List ya Wabunge wa CCM ambao hawatarudi Bungeni 2025

Paramagamba anarudi maana jimbo la kilosa linagawanywa, kutakuwa na jimbo la kilosa na jimbo la Dumila. Yeye anagombea Dumila, which is obviously atapita, watu wa huko wengi ni wajinga.
Ambaye harudi ni yule wa Mwanga, someone Tadayo sjui, mtoto wa Msuya yule. Hakuna kitu anafanya kule.
 
Samia suluhu

Tulia akson

Jenistter muhaghama

Na neema lukangira

Stogomena tax

Mama gwajima na gwajima mwenyewe


Anana malecela

Festo ndugage

Jah people

Covid 19 wote kwa pmj
 
Wabunge wa Dar hakuna hatama 1 atakae rudi
Tarimba anarudi vizuri tu. Ana hela nyingi sana za kumfanya apite. FAUSTINE pia ana mizizi mikubwa sana kigamboni, lazima arudi. Labda hao wengine.
 
Anakubalika sana?
Siasa za Tanzania hazihitaji ukubalike sana ili ushinde, kuna mizizi ukishaifukia tu na mifumo yako binafsi, hakuna wa kukutoa hapo. Mifano ipo mingi sana kuanzia kina shabiby, kibajaji, abood nk
 
Wewe kama nani unasema hivyo?
2025 wewe utafika ukiwa hai?
 
In shaa Allah tuwepo kushuhudia. Hakuna ajuwae wa lini kuondoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…