Huyo aliyepost ni mboga mboga huyo namfahamu vizuri aliacha kuwekeza kwenye baa yake ikafa now ni kumsifia mama mwanzo mwishoItakuwa shida ni mtandao, jaribu kuangalia hii
View attachment 3513530
Nchi ni mali ya viongozi, sio mali ya raia.Mwananchi kuilinda Tanzania ni jukumu lako
epuka kuichoma nchi yako
HAHAHAHAJe waju huko ICC/ Kuna chumba Cha "fargha" ambacho wafungwa huruhusiwa kukutana kimwili na wenzako wao??
Nguvu za giza au??Leo X nimekutana na hii list ya most powerful people on earth nimekuta Samia yupo nafasi ya nne.
Mnaionaje hii list?
Japo aliyepost kaweka na profile picture ya Samia, inaonekana ni mwanaCCM
View: https://x.com/420Cousin/status/1997726092719693830?s=09