List ya Business Ideas kuhusu viwanda vidogo vidogo

kwa tanzania biashara ya maji ya kunywa sio biashara ndogo kama unavyodhani kisa sio mtaji tu bali urasimu wa serikali yetu hapo mpaka TFDA wakupe kibali utapewa check list ya vitu kama 100 .watakagua mashine,kiwanda,watataka uajiri mtaalamu wa food processing mwenye shahada,gharama ya kufanya followup ya hizo chemicals za kuyatreat nk,muulize jaydee na maji yake
 
wee hutaki quality control? unataka kulisha/kunywesha watu vinyesi? pumbaaaaaav
 
Mie najaribu kutengeneza kiwi au sio matumbo vipi idea hyo
 
Last edited by a moderator:
1. Mashine za kuchakata mazao (alizeti, mahindi, pamba n.k)
2. Machinjio ya kati (slaughter house) na kukata nyama kwa viwango, hii inalipa sana kwenye maeneo ya ufugaji maana raia wanauziwa nyama isiyokuwa na viwango.
3. Kukausha nyama ya pori
 
Kutengeneza sabuni

Nilitaka kuanzisha hiki "kipurojekti", ila jamaa ambaye alitaka kunifunza magumashi sana!! Mara material hana mara sijui nini na nini aaaah!! Mpaka nikachukia kwa kweli

Mi nilitaka kuanzia sabuni za mche na kuogea. Detergents ingekuja baadae sana
 
Mkuu nimeipenda hii.
 
Mbona rahisi tuu ila isue iko kwenye material, kama kunashida ya kupata raw material hakuna kinChowezekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…