List ya Wabunge wa CCM ambao hawatarudi Bungeni 2025

Ndugai alishatangaza wania muhula mwingine tena.

Ni kweli wengi hawatarudi muhula ujao, watakua replaced na watu wengine ndani ya CCM yenyewe.

Lukuvi labda aamue kutogombea tena, lakini akigombea atapita kirahisi sana, hata A.chenge akigombea nae atapita kirahisi sana
 
Mcheregwa
 
Waingie
Waendelee
Watoke
Watajiju

Bunge letu huwa silielewi hadi sasa.. kwa sababu asilimia kubwa wapo kwa matumbo Yao na sio wananchi wanao wawakilisha.
Maliasili zimeuzwa hakuna anayehoji, wapo tuu, wanakera kwakweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…