Pia kama unapendelea mambo ya computer jiingize kwenye domain registration, web hosting, na website development. Unaweza kujiunga na watu kama Website Hosting Services, VPS Hosting & Dedicated Servers - HostGator, unalipia kwa mwezi $ 60 wanakupa disk space 160 GB, bandwidth 1200 GB, Domains unlimited. Kazi yako inakuwa kutafuta walau wateja 20 kwa mwezi kila mmoja akulipe tsh 50,000 kwa ajili ya domain registration na web hosting, utapata 1M ambayo inatosha kulipa hostgator na kubaki na mshiko wako. Hapo hujaanza kudevelop websites, na kuzimaintain. Mambo yakiwa super unanunua disk space na bandwidth kubwa zaidi. Unaweza kutengeneza websites kwa kutumia WordPress, no coding required.
Thread nimeipenda
sijui kama vina sifa za viwanda vidogo?
1. kiwanda cha kutengeneza vyombo vya udongo. sahani za bati na hasa za plastic watu hawazipendi siku hizi.
2. kutengeneza chupi, boxer, sox na kaushi za pamba. nyuzi za plastic watu hawapendi zinaleta fungasi.
3. kutengeneza mikanda na wallet za ngozi. utahitaji kufanya tanning, sijui kama itakuwa rahisi.
sina mkuu ila najua ngozi inabidi kulainishwa kwanza. wanalainishia kemikali fulani inatoka kwenye miti ya miwati. nafikiri hii ndiyo ngumu labda na kudesign ila kutengeneza haiwezi kuwa ishu.Red Giant una maelezo yakutosha kuhusiana na kiwanda cha kutengeneza hiyo mikanda na wallet? Kama ndio tafadhali mwaga vitu hapa tuone kama tunaweza. Natanguliza shukrani
sina mkuu ila najua ngozi inabidi kulainishwa kwanza. wanalainishia kemikali fulani inatoka kwenye miti ya miwati. nafikiri hii ndiyo ngumu labda na kudesign ila kutengeneza haiwezi kuwa ishu.
Aisee hii ya slaughter house idea nzuri
Mkuu conjuget ,naomba unisaidie kidogo kunieleza kuhusu aina hii ya uwelezaji
Mkuu conjuget ,naomba unisaidie kidogo kunieleza kuhusu aina hii ya uwelezaji