List ya makabila Tanzania yenye watu wengi wenye akili

Mimi sijaelewa unamaanisha IQ kubwa au unamaanisha wingi wa ubongo? Yaani akili na kabila wapi na wapi. Hao masai walioshindwa kubadili mfumo wa maisha ndio wanaakili? Wasukuma hawa washamba wanaotegemea ndumba ndiyo akili? Wakurya wanaouana kizembe ndiyo akili. Mada yako inaonyesha hata wewe unaakili mbili TU, kula na kujisaidia.
 
Nyuzi nyingi zimezungumzia makabila yenye watu wengi wenye elimu nasiyo akili. Elimu pekee haitoshi ila tunahitaji uwezo wa akili pamoja na elimu ili kuleta ubunifu ili tubali taifa.

Pamoja kwamba wahaya, wachagga na wanyakyusa kusifiwa kama makabila yenye wasomi wengi lakini hakuna cha maana walichofanya katika nchi hii yenye umaskini wakunuka usio hata na dalili za kupungua kila siku afadhali ya jana.

Wasomi kazi majigambo na kujisifia kwa watanzania wenzao na kujiona wao ni bora zaidi, mfano wachaga wanajiita waislaeli wa Tanzania daah! kwakweli hivi ni vichekesho.

Most ya makibila yenye wasomi wengi ni kwa sababu ya ukoloni na siyo jitihada zao.

Haya nisiwachoshe sana twende kwenye list ya makabila yenye watu wengi wenye akili kama wangepata elimu mapema tungefika mbali sana:

1. Wakinga
2. Wasukuma
3. Waha
4. Wahehe
5. Wakurya
6. Wamasai
7. Wapemba
Kuna watu watabisha kwa sababu ya egoism lakini huo ni ukweli.

Kuna akili na kusoma kwa kukariri

Wasukuma wanawasomi wengi hadi ma prof kwa sababu wanapenda kusoma. Hii haimaanishi kuwa wanaakili

Unaweza kuwa umesoma na huna akili
Tofautishaa
 
Pia niseme tu, binadamu wote tumeumbwa sawa, lakini ukisema kabila flani wanaakili kuzidi wengine, huo ni uongo.
 
Nyuzi nyingi zimezungumzia makabila yenye watu wengi wenye elimu nasiyo akili. Elimu pekee haitoshi ila tunahitaji uwezo wa akili pamoja na elimu ili kuleta ubunifu ili tubali taifa.

Pamoja kwamba wahaya, wachagga na wanyakyusa kusifiwa kama makabila yenye wasomi wengi lakini hakuna cha maana walichofanya katika nchi hii yenye umaskini wakunuka usio hata na dalili za kupungua kila siku afadhali ya jana.

Wasomi kazi majigambo na kujisifia kwa watanzania wenzao na kujiona wao ni bora zaidi, mfano wachaga wanajiita waislaeli wa Tanzania daah! kwakweli hivi ni vichekesho.

Most ya makibila yenye wasomi wengi ni kwa sababu ya ukoloni na siyo jitihada zao.

Haya nisiwachoshe sana twende kwenye list ya makabila yenye watu wengi wenye akili kama wangepata elimu mapema tungefika mbali sana:

1. Wakinga
2. Wasukuma
3. Waha
4. Wahehe
5. Wakurya
6. Wamasai
7. Wapemba
Kuna watu watabisha kwa sababu ya egoism lakini huo ni ukweli.

hii itasaidia nini hata kama mtu ataambiwa kabila lake ni #1 wakati anapuyanga mtaani
 
Bila shaka uko Mirembe
 
Kama hamna wabena mi nalog out
 
Namba 1 na namba 3 uko sawa, kwingine umepuyanga.
Kwasababu we ni msukuma? Wasukuma huo upuuzi wenu wa kufuga fisi na kujinyea vichakani ndiyo akili? Hakuna kabila lenye watu washamba na wa hovyo km wasukuma. Huwezi kuishi usukumani wako nyuma sana kimaendeleo, hiyo akili unazungumzia ni ya kufanyia nini. Wahaya ndio kabila maskini kuliko, nenda kaangalie nyumba zao kijijini, wavivu, maskini. Bahati mbaya ni kwamba yale makabila yenye matatizo makubwa ndiyo yana midomo mirefu kwasababu ya inferiority complex
 
Hakuna kitu mkinga anachukia sana kama kufanya kazi na mhehe kwasababu anadainmhehe hana akili ya kufikiria mambo ya mbeleni. Sasa sijui huyu mhehe hii akili katoa wapi?🤨🤨
Sasa mkinga ana akili gani, ya kufuga misukule? Wakinga hawa naowafahamu? Ni walevi, wazinzi, washirikina. Kule kwao Makete wamefanya nini cha maana umaskini na udumavu kwa kwenda mbele
 
Nyuzi nyingi zimezungumzia makabila yenye watu wengi wenye elimu nasiyo akili. Elimu pekee haitoshi ila tunahitaji uwezo wa akili pamoja na elimu ili kuleta ubunifu ili tubali taifa.

Pamoja kwamba wahaya, wachagga na wanyakyusa kusifiwa kama makabila yenye wasomi wengi lakini hakuna cha maana walichofanya katika nchi hii yenye umaskini wakunuka usio hata na dalili za kupungua kila siku afadhali ya jana.

Wasomi kazi majigambo na kujisifia kwa watanzania wenzao na kujiona wao ni bora zaidi, mfano wachaga wanajiita waislaeli wa Tanzania daah! kwakweli hivi ni vichekesho.

Most ya makibila yenye wasomi wengi ni kwa sababu ya ukoloni na siyo jitihada zao.

Haya nisiwachoshe sana twende kwenye list ya makabila yenye watu wengi wenye akili kama wangepata elimu mapema tungefika mbali sana:

1. Wakinga
2. Wasukuma
3. Waha
4. Wahehe
5. Wakurya
6. Wamasai
7. Wapemba
Kuna watu watabisha kwa sababu ya egoism lakini huo ni ukweli.
No 4 tu ndiyo sahihi.
 
Wakinga......overrated tribe kuliko uhalisia, wasukuma hahahahaaaaa, ktk hiyo list kidogo nakubaliana kwa Waha. Wakurya ni average tribe umewakweza, bora ungesema wajaluo. Hapo juu umesema kuwa wahaya, wachaga na wanyaki wasomi ni wengi lakn akili hawana, kwako wewe usomi na akili ni inversely proportional, hapa ndipo nimekusamehe kwa kosa la kuweka wapemba kwenye orodha ya wenye akili.
Kwa maoni yangu mimi mtoa mada yuko sahihi kwa asilimia 70.
Kupata Elimu na akili sio inversely proportional na wala sio directly proportional.
Mtu kupata elimu hutegemea mambo mengi sana kama miundombinu/mazingira ya sehemu husika yaani mfano unakuta mtu ana IQ kubwa lakini kwenye mazingira aliyoishi hapakuwa na shule iliyojengwa na serikali wala wakoloni.
Au unakuta shule ilikuwepo lakini wazazi hawakuwa na uwezo wa kumpeleka shule hapo atakwama japo alizaliwa na IQ kubwa.
Sasa watu wa Kilimanjaro,Mbeya na Kagera walipelekewa miundombinu ya elimu mapema wakajikuta wana access ya kwenda shule ndio kitu alicjomaanisha mtoa mada
 
Akili ni nini? Na akili nyingi kipimo chake nin?
 
Nyuzi nyingi zimezungumzia makabila yenye watu wengi wenye elimu nasiyo akili. Elimu pekee haitoshi ila tunahitaji uwezo wa akili pamoja na elimu ili kuleta ubunifu ili tubali taifa.

Pamoja kwamba wahaya, wachagga na wanyakyusa kusifiwa kama makabila yenye wasomi wengi lakini hakuna cha maana walichofanya katika nchi hii yenye umaskini wakunuka usio hata na dalili za kupungua kila siku afadhali ya jana.

Wasomi kazi majigambo na kujisifia kwa watanzania wenzao na kujiona wao ni bora zaidi, mfano wachaga wanajiita waislaeli wa Tanzania daah! kwakweli hivi ni vichekesho.

Most ya makibila yenye wasomi wengi ni kwa sababu ya ukoloni na siyo jitihada zao.

Haya nisiwachoshe sana twende kwenye list ya makabila yenye watu wengi wenye akili kama wangepata elimu mapema tungefika mbali sana:

1. Wakinga
2. Wasukuma
3. Waha
4. Wahehe
5. Wakurya
6. Wamasai
7. Wapemba
Kuna watu watabisha kwa sababu ya egoism lakini huo ni ukweli.
wapemba sio kweli akili zao zipo kwenye q'ran,wakinga'wasukuma, na waha akili zipo kwenye kuroga,wahehe akili zao zipo kwnye namna ya kuandaa nyama ya mbwa,wakurya akili zipo namna ya kukeketa na kutumia mapanga, wamasai akili zao zipo namna ya kupaka wanawake kucha na ulinzi wa majumbani!!
 
Nyuzi nyingi zimezungumzia makabila yenye watu wengi wenye elimu nasiyo akili. Elimu pekee haitoshi ila tunahitaji uwezo wa akili pamoja na elimu ili kuleta ubunifu ili tubali taifa.

Pamoja kwamba wahaya, wachagga na wanyakyusa kusifiwa kama makabila yenye wasomi wengi lakini hakuna cha maana walichofanya katika nchi hii yenye umaskini wakunuka usio hata na dalili za kupungua kila siku afadhali ya jana.

Wasomi kazi majigambo na kujisifia kwa watanzania wenzao na kujiona wao ni bora zaidi, mfano wachaga wanajiita waislaeli wa Tanzania daah! kwakweli hivi ni vichekesho.

Most ya makibila yenye wasomi wengi ni kwa sababu ya ukoloni na siyo jitihada zao.

Haya nisiwachoshe sana twende kwenye list ya makabila yenye watu wengi wenye akili kama wangepata elimu mapema tungefika mbali sana:

1. Wakinga
2. Wasukuma
3. Waha
4. Wahehe
5. Wakurya
6. Wamasai
7. Wapemba
Kuna watu watabisha kwa sababu ya egoism lakini huo ni ukweli.
1.wachagga
2. Wanyamwezi
3. Wakerewe kabila linalo ongoza kua na maprofesa wengi
 
Angalia SACCOS yenye Billions za kutosha ni ya kabila gani..
 
Back
Top Bottom