List ya makabila Tanzania yenye watu wengi wenye akili

Je ni kitu gani kina determine mtu kuwa na akili na mwingine hamna?!!
Kwa muda mrefu Tafiti zinaonesha nchi yetu imekubwa na tatizo la ukuaji wa watoto (stunted growth)
Watu hawakui kama inavyostahili au inavyopaswa haswa maeneo ya nyanda za kuu kusini na kanda ya kati hadi baadhi ya sehem za kanda ya ziwa!!

Sasa basi nini kinachopelekea hali hii?
1. Mosi kuna dhana kwamba maeneo ya nyanda za juu kusini mikoa ya iringa, Njombe na ruvuma, maeneo mengi ardhi yake haina virutubisho (nutrients) muhimu kwa ukuaji wa binadamu. Madini muhimu haswa ya kuimarisha mifupa kama calcium ni nadra kwenye ardhi.

2. Utamaduni wa wenyeji wa kanda hii sio wa kujijalo binafsi sana mtu anaweza akawa na uwezo ila hazingatii afya yake na ya familia haswa katika ulaji (poor diet plan)
3. Mikoa ya kanda ya kati hadi kanda ya ziwa huku changamoto kubwa ni uhaba wa vyakula (food scarcity) hii kanda ina asili ya ukame sasa basi kutokana na ufukara wa nchi yetu hii imekuwa ratiba ya kudumu ukame na njaa na serikali hupeleka mahindi matupu kama wanalisha nguruwe vile.

4. Taifa kwa ujumla lina uelewe mdogo kuhusu ulaji wa mpangilio na uhaba wa vyakula. Yakezekana hata wenye uchumi nzuri wanakula hovyo na kunenepeana kama nguruwe.

5. Mwisho nafikiri sisi kama jamii au tqifa tunafaa ku adress hili jambo kwa upana wake kuliko kujidanganya kabila lenye akili na lipi halina kwa sabab tatizo ni la kitaifa zaidi tuwaige wakorea na wajapan katika ulaji na mpango wao wa vyakula
Asanteni
Akili hta punda anayo ila hana elimu wala maarifa hta watu weusi wapo km wanyama hawana elimu wala maarifa ndio maana sio wabunifu
 
Nyuzi nyingi zimezungumzia makabila yenye watu wengi wenye elimu nasiyo akili. Elimu pekee haitoshi ila tunahitaji uwezo wa akili pamoja na elimu ili kuleta ubunifu ili tubali taifa.

Pamoja kwamba wahaya, wachagga na wanyakyusa kusifiwa kama makabila yenye wasomi wengi lakini hakuna cha maana walichofanya katika nchi hii yenye umaskini wakunuka usio hata na dalili za kupungua kila siku afadhali ya jana.

Wasomi kazi majigambo na kujisifia kwa watanzania wenzao na kujiona wao ni bora zaidi, mfano wachaga wanajiita waislaeli wa Tanzania daah! kwakweli hivi ni vichekesho.

Most ya makibila yenye wasomi wengi ni kwa sababu ya ukoloni na siyo jitihada zao.

Haya nisiwachoshe sana twende kwenye list ya makabila yenye watu wengi wenye akili kama wangepata elimu mapema tungefika mbali sana:

1. Wakinga
2. Wasukuma
3. Waha
4. Wahehe
5. Wakurya
6. Wamasai
7. Wapemba
Kuna watu watabisha kwa sababu ya egoism lakini huo ni ukweli.
wasukuma na wapemba toa hapo
 
Waha na wakurya sawa ila wengine hapana
 
Hii nchi bila wahaya wanyakyusa na wachaga ingekuwa takataka isingekuwepo isingeonekana duniani... Tuyashukuru sana haya makabila
 
Nyuzi nyingi zimezungumzia makabila yenye watu wengi wenye elimu nasiyo akili. Elimu pekee haitoshi ila tunahitaji uwezo wa akili pamoja na elimu ili kuleta ubunifu ili tubali taifa.

Pamoja kwamba wahaya, wachagga na wanyakyusa kusifiwa kama makabila yenye wasomi wengi lakini hakuna cha maana walichofanya katika nchi hii yenye umaskini wakunuka usio hata na dalili za kupungua kila siku afadhali ya jana.

Wasomi kazi majigambo na kujisifia kwa watanzania wenzao na kujiona wao ni bora zaidi, mfano wachaga wanajiita waislaeli wa Tanzania daah! kwakweli hivi ni vichekesho.

Most ya makibila yenye wasomi wengi ni kwa sababu ya ukoloni na siyo jitihada zao.

Haya nisiwachoshe sana twende kwenye list ya makabila yenye watu wengi wenye akili kama wangepata elimu mapema tungefika mbali sana:

1. Wakinga
2. Wasukuma
3. Waha
4. Wahehe
5. Wakurya
6. Wamasai
7. Wapemba
Kuna watu watabisha kwa sababu ya egoism lakini huo ni ukweli.
Dah letu halipo🙆
 
Ondoa Wasukuma, Wahehe na Wamasai kweny hiyo orodha. Wasukuma na Wamasai ni washamba kupoindukia na ushamba wao ni milele hata wakija mjini wanaendelea kuwa washamba. Wahehe na wenyewe tangu waache kula mbwa wameanza kuwa waoga waoga na wajinga wajinga.
 
Back
Top Bottom