List ya mikoa ambayo haina pisi kali kabisa

Chuma nyingine nilichukua mbalizi, kwenye gari tu ikanieleza mwanaume akiniudhi napigana nae kwanza chumbani, yaani mkoa wa Mara na Mbeya ukiona mwanamke jua ni chuma muda wowote unashushiwa kipigo inabidi ukae kiaskari kabisa
🤣🤣🤣
 
Mngeweka na picha ingependeza,, alafu kila mkoa una pisi tena za uhakika sema yu hujawai kukutana nazo mfano mara alikuwepo amina chifupa daah huwezi amin km ni mwanamara, nk
 
Makambako Iko mkoa GAni?
 
Haya mapisikali yenu wengi ni kama sanam unakuta dem zurii kinyama ila kutwa yanashinda kujitazama kwenye vioo na kujiselfisha na sim uku wamebinua mataco ukimleta kitandani hajui A wala B zaidi ya kuchezea simu yake tu
 
Wamakonde wapo wazuri Jamani sie familia yetu mm ndo jiwe [emoji23][emoji23]wadogo zangu ni balaa na nusu kuanzia shape had sura miguu Yao Sasa hatari au sijui mbegugani Ile[emoji3]

Unanikumbusha Newala na Tandahimba balaa nikalikuta shangani kiasi wamakonde hata kama sura nzito kama uji wa muhogo lakini ushirikiano kitandani wanatoa,
 
Mara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…