List ya makabila Tanzania yenye watu wengi wenye akili

Nyuzi nyingi zimezungumzia makabila yenye watu wengi wenye elimu nasiyo akili. Elimu pekee haitoshi ila tunahitaji uwezo wa akili pamoja na elimu ili kuleta ubunifu ili tubali taifa.

Pamoja kwamba wahaya, wachagga na wanyakyusa kusifiwa kama makabila yenye wasomi wengi lakini hakuna cha maana walichofanya katika nchi hii yenye umaskini wakunuka usio hata na dalili za kupungua kila siku afadhali ya jana.

Wasomi kazi majigambo na kujisifia kwa watanzania wenzao na kujiona wao ni bora zaidi, mfano wachaga wanajiita waislaeli wa Tanzania daah! kwakweli hivi ni vichekesho.

Most ya makibila yenye wasomi wengi ni kwa sababu ya ukoloni na siyo jitihada zao.

Haya nisiwachoshe sana twende kwenye list ya makabila yenye watu wengi wenye akili kama wangepata elimu mapema tungefika mbali sana:

1. Wakinga
2. Wasukuma
3. Waha
4. Wahehe
5. Wakurya
6. Wamasai
7. Wapemba
Kuna watu watabisha kwa sababu ya egoism lakini huo ni ukweli.
Wasukuma ungeniambia kwenye confidence (kujiamini) ningekubali n.b sijasema hawana akili

Ningewaweka Wamasai no2 they are very critical basi tu wamekosa confidence yaani kiufupi Mungu hakupi vyote
 
Sema hayo ni makabili maarufu Tz yapo kibao ...Zunguka utaelewa ila naona wanaozaliwa na akili bila ya elimu ni wadigo .

Mdigo kasumbua tangu enzi za ukoloni ji wajuaji na wanajiamini sana japo mtu unakuta hajasoma wapo fresh sana.... Mdigo hata awe hana pesa au elimu ila wanakuwa na uwezo wa kushawishi ma uongozi...Haw ndio walikuwa manamba mashamba ya wakoloni kwa vile walikataa Kaz ngumu.
Wadigo hamna kitu nimeishi nao hakuna watu wavivu wa kila kitu kama wasigo na waswahili kupita maelezo

Hawapendi shule kabisa wamejikita kwenye elimu ya dini tu kama wangekua na akili wakoloni wangekenga shule nyingi kwao

Sehemu wakoloni walipo jenga shule fahamu hao watu mdo wanaakili
 
Nyuzi nyingi zimezungumzia makabila yenye watu wengi wenye elimu nasiyo akili. Elimu pekee haitoshi ila tunahitaji uwezo wa akili pamoja na elimu ili kuleta ubunifu ili tubali taifa.

Pamoja kwamba wahaya, wachagga na wanyakyusa kusifiwa kama makabila yenye wasomi wengi lakini hakuna cha maana walichofanya katika nchi hii yenye umaskini wakunuka usio hata na dalili za kupungua kila siku afadhali ya jana.

Wasomi kazi majigambo na kujisifia kwa watanzania wenzao na kujiona wao ni bora zaidi, mfano wachaga wanajiita waislaeli wa Tanzania daah! kwakweli hivi ni vichekesho.

Most ya makibila yenye wasomi wengi ni kwa sababu ya ukoloni na siyo jitihada zao.

Haya nisiwachoshe sana twende kwenye list ya makabila yenye watu wengi wenye akili kama wangepata elimu mapema tungefika mbali sana:

1. Wakinga
2. Wasukuma
3. Waha
4. Wahehe
5. Wakurya
6. Wamasai
7. Wapemba
Kuna watu watabisha kwa sababu ya egoism lakini huo ni ukweli.
Hapo wenye akili ni wawili TU. Wengine waondoe. Wenye akili hapo ni Wakinga na Wapemba TU.
 
Hakuna kitu mkinga anachukia sana kama kufanya kazi na mhehe kwasababu anadainmhehe hana akili ya kufikiria mambo ya mbeleni. Sasa sijui huyu mhehe hii akili katoa wapi?[emoji2955][emoji2955]
Na kweli nimekah na muhehe mawzo yake Ni mafupi sna anaweza kukufanya usifanye kazi kwa kuwa maisha yapo tu na uamski mafanikio Ni mungu anatoa bila kibidishaa
 
Kuwa na akili nimekuelewa wakoloni walikuwa na mashamba ila hawakuwahi kuwatala wadigo ... Wadigo waligoma hata kusoma elimu ya mkoloni mpaka anaondoka ...

Mzungu alikubaliana nao kweny kuwapa mamlaka ya kuwaburuza wabara🤣🤣ila hakuwahi kutawaliwa kabisa...kwami kipaji na akili n nn?

Ualimu ni fani ya kusomea unategema unaenda kusomea nn ? Na unaenda kufundisha nn?

.Nikuulize swali ! Elimu baada ya ukoloni miaka ya 1962 na ya leo ipo sawa ? Sera za elimu za Nyerere na leo zipo sawa ...Kumbe huana unachojua basi elimu ya zamani na sasa ni tofauti ,zamani ili elimu ya kujitegemea wachache ndio walisoma shule za wakoloni ndio vibaraka wa kizungu ila elimu informal walifundisha wadigo .....
Mzungu alikua anatawala eneo zima la Tanganyika unasemaje hakuwah kuwatawala
 
Ukisema wasukuma Wana akili sana sijajua umezingatia kitu gani[emoji848]

Kwa mtizamo wangu,
Wahadzabe Wana nafuu Sana kuliko wasukuma
 
Nyuzi nyingi zimezungumzia makabila yenye watu wengi wenye elimu nasiyo akili. Elimu pekee haitoshi ila tunahitaji uwezo wa akili pamoja na elimu ili kuleta ubunifu ili tubali taifa.

Pamoja kwamba wahaya, wachagga na wanyakyusa kusifiwa kama makabila yenye wasomi wengi lakini hakuna cha maana walichofanya katika nchi hii yenye umaskini wakunuka usio hata na dalili za kupungua kila siku afadhali ya jana.

Wasomi kazi majigambo na kujisifia kwa watanzania wenzao na kujiona wao ni bora zaidi, mfano wachaga wanajiita waislaeli wa Tanzania daah! kwakweli hivi ni vichekesho.

Most ya makibila yenye wasomi wengi ni kwa sababu ya ukoloni na siyo jitihada zao.

Haya nisiwachoshe sana twende kwenye list ya makabila yenye watu wengi wenye akili kama wangepata elimu mapema tungefika mbali sana:

1. Wakinga
2. Wasukuma
3. Waha
4. Wahehe
5. Wakurya
6. Wamasai
7. Wapemba
Kuna watu watabisha kwa sababu ya egoism lakini huo ni ukweli.
Hii nchi ingekuwa na watu hata milioni 2 wenye akili tusingekuwa na CCM na kuomba misaada ya kuchimbiwa visima vya maji, dawa na condoms. Makabila yote tukitoka nje ya Tanzania tunakuwa considered citizens of the third world country. Let that sink in your nappy head.
 
Wachaga unawaonea mkuu, jamaa wana akili ni tofauti na kabila zingine zote tz....! Tuwape tu maua yao
 
Ukisema wasukuma Wana akili sana sijajua umezingatia kitu gani[emoji848]

Kwa mtizamo wangu,
Wahadzabe Wana nafuu Sana kuliko wasukuma
Tena usiombe upande bus moja na ndani kuna Wasukuma wa Maswa watano tu, ni lazima utashuka Hilo bus na nauli utasamehe.
 
Hii mnaizungumziaje wakuu
 
Attachments

  • Screenshot_2024-01-03-22-34-41-11.png
    Screenshot_2024-01-03-22-34-41-11.png
    95.8 KB · Views: 18
Nyuzi nyingi zimezungumzia makabila yenye watu wengi wenye elimu nasiyo akili. Elimu pekee haitoshi ila tunahitaji uwezo wa akili pamoja na elimu ili kuleta ubunifu ili tubali taifa.

Pamoja kwamba wahaya, wachagga na wanyakyusa kusifiwa kama makabila yenye wasomi wengi lakini hakuna cha maana walichofanya katika nchi hii yenye umaskini wakunuka usio hata na dalili za kupungua kila siku afadhali ya jana.

Wasomi kazi majigambo na kujisifia kwa watanzania wenzao na kujiona wao ni bora zaidi, mfano wachaga wanajiita waislaeli wa Tanzania daah! kwakweli hivi ni vichekesho.

Most ya makibila yenye wasomi wengi ni kwa sababu ya ukoloni na siyo jitihada zao.

Haya nisiwachoshe sana twende kwenye list ya makabila yenye watu wengi wenye akili kama wangepata elimu mapema tungefika mbali sana:

1. Wakinga
2. Wasukuma
3. Waha
4. Wahehe
5. Wakurya
6. Wamasai
7. Wapemba
Kuna watu watabisha kwa sababu ya egoism lakini huo ni ukweli.
Unajua kwanini hata waafrika wana "akili" kuliko wazungu?...ni ule uprimitivu wao! Na hizi ni akili za kukremu vitu darasani na sio utendaji. Watoto wa vijijini huonekana kuwa vizuri zaidi darasani kwasababu ya discipline yao na malezi ya vijijini. Mtoto wa kisukuma akija mjiji lazima atakuwa mzuri zaidi darasani kuliko wa kizaramo kwani ni msikivu zaidi.
 
Nyuzi nyingi zimezungumzia makabila yenye watu wengi wenye elimu nasiyo akili. Elimu pekee haitoshi ila tunahitaji uwezo wa akili pamoja na elimu ili kuleta ubunifu ili tubali taifa.

Pamoja kwamba wahaya, wachagga na wanyakyusa kusifiwa kama makabila yenye wasomi wengi lakini hakuna cha maana walichofanya katika nchi hii yenye umaskini wakunuka usio hata na dalili za kupungua kila siku afadhali ya jana.

Wasomi kazi majigambo na kujisifia kwa watanzania wenzao na kujiona wao ni bora zaidi, mfano wachaga wanajiita waislaeli wa Tanzania daah! kwakweli hivi ni vichekesho.

Most ya makibila yenye wasomi wengi ni kwa sababu ya ukoloni na siyo jitihada zao.

Haya nisiwachoshe sana twende kwenye list ya makabila yenye watu wengi wenye akili kama wangepata elimu mapema tungefika mbali sana:

1. Wakinga
2. Wasukuma
3. Waha
4. Wahehe
5. Wakurya
6. Wamasai
7. Wapemba
Kuna watu watabisha kwa sababu ya egoism lakini huo ni ukweli.
Msukuma wa wapi wewe nenda kuangalie ng'ombe zako acha pumba
 
Wakinga......overrated tribe kuliko uhalisia, wasukuma hahahahaaaaa, ktk hiyo list kidogo nakubaliana kwa Waha. Wakurya ni average tribe umewakweza, bora ungesema wajaluo. Hapo juu umesema kuwa wahaya, wachaga na wanyaki wasomi ni wengi lakn akili hawana, kwako wewe usomi na akili ni inversely proportional, hapa ndipo nimekusamehe kwa kosa la kuweka wapemba kwenye orodha ya wenye akili.
Naomba niongeze Akili kama ni za darasani basi bila shaka yake makabila yanayopata chakula cha kutosha haswa samaki wenye protein.
1. Waha
2. Wahaya
3. Wakerewe
4. Wajita/wakurya
5. Wanyakyusa
6.wachaga
7.wameru
8.wasanbaa
9.et?
 
Nyuzi nyingi zimezungumzia makabila yenye watu wengi wenye elimu nasiyo akili. Elimu pekee haitoshi ila tunahitaji uwezo wa akili pamoja na elimu ili kuleta ubunifu ili tubali taifa.

Pamoja kwamba wahaya, wachagga na wanyakyusa kusifiwa kama makabila yenye wasomi wengi lakini hakuna cha maana walichofanya katika nchi hii yenye umaskini wakunuka usio hata na dalili za kupungua kila siku afadhali ya jana.

Wasomi kazi majigambo na kujisifia kwa watanzania wenzao na kujiona wao ni bora zaidi, mfano wachaga wanajiita waislaeli wa Tanzania daah! kwakweli hivi ni vichekesho.

Most ya makibila yenye wasomi wengi ni kwa sababu ya ukoloni na siyo jitihada zao.

Haya nisiwachoshe sana twende kwenye list ya makabila yenye watu wengi wenye akili kama wangepata elimu mapema tungefika mbali sana:

1. Wakinga
2. Wasukuma
3. Waha
4. Wahehe
5. Wakurya
6. Wamasai
7. Wapemba
Kuna watu watabisha kwa sababu ya egoism lakini huo ni ukweli.
Ulishapima akili zao ukagundua wana kilo ngapi?
 
Je ni kitu gani kina determine mtu kuwa na akili na mwingine hamna?!!
Kwa muda mrefu Tafiti zinaonesha nchi yetu imekubwa na tatizo la ukuaji wa watoto (stunted growth)
Watu hawakui kama inavyostahili au inavyopaswa haswa maeneo ya nyanda za kuu kusini na kanda ya kati hadi baadhi ya sehem za kanda ya ziwa!!

Sasa basi nini kinachopelekea hali hii?
1. Mosi kuna dhana kwamba maeneo ya nyanda za juu kusini mikoa ya iringa, Njombe na ruvuma, maeneo mengi ardhi yake haina virutubisho (nutrients) muhimu kwa ukuaji wa binadamu. Madini muhimu haswa ya kuimarisha mifupa kama calcium ni nadra kwenye ardhi.

2. Utamaduni wa wenyeji wa kanda hii sio wa kujijalo binafsi sana mtu anaweza akawa na uwezo ila hazingatii afya yake na ya familia haswa katika ulaji (poor diet plan)
3. Mikoa ya kanda ya kati hadi kanda ya ziwa huku changamoto kubwa ni uhaba wa vyakula (food scarcity) hii kanda ina asili ya ukame sasa basi kutokana na ufukara wa nchi yetu hii imekuwa ratiba ya kudumu ukame na njaa na serikali hupeleka mahindi matupu kama wanalisha nguruwe vile.

4. Taifa kwa ujumla lina uelewe mdogo kuhusu ulaji wa mpangilio na uhaba wa vyakula. Yakezekana hata wenye uchumi nzuri wanakula hovyo na kunenepeana kama nguruwe.

5. Mwisho nafikiri sisi kama jamii au tqifa tunafaa ku adress hili jambo kwa upana wake kuliko kujidanganya kabila lenye akili na lipi halina kwa sabab tatizo ni la kitaifa zaidi tuwaige wakorea na wajapan katika ulaji na mpango wao wa vyakula
Asanteni
 
Back
Top Bottom