toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,965
- 12,556
Aisee, Elon nae asemaje.....Tanzania ni chanel ya vichekesho huko mbinguniDuh punguzeni uchawa mtagongwa! Kwa hiyo samia ni powerful kuliko Mark Zuckerberg au Elon Musk basi sawa.

Kama ni hivyo basi ni mpuuziHuyo mtoto lucha yupo na samia kwa sababu wanafanana dini tu ila deep down hamuelewi,ukiondoa ishu ya dini hao ni watu wawili tofauti tena tofauti sana.
Leo X nimekutana na hii list ya most powerful people on earth nimekuta Samia yupo nafasi ya nne.
Mnaionaje hii list?
Japo aliyepost kaweka na profile picture ya Samia, inaonekana ni mwanaCCM
View: https://x.com/420Cousin/status/1997726092719693830?s=09
Nimekusoma mkuuNdo maana nimeileta huku. List ni fake imetengenezwa na UVCCM 😂😂😂
Sisomagi mambo ya chawa promax wa chechemaaUmesoma thread hadi mwisho? Mimi sio chawa wa CCM
Ungejua hata huyo Lucas Mwashambwa nimemu ignore kitambo sana. Nina muda mrefu sioni mada zake hapa JF
Leo X nimekutana na hii list ya most powerful people on earth nimekuta Samia yupo nafasi ya nne.
Mnaionaje hii list?
Japo aliyepost kaweka na profile picture ya Samia, inaonekana ni mwanaCCM
View: https://x.com/420Cousin/status/1997726092719693830?s=09
Leo X nimekutana na hii list ya most powerful people on earth nimekuta Samia yupo nafasi ya nne.
Mnaionaje hii list?
Japo aliyepost kaweka na profile picture ya Samia, inaonekana ni mwanaCCM
View: https://x.com/420Cousin/status/1997726092719693830?s=09
Una hamu tu ya kukutana na chawa wa CCM umkejeli ujisikie vizuri, kwa hiyo unaforce mtu yoyote awe chawa ili upate kisingizio cha kumkejeli. Mimi sio chawa, katafute machawa wa CCM wa kuwaambia maneno yako machafu ujisikie vizuriSisomagi mambo ya chawa promax wa chechemaa
Leo X nimekutana na hii list ya most powerful people on earth nimekuta Samia yupo nafasi ya nne.
Mnaionaje hii list?
Japo aliyepost kaweka na profile picture ya Samia, inaonekana ni mwanaCCM
View: https://x.com/420Cousin/status/1997726092719693830?s=09
Mwanetu amezingua sanaLucha aliwahi kusema hayupo upande mmoja na majizi ya CCM ila cha ajabu kila siku anawatetea hao CCM