List ya makabila Tanzania yenye watu wengi wenye akili

SIdhani kama kuna kabila lenye watu wasio na akili, hebu ulieandika mada hii leta sababu za kuona makabila hayo yana akili, na makabila ambayo hukuyataja eti hayana akili weka sababu.
Na ikiwezekana uelezee kwanza akili nini, ndipo ulete hizo sababu.
hy ndio tunaita id hominemis yaana kuishiwa kwa goja kumshambulia mtoa hoja
 
Nyuzi nyingi zimezungumzia makabila yenye watu wengi wenye elimu nasiyo akili. Elimu pekee haitoshi ila tunahitaji uwezo wa akili pamoja na elimu ili kuleta ubunifu ili tubali taifa.

Pamoja kwamba wahaya, wachagga na wanyakyusa kusifiwa kama makabila yenye wasomi wengi lakini hakuna cha maana walichofanya katika nchi hii yenye umaskini wakunuka usio hata na dalili za kupungua kila siku afadhali ya jana.

Wasomi kazi majigambo na kujisifia kwa watanzania wenzao na kujiona wao ni bora zaidi, mfano wachaga wanajiita waislaeli wa Tanzania daah! kwakweli hivi ni vichekesho.

Most ya makibila yenye wasomi wengi ni kwa sababu ya ukoloni na siyo jitihada zao.

Haya nisiwachoshe sana twende kwenye list ya makabila yenye watu wengi wenye akili kama wangepata elimu mapema tungefika mbali sana:

1. Wakinga
2. Wasukuma
3. Waha
4. Wahehe
5. Wakurya
6. Wamasai
7. Wapemba
Kuna watu watabisha kwa sababu ya egoism lakini huo ni ukweli.
Toa Wasukuma na Wakurya, Ongezea
-Wangoni/Matengo
-Zanaki
-Wabena
-Jaluo

Mwisho una utani na Wahaya na Wachaga wewe sio Bure 😁😁
 
Poor mind.! Kila kabila lina watu wenye akili hao wakinga kuibuka na kujazana kariakoo basi mnazani mmemaliza.!

Kila kabila lina mchango wake mkubwa tu kwny maendeleo ya nchi hii.! Tembea uone
Punguza wivu,wapo Kila sehemu sio Kariakoo tuu ni Wasomi Toka enzi za kina Tuntemeke Sanga.

Wajinga wamejaa Dom,Mbeya,Songea,Iringa nk
 
Yaan mchagga hayupo yupo mpemba[emoji850][emoji56][emoji56][emoji55][emoji55]
 
hy ndio tunaita id hominemis yaana kuishiwa kwa goja kumshambulia mtoa hoja
Onyesha neno linalomshambulia alieandika mada hii hapa, kwenye maeneo yote niliyoandika.
Au nawe unajiandikia tu.
 
Hayo yote ni makabila ya watu wa mikoani. Ukitaka kupima akili zao nenda sehemu zao za asili wanazoishi au wanapotoka uone matatizo kama umaskini,ujinga,udumavu wa mwili na akili,uchawi,ushirikina,njaa,maradhi n.k yalivyotawala.
 
Nyuzi nyingi zimezungumzia makabila yenye watu wengi wenye elimu nasiyo akili. Elimu pekee haitoshi ila tunahitaji uwezo wa akili pamoja na elimu ili kuleta ubunifu ili tubali taifa.

Pamoja kwamba wahaya, wachagga na wanyakyusa kusifiwa kama makabila yenye wasomi wengi lakini hakuna cha maana walichofanya katika nchi hii yenye umaskini wakunuka usio hata na dalili za kupungua kila siku afadhali ya jana.

Wasomi kazi majigambo na kujisifia kwa watanzania wenzao na kujiona wao ni bora zaidi, mfano wachaga wanajiita waislaeli wa Tanzania daah! kwakweli hivi ni vichekesho.

Most ya makibila yenye wasomi wengi ni kwa sababu ya ukoloni na siyo jitihada zao.

Haya nisiwachoshe sana twende kwenye list ya makabila yenye watu wengi wenye akili kama wangepata elimu mapema tungefika mbali sana:

1. Wakinga
2. Wasukuma
3. Waha
4. Wahehe
5. Wakurya
6. Wamasai
7. Wapemba
Kuna watu watabisha kwa sababu ya egoism lakini huo ni ukweli.

Karne hii tunaongelea ukabila
 
Chanzo cha utafiti huu please acha blahblah
 
Toa Wasukuma na Wakurya, Ongezea
-Wangoni/Matengo
-Zanaki
-Wabena
-Jaluo

Mwisho una utani na Wahaya na Wachaga wewe sio Bure 😁😁
Hawana lolote hao wachaga na wahaya miaka yote na elimu ya mkoloni waliyonayo kazi ubinafsi na kuwekana ndugu sehemu nzuri utafikiri tanzania siyo wapo kwa muda, wakati hata ukimsaidia mmakonde ni sawa umemsaidia mchaga au muhaya.
Mpo kwenye basi moja wote mnakiu kali ya maji wewe kwa bahati unamaji ya ziada badala umsaidie dereva kwanza ambaye atawapeleka sehemu salama wewe unampa jirani yako mlio kaa nae sasa hiyo ni akili au kinyesi mfano wa akili. Ndiyo maana atuendelei kwasababu ya haya majitu
 
Back
Top Bottom