List ya sarafu za Afrika kuanzia ile ambayo ina nguvu zaidi hadi ile ambayo haina nguvu. Kenya ipo vizuri, Tanzania inavuta mkia

Hoja ya kujilinganisha na Japan hua siikubali kabisa wale kiviwanda na technolojia wako dunia ya kwanza, wao wanashusha thamani ili wauze sana eheeee na sisi inashuka ili tufanyeje?
 
Hahaha unavyosema ni kweli kwamba Japan wao wanashusha thamani wenyewe ili wauze zaidi. Nyie yenu thamani inashuka yenyewe kwa sababu mnaimport sana kushinda kuexport. Kwa kawaida uki-import sana kushinda kuexport basi thamani itashuka. Yaani ongezeni export kisha utaona thamani ikipanda. Thamani ya nchi ya Japan ikipanda tu kidogo huwa wanaishusha wenyewe. Kwa kawaida thamani ya Japanese yen bila ukarabati wanaoifanyia inastahili kuwa strong kama tu dollar ya Marekani.
 
Ndio maana mkazo wa viwanda wa Rais magufuli ulikua mzuri angekumbuka kujenga mahusiano mazuri na mabeberu na majirani kwa spidi ile tungekimbia sana,
 
Mambo ya thamani ya currency huwa yanajadiliwa jadiliwa tu ila ni jambo korofi kweli kweli.
Yaani ni concept mgumu ya kiuchumi.
 
Halafu hua najiuliza kwa nini bidhaa nyingi za viwandanj kutoka Kenya ni bora zaidi kuliko za Tanzania? Kwa mfano sijaona sabuni ya kushindana na jamaa ya kenya, au BIG G original, tatizo kwa viwanda vya Tanzania ni nini? The same kwenye maziwa bidhaa za Brookside ni bora tena kwa sasa Lato milk ya Uganda inachapa mwendo ikiwa Asas , Tanga fresh zinajivuta tatizo ni commitment ya wenye viwanda, technolojia au ni nini ilihali malighafi Tanzania ni nyingi
 
Mambo ya thamani ya currency huwa yanajadiliwa jadiliwa tu ila ni jambo korofi kweli kweli.
Yaani ni concept mgumu ya kiuchumi.

Wakati tukiwa East Africa Community ya kwanza thamani ya pesa ilikua sawa tu ilikuaje baadae ndio viongozi watujibu sasa
 
Ndio maana mkazo wa viwanda wa Rais magufuli ulikua mzuri angekumbuka kujenga mahusiano mazuri na mabeberu na majirani kwa spidi ile tungekimbia sana,
Alikuwa ana chuki mkali sana na mabeberu na Kenya pia. Samia yupo vizuri kidiplomasia na ndio maana mnauza mazao yenu vizuri hapa Kenya siku hizi.
 
Njoo na wewe udundulize uitwe bilionea
Bongo kuitwa bilionea ni rahisi sana, ukidunduliza hayo madafu yao kwa muda mfupi yanasoma bilioni, ila jaribu ubadilishe ziwe dollar au Kshs ndio utalilia kwa choo.
 
How is burundis currency stronger than danganyika?[emoji23][emoji23]
 
Hawa jirani zetu Tanzania na Uganda huwa wanatuaibisha sana. Kenya tuna upweke sana ukanda huu. Ukanda huu sarafu zote isipokuwa ya Kenya ni za madafu. Halafu kumbe sarafu ya Tanzania ndio mbovu kuliko zote Afrika dhidi ya dollar ya Marekani? Yaani mna sarafu nyonge sana.

View attachment 2135261

Exchange rate has nothing to do with the strength of the economy of a given country. It's matter of a policy, whether to devalue your currency or otherwise.
 
Exchange rate has nothing to do with the strength of the economy of the country. It's matter of a policy, whether to devalue your currency or otherwise.
Nani amesema strength of currency has anything to do with strength of economy? Mbona unakurupuka ni kama umefinywa mahali?
 
You have slightly stronger currency than of Japan. But see the economy of these two countries, ni mbinguni na mtoni. 😛 😛 😛
 
Kenya wanaexport sana bidhaa za viwandani, chai, lakini wana diaspora inayorudisha pesa ya kueleweka sana nchini kwao, Sudan kusini anauza sana mafuta, hoja hapa ni kwa nini shilingi ya Tanzania iko chini wakati tuna kila sababu ya pesa yetu kua na nguvu tuache mentality za kijamaa tujadili kwa uwazi kabisa

Teh teh teh kwa hiyo kenya ina export sana kuliko Japan.
Angalia exchange rate zao hapa chini.

Hoja ya kujilinganisha na Japan hua siikubali kabisa wale kiviwanda na technolojia wako dunia ya kwanza, wao wanashusha thamani ili wauze sana eheeee na sisi inashuka ili tufanyeje?

Ndiyo maana nasema, exchange rate ni sera na si ukubwa wa uchumi. Jamani hili suala halihitaji kujua international trade tu. Unahitaji kuwa na uelewa wa international finance pia.
 
Hawa jirani zetu Tanzania na Uganda huwa wanatuaibisha sana. Kenya tuna upweke sana ukanda huu. Ukanda huu sarafu zote isipokuwa ya Kenya ni za madafu. Halafu kumbe sarafu ya Tanzania ndio mbovu kuliko zote Afrika dhidi ya dollar ya Marekani? Yaani mna sarafu nyonge sana.

View attachment 2135261
Kwani pesa ya kenya si almost sawa na yen ya japan? Vipi uchumi wa japan na kenya umekaribiana?
 
Hawa jirani zetu Tanzania na Uganda huwa wanatuaibisha sana. Kenya tuna upweke sana ukanda huu. Ukanda huu sarafu zote isipokuwa ya Kenya ni za madafu. Halafu kumbe sarafu ya Tanzania ndio mbovu kuliko zote Afrika dhidi ya dollar ya Marekani? Yaani mna sarafu nyonge sana.

View attachment 2135261
Duuuuh Mwigulu katuua mb~a huyu ndo uchumi wetu umekua hivyo.....

Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
 
Hawa jirani zetu Tanzania na Uganda huwa wanatuaibisha sana. Kenya tuna upweke sana ukanda huu. Ukanda huu sarafu zote isipokuwa ya Kenya ni za madafu. Halafu kumbe sarafu ya Tanzania ndio mbovu kuliko zote Afrika dhidi ya dollar ya Marekani? Yaani mna sarafu nyonge sana.

View attachment 2135261
Pelekea wajinga wenzio hiyo taarifa
 
Back
Top Bottom