List ya makabila Tanzania yenye watu wengi wenye akili

Nyuzi nyingi zimezungumzia makabila yenye watu wengi wenye elimu nasiyo akili. Elimu pekee haitoshi ila tunahitaji uwezo wa akili pamoja na elimu ili kuleta ubunifu ili tubali taifa.

Pamoja kwamba wahaya, wachagga na wanyakyusa kusifiwa kama makabila yenye wasomi wengi lakini hakuna cha maana walichofanya katika nchi hii yenye umaskini wakunuka usio hata na dalili za kupungua kila siku afadhali ya jana.

Wasomi kazi majigambo na kujisifia kwa watanzania wenzao na kujiona wao ni bora zaidi, mfano wachaga wanajiita waislaeli wa Tanzania daah! kwakweli hivi ni vichekesho.

Most ya makibila yenye wasomi wengi ni kwa sababu ya ukoloni na siyo jitihada zao.

Haya nisiwachoshe sana twende kwenye list ya makabila yenye watu wengi wenye akili kama wangepata elimu mapema tungefika mbali sana:

1. Wakinga
2. Wasukuma
3. Waha
4. Wahehe
5. Wakurya
6. Wamasai
7. Wapemba
Kuna watu watabisha kwa sababu ya egoism lakini huo ni ukweli.
WAPEMBA kumbe tuna akili nyingi?
 
Poor mind.! Kila kabila lina watu wenye akili hao wakinga kuibuka na kujazana kariakoo basi mnazani mmemaliza.!

Kila kabila lina mchango wake mkubwa tu kwny maendeleo ya nchi hii.! Tembea uone
Ukimuambia aelezee maana ya akili h
Nan kashika madaraka unauliza ? Baada ya uhuru Nyerer hakuwaweka kweny system ...Kama ulikuwa hujui chochote.

Wadigo ndio walikuwa walimu wa kwanza kaulize wakubwa wako shule ya kwanza ilikuwa kwao kaulize wakubwa wako...Baadae walikuwa kutolewa na kupotezwa kabisa.

Wadigo hawakuwahi kutawaliwa na walimgomea mkoloni mmoja wapo ni Abushiri alipambana na wakoloni ...Walipewa cheo cha manamba na kuwatumikishi watanganyika wenzao ndio chanzo cha kuitwa wavivu hawakufanya kazi mbele ya wabara ...

Ukiachana na mambo hayo pia wana talents kibao , Mimi sio mdigo ila nimekaa nao karne hii mdigo anaweza asisome sekondari ila anakuwa mjanja huwezi kumuendesha hovyo hovyo.
HIvi kwa akili yako, unajua ualimu ni fani, inayosomewa, hivyo mtu yeyote akisomea ualimu, anaweza kuwa mwalimu, hebu weka sawa akili yako kwanza.

Alafu weka sawa akili yako tena, kipaji siyo akili, kipaji ni kipaji akili ni akili au hujui maana ya neno talents, kwa Lugha ya Tanzania.

Wadigo, hawakuwahi kutawaliwa, ila kabla umeandika, wao wakati ukoloni walikua manamba walikua manamba wa Mtawala gani, au au akili yako ina kipaji cha kusahau.🤣🤣🤣
 
Kuwa na akili nimekuelewa wakoloni walikuwa na mashamba ila hawakuwahi kuwatala wadigo ... Wadigo waligoma hata kusoma elimu ya mkoloni mpaka anaondoka ...

Mzungu alikubaliana nao kweny kuwapa mamlaka ya kuwaburuza wabara🤣🤣ila hakuwahi kutawaliwa kabisa...kwami kipaji na akili n nn?

Ualimu ni fani ya kusomea unategema unaenda kusomea nn ? Na unaenda kufundisha nn?

.Nikuulize swali ! Elimu baada ya ukoloni miaka ya 1962 na ya leo ipo sawa ? Sera za elimu za Nyerere na leo zipo sawa ...Kumbe huana unachojua basi elimu ya zamani na sasa ni tofauti ,zamani ili elimu ya kujitegemea wachache ndio walisoma shule za wakoloni ndio vibaraka wa kizungu ila elimu informal walifundisha wadigo .....
 
..hakuna mtu asiye na akili au kipaji.

..mtihani ni kutambua kipaji cha mhusika na kuweka mazingira ya kukikuza.
Sawasawa, kila mwanadamu aliye timamu anakua na akili, mtu akikosa akili, anaingia kwenye kundi la watu wenye afya mbovu, ndiyo maana kuna hospitali zinazotibu matatizo ya akili.
 
Bado kuna mtu anauliza eti waafrika ilikuaje tukatawaliwa na wakoloni ???? Jibu lipo hapa
 
Kuwa na akili nimekuelewa wakoloni walikuwa na mashamba ila hawakuwahi kuwatala wadigo ... Wadigo waligoma hata kusoma elimu ya mkoloni mpaka anaondoka ...

Mzungu alikubaliana nao kweny kuwapa mamlaka ya kuwaburuza wabara🤣🤣ila hakuwahi kutawaliwa kabisa...kwami kipaji na akili n nn?

Ualimu ni fani ya kusomea unategema unaenda kusomea nn ? Na unaenda kufundisha nn?

.Nikuulize swali ! Elimu baada ya ukoloni miaka ya 1962 na ya leo ipo sawa ? Sera za elimu za Nyerere na leo zipo sawa ...Kumbe huana unachojua basi elimu ya zamani na sasa ni tofauti ,zamani ili elimu ya kujitegemea wachache ndio walisoma shule za wakoloni ndio vibaraka wa kizungu ila elimu informal walifundisha wadigo .....
Hapa umepuyanga, Kila nikisoma nikuelewe nashindwa.
Eti ualimu ni fani, inategemea unaenda kusomenini, kwa akili yako unajua ualimu nini.

Wote wanaenda ualimu wanaenda kusomea kufundisha, pigia mstari hapo.
Kufundisha nini hapo ndipo penye mgawanyiko,
Mwalimu shule ya msingi,
Mwalimu Sekondary,
Mwalimu shule ya awali,
Mwalimu wa Chuo
Mwalimu wa madereva
Mwalimu wa mpishi na fani mbali mbali.
 
SIdhani kama kuna kabila lenye watu wasio na akili, hebu ulieandika mada hii leta sababu za kuona makabila hayo yana akili, na makabila ambayo hukuyataja eti hayana akili weka sababu.
Na ikiwezekana uelezee kwanza akili nini, ndipo ulete hizo sababu.
Point ya msingi zaidi ni atueleze kwnz Akili ni nini?

Na tutajuaje huyu ana akili na yule hana akili?

Si bure huyu ni yule anayefikiri Mtu akifaulu mtihani tu wa darasani tayari ana akili kuliko wengine

Watu8 ameeleza vizuri hapo juu
 
Nan kashika madaraka unauliza ? Baada ya uhuru Nyerer hakuwaweka kweny system ...Kama ulikuwa hujui chochote.

Wadigo ndio walikuwa walimu wa kwanza kaulize wakubwa wako shule ya kwanza ilikuwa kwao kaulize wakubwa wako...Baadae walikuwa kutolewa na kupotezwa kabisa.

Wadigo hawakuwahi kutawaliwa na walimgomea mkoloni mmoja wapo ni Abushiri alipambana na wakoloni ...Walipewa cheo cha manamba na kuwatumikishi watanganyika wenzao ndio chanzo cha kuitwa wavivu hawakufanya kazi mbele ya wabara ...

Ukiachana na mambo hayo pia wana talents kibao , Mimi sio mdigo ila nimekaa nao karne hii mdigo anaweza asisome sekondari ila anakuwa mjanja huwezi kumuendesha hovyo hovyo.
Unazungumzia Akili au Ujasiri?

Suala la Akili halitokani na kabila flani

Hakuna Kabila lisilo na watu wenye akili na vilaza pia

Tunaposema Wachaga, Wahaya na Wanyakyusa kuwa na idadi kubwa ya wasomi ni kwasababu za kihistoria...kwamba wazee wao walitangulia kupata fursa za elimu pale ambapo Wakoloni walijenga Shule, Makanisa, Mahospitali na kilimo cha kahawa kilichokuwa na tija maeneo hayo kabla ya sehemu zingine

Sehemu zingine ni Arusha na Meru, kulikuwa na Wasomi wengi tangu zamani kwasababu ya Wakoloni kuishi kule na kuwekeza katika kilimo cha kahawa, Shule, Hospitali n.k

Kila kabila lina Wasomi na Vilaza

Hata Ulaya, Asia na Amerika kuna Wasomi na Vilaza vilevile
 
Hayo makabila uliyo yataja..wamefanya uvumbuz gan kiasi kwamba kinaleta matokeo katika ulimwengu huu..??
 
Bado kuna mtu anauliza eti waafrika ilikuaje tukatawaliwa na wakoloni ???? Jibu lipo hapa
Watu weusi ni jamii duni, ni jamii ya watu wenye uwezo mkubwa wa nguvu za mwili....lakini sio za kiakili.

Sio Waafrika wote ni Wajinga, kwasababu kuna Waarabu na Wahindi ambao ni Waafrika na sio Watumwa kama Watu weusi

Popote duniani walipo watu weusi ujue wanaishi maisha magumu kuliko jamii zingine
 
Watu wenye akili nyingi wapo kila kabila, inategemeana hizo akili ni katika nyanja gani. Hali kadhalika kila taifa duniani lina watu wenye akili ya mambo fulani ili kubalansi eco system duniani
Labda alimaanisha walozi,kaiweka kinamna tu,mana ulozi si akili
 
Nyuzi nyingi zimezungumzia makabila yenye watu wengi wenye elimu nasiyo akili. Elimu pekee haitoshi ila tunahitaji uwezo wa akili pamoja na elimu ili kuleta ubunifu ili tubali taifa.

Pamoja kwamba wahaya, wachagga na wanyakyusa kusifiwa kama makabila yenye wasomi wengi lakini hakuna cha maana walichofanya katika nchi hii yenye umaskini wakunuka usio hata na dalili za kupungua kila siku afadhali ya jana.

Wasomi kazi majigambo na kujisifia kwa watanzania wenzao na kujiona wao ni bora zaidi, mfano wachaga wanajiita waislaeli wa Tanzania daah! kwakweli hivi ni vichekesho.

Most ya makibila yenye wasomi wengi ni kwa sababu ya ukoloni na siyo jitihada zao.

Haya nisiwachoshe sana twende kwenye list ya makabila yenye watu wengi wenye akili kama wangepata elimu mapema tungefika mbali sana:

1. Wakinga
2. Wasukuma
3. Waha
4. Wahehe
5. Wakurya
6. Wamasai
7. Wapemba
Kuna watu watabisha kwa sababu ya egoism lakini huo ni ukweli.
Nyuzi nyingi zimezungumzia makabila yenye watu wengi wenye elimu nasiyo akili. Elimu pekee haitoshi ila tunahitaji uwezo wa akili pamoja na elimu ili kuleta ubunifu ili tubali taifa.

Pamoja kwamba wahaya, wachagga na wanyakyusa kusifiwa kama makabila yenye wasomi wengi lakini hakuna cha maana walichofanya katika nchi hii yenye umaskini wakunuka usio hata na dalili za kupungua kila siku afadhali ya jana.

Wasomi kazi majigambo na kujisifia kwa watanzania wenzao na kujiona wao ni bora zaidi, mfano wachaga wanajiita waislaeli wa Tanzania daah! kwakweli hivi ni vichekesho.

Most ya makibila yenye wasomi wengi ni kwa sababu ya ukoloni na siyo jitihada zao.

Haya nisiwachoshe sana twende kwenye list ya makabila yenye watu wengi wenye akili kama wangepata elimu mapema tungefika mbali sana:

1. Wakinga
2. Wasukuma
3. Waha
4. Wahehe
15. Wakurya
6. Wamasai
7. Wapemba
Kuna watu watabisha kwa sababu ya egoism lakini huo ni ukweli.
Hizo akili umezipimaje maana kama ni akili natural basi mimi list yangu ni hii
1.wahaya
2. Wahehe
3. Wabena
4.wangoni
5.wamasai
6. Wanyamwezi
Haya ni makabila ambayo yalikuwa na nguvu na mtindo wao wa maisha hata kabla ya ukoloni mfano wahaya walikuwa na empire kamili sawa na wahehe...
 
Watu weusi ni jamii duni, ni jamii ya watu wenye uwezo mkubwa wa nguvu za mwili....lakini sio za kiakili.

Sio Waafrika wote ni Wajinga, kwasababu kuna Waarabu na Wahindi ambao ni Waafrika na sio Watumwa kama Watu weusi

Popote duniani walipo watu weusi ujue wanaishi maisha magumu kuliko jamii zingine
Dah😢
 
Nyuzi nyingi zimezungumzia makabila yenye watu wengi wenye elimu nasiyo akili. Elimu pekee haitoshi ila tunahitaji uwezo wa akili pamoja na elimu ili kuleta ubunifu ili tubali taifa.

Pamoja kwamba wahaya, wachagga na wanyakyusa kusifiwa kama makabila yenye wasomi wengi lakini hakuna cha maana walichofanya katika nchi hii yenye umaskini wakunuka usio hata na dalili za kupungua kila siku afadhali ya jana.

Wasomi kazi majigambo na kujisifia kwa watanzania wenzao na kujiona wao ni bora zaidi, mfano wachaga wanajiita waislaeli wa Tanzania daah! kwakweli hivi ni vichekesho.

Most ya makibila yenye wasomi wengi ni kwa sababu ya ukoloni na siyo jitihada zao.

Haya nisiwachoshe sana twende kwenye list ya makabila yenye watu wengi wenye akili kama wangepata elimu mapema tungefika mbali sana:

1. Wakinga
2. Wasukuma
3. Waha
4. Wahehe
5. Wakurya
6. Wamasai
7. Wapemba
Kuna watu watabisha kwa sababu ya egoism lakini huo ni ukweli.
Akili ni nini?
 
Back
Top Bottom