Hahaha unavyosema ni kweli kwamba Japan wao wanashusha thamani wenyewe ili wauze zaidi. Nyie yenu thamani inashuka yenyewe kwa sababu mnaimport sana kushinda kuexport. Kwa kawaida uki-import sana kushinda kuexport basi thamani itashuka. Yaani ongezeni export kisha utaona thamani ikipanda. Thamani ya nchi ya Japan ikipanda tu kidogo huwa wanaishusha wenyewe. Kwa kawaida thamani ya Japanese yen bila ukarabati wanaoifanyia inastahili kuwa strong kama tu dollar ya Marekani.Hoja ya kujilinganisha na Japan hua siikubali kabisa wale kiviwanda na technolojia wako dunia ya kwanza, wao wanashusha thamani ili wauze sana eheeee na sisi inashuka ili tufanyeje?
Hahaha unavyosema ni kweli kwamba Japan wao wanashusha thamani wenyewe ili wauze zaidi. Nyie yenu thamani inashuka yenyewe kwa sababu mnaimport sana kushinda kuexport. Kwa kawaida uki-import sana kushinda kuexport basi thamani itashuka. Yaani ongezeni export kisha utaona thamani ikipanda. Thamani ya nchi ya Japan ikipanda tu kidogo huwa wanaishusha wenyewe. Kwa kawaida thamani ya Japanese yen bila ukarabati wanaoifanyia inastahili kuwa strong kama tu dollar ya Marekani.
Mambo ya thamani ya currency huwa yanajadiliwa jadiliwa tu ila ni jambo korofi kweli kweli.
Yaani ni concept mgumu ya kiuchumi.
Alikuwa ana chuki mkali sana na mabeberu na Kenya pia. Samia yupo vizuri kidiplomasia na ndio maana mnauza mazao yenu vizuri hapa Kenya siku hizi.Ndio maana mkazo wa viwanda wa Rais magufuli ulikua mzuri angekumbuka kujenga mahusiano mazuri na mabeberu na majirani kwa spidi ile tungekimbia sana,
Bongo kuitwa bilionea ni rahisi sana, ukidunduliza hayo madafu yao kwa muda mfupi yanasoma bilioni, ila jaribu ubadilishe ziwe dollar au Kshs ndio utalilia kwa choo.
Hawa jirani zetu Tanzania na Uganda huwa wanatuaibisha sana. Kenya tuna upweke sana ukanda huu. Ukanda huu sarafu zote isipokuwa ya Kenya ni za madafu. Halafu kumbe sarafu ya Tanzania ndio mbovu kuliko zote Afrika dhidi ya dollar ya Marekani? Yaani mna sarafu nyonge sana.
View attachment 2135261
Nani amesema strength of currency has anything to do with strength of economy? Mbona unakurupuka ni kama umefinywa mahali?Exchange rate has nothing to do with the strength of the economy of the country. It's matter of a policy, whether to devalue your currency or otherwise.
Nani amesema strength of currency has anything to do with strength of economy? Mbona unakurupuka ni kama umefinywa mahali?
Kenya wanaexport sana bidhaa za viwandani, chai, lakini wana diaspora inayorudisha pesa ya kueleweka sana nchini kwao, Sudan kusini anauza sana mafuta, hoja hapa ni kwa nini shilingi ya Tanzania iko chini wakati tuna kila sababu ya pesa yetu kua na nguvu tuache mentality za kijamaa tujadili kwa uwazi kabisa
Hoja ya kujilinganisha na Japan hua siikubali kabisa wale kiviwanda na technolojia wako dunia ya kwanza, wao wanashusha thamani ili wauze sana eheeee na sisi inashuka ili tufanyeje?
Kwani pesa ya kenya si almost sawa na yen ya japan? Vipi uchumi wa japan na kenya umekaribiana?Hawa jirani zetu Tanzania na Uganda huwa wanatuaibisha sana. Kenya tuna upweke sana ukanda huu. Ukanda huu sarafu zote isipokuwa ya Kenya ni za madafu. Halafu kumbe sarafu ya Tanzania ndio mbovu kuliko zote Afrika dhidi ya dollar ya Marekani? Yaani mna sarafu nyonge sana.
View attachment 2135261
Hizo sababu za kawaida za kiuchumi kwanini zisifanye ipandeSababu za kawaida tu kiuchumi
Duuuuh Mwigulu katuua mb~a huyu ndo uchumi wetu umekua hivyo.....Hawa jirani zetu Tanzania na Uganda huwa wanatuaibisha sana. Kenya tuna upweke sana ukanda huu. Ukanda huu sarafu zote isipokuwa ya Kenya ni za madafu. Halafu kumbe sarafu ya Tanzania ndio mbovu kuliko zote Afrika dhidi ya dollar ya Marekani? Yaani mna sarafu nyonge sana.
View attachment 2135261
Pelekea wajinga wenzio hiyo taarifaHawa jirani zetu Tanzania na Uganda huwa wanatuaibisha sana. Kenya tuna upweke sana ukanda huu. Ukanda huu sarafu zote isipokuwa ya Kenya ni za madafu. Halafu kumbe sarafu ya Tanzania ndio mbovu kuliko zote Afrika dhidi ya dollar ya Marekani? Yaani mna sarafu nyonge sana.
View attachment 2135261