ni HEARSAY,
Kilitime yuko sawa, mpaka sasa hizi ni TUHUMA. Aliyetoa hizi TUHUMA mwenyewe hajakwenda MAHAKAMANI.
Itakuwa vyema kama Dr Slaa atafungua kesi dhidi ya anaowatuhumu ili haki itendeke badala ya kutumia dhana kuwachafua.
Rais kikwete ameyasema hayo jana usiku (Jumanne) wakati alipokuwa akimshukuru Askofu Thomas Laiser wa Dayosisi Mkoani Arusha ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri la Tanzania, kwa kumpongeza (Kikwete) kwa ujasiri mkubwa wa kupambana na vitendo
vya rushwa na hasa rushwa katika uchaguzi.
Askofu Laiser alitoa pongezi hizo kwa Rais wakati wa hafla ya uchangiaji wa ujenzi wa hosteli ya Dayosisi ya KKKT Arusha, hafla iliyofanyika katika hoteli ya Kibo Palace, ambapo Rais Kikwete alikuwa mgeni rasmi. Jumla ya shilingi milioni 363.6
zilipatikana huku Rais akichangia shilingi milioni mbili. Lengo lilikuwa kukusanya shs. 350.0.
Halafu kama kawaida hakuana aliye tayari kujibu hoja za msingi isipokuwa kutoa siasa za vitisho!