List ya makabila Tanzania yenye watu wengi wenye akili

Mkuu wabena unawajua... vipi unawaonaje nao?
 
Watu wenye akili nyingi wapo kila kabila, inategemeana hizo akili ni katika nyanja gani. Hali kadhalika kila taifa duniani lina watu wenye akili ya mambo fulani ili kubalansi eco system duniani
Kuna Makabila, Hakuna hata Mmoja
 
Sema hayo ni makabili maarufu Tz yapo kibao ...Zunguka utaelewa ila naona wanaozaliwa na akili bila ya elimu ni wadigo .

Mdigo kasumbua tangu enzi za ukoloni ji wajuaji na wanajiamini sana japo mtu unakuta hajasoma wapo fresh sana.... Mdigo hata awe hana pesa au elimu ila wanakuwa na uwezo wa kushawishi ma uongozi...Haw ndio walikuwa manamba mashamba ya wakoloni kwa vile walikataa Kaz ngumu.
 
SIdhani kama kuna kabila lenye watu wasio na akili, hebu ulieandika mada hii leta sababu za kuona makabila hayo yana akili, na makabila ambayo hukuyataja eti hayana akili weka sababu.
Na ikiwezekana uelezee kwanza akili nini, ndipo ulete hizo sababu.
 
Poor mind.! Kila kabila lina watu wenye akili hao wakinga kuibuka na kujazana kariakoo basi mnazani mmemaliza.!

Kila kabila lina mchango wake mkubwa tu kwny maendeleo ya nchi hii.! Tembea uone
 
Hiz
HIzo ni sababu, za kabila kuonekana wana akili kuliko wengine. Kuwa manamba ndiyo akili, ungeniambia kutokana na kuwa na akili, kabila la wadigo hawakutawaliwa na wakoloni ningekuelewa.

Wadigo baada ya Uhuru, na akili zao yupi ameshika madaraka ya juu ya nchi, pamoja na usawishi wao.
Tuache habari za furahisha genge kwenye vijiwe vya kahawa huko Tanga tukavileta Tanzania.

Kama wana uwezo wa Kusawi
 
Nan kashika madaraka unauliza ? Baada ya uhuru Nyerer hakuwaweka kweny system ...Kama ulikuwa hujui chochote.


Wadigo ndio walikuwa walimu wa kwanza kaulize wakubwa wako shule ya kwanza ilikuwa kwao kaulize wakubwa wako...Baadae walikuwa kutolewa na kupotezwa kabisa.

Wadigo hawakuwahi kutawaliwa na walimgomea mkoloni mmoja wapo ni Abushiri alipambana na wakoloni ...Walipewa cheo cha manamba na kuwatumikishi watanganyika wenzao ndio chanzo cha kuitwa wavivu hawakufanya kazi mbele ya wabara ...

Ukiachana na mambo hayo pia wana talents kibao , Mimi sio mdigo ila nimekaa nao karne hii mdigo anaweza asisome sekondari ila anakuwa mjanja huwezi kumuendesha hovyo hovyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…