Lisu atarudisha itikadi/Imani ya watu kwa CHADEMA. CHADEMA mpeni uenyekiti.

Hoja za "Tribalism" kwenye CHADEMA ni hoja dhaifu.
Lakini hoja za "Nepotism" kwenye CCM Mkwe na Mama Mkwe kutuibia na kuharibu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni Hoja yenye mashiko.

Mwamba apumzike akitaka atarejea siku za usoni.

Simba atunyooshee chama.

Tangu lini wapi kunakojali chawa wakaendekezwa?
 
Nimekuambia ukidai HAKI yako na kuwa Msema kweli automatically wewe lazima uzushe migogoro ya kutosha.

Embu eleza ni Kwa namna ipi utatuma Njia peaceful kuzuia utekaji?
..maswali ya korti haya, lkn zipo njia nyingi siwezi kuzitaja hapa, ukiruhusu akili ifanye kazi yake inavyopaswa utakubaliana na ninachosema.
 
Kuna mamilioni ya Watanzania walikuwa hawamwamini au wana mashaka na Mbowe.

Saaa kazi kwao
 
..maswali ya korti haya, lkn zipo njia nyingi siwezi kuzitaja hapa, ukiruhusu akili ifanye kazi yake inavyopaswa utakubaliana na ninachosema.

Hakuna Njia ya Amani katika kusema kweli na HAKI.

Yaani watu wezi hutaki waibe utatuma Njia ipi ya Amani kuwafanya waache kuiba?
 
Watanzania wanahitaji siasa za ukondoo, hata wakiporwa kura zao wako kimya, wakifanyiwa lolote na viongozi wao wanalinda ukondoo wao tu.
 
..maswali ya korti haya, lkn zipo njia nyingi siwezi kuzitaja hapa, ukiruhusu akili ifanye kazi yake inavyopaswa utakubaliana na ninachosema.
Njia zipi hizo, ni njia ipi ya kistaarabu haijatumika hadi sasa lakini ndio watu wanazidi kuonekana mazoba?
 
Watanzania wanahitaji siasa za ukondoo, hata wakiporwa kura zao wako kimya, wakifanyiwa lolote na viongozi wao wanalinda ukondoo wao tu.
Hivi ndivyo tulivyo sisi WaBongo ni watu poa sana, hata utufanye nini, mwakani muda ukiwadia ni
unachukua....
unaweka...
Malizia ....
P
 
Ana hela? Wajumbe watakula maneno yake? πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Wajumbe ni Hawa hapa πŸ‘‡ πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/DDhVH1LC3Ee/?igsh=MW5jNHA3NzJ0aWNvcw==
Mwisho,Lisu ni mgombea wa Mapandikozi ya huko Nje Kwa jina la Diaspora na Wanaharakati uchwara
 
Ni kweli, hata Kenya hapo makada wa KANU walikuwa wanasema kama ww. Leo hii KANU iko mortuary na Kenya ina maendeleo kuliko sisi makondoo tunaotawaliwa kwa shuruti na ccm.
Kenya ni Kenya na Bongo ni Bongo.
P
 
Chama kitachukua sura ya Kitaifa. Heche Makamu Mwenyekiti na Lema Katibu itawasaidia.
Lema hafai kuwa kwenye nafasi za ukatibu mkuu au uwenyekiti. Yule apewe uenezi na aachwe aende mstari wa mbele kupiga kazi. Huko maofisini hapamfai.
 
Mapandikizi ya Diaspora hayatampa pesa?

Mara kadhaa Lisu akiingia kwenye vinyang'anyiro anashinda. Kama alitoboa kwenye zile risasi 38 sio ajabu akamshinda yeyote kwenye kuwania uenyekiti
 
Mapandikizi ya Diaspora hayatampa pesa?

Mara kadhaa Lisu akiingia kwenye vinyang'anyiro anashinda. Kama alitoboa kwenye zile risasi 38 sio ajabu akamshinda yeyote kwenye kuwania uenyekiti
Hawezi kushinda huyo na alishindwa asije kusingizia rushwa za mama Abdul wakati waliomtuma hao vibaraka wa Wazungu wameshampa hela.

Ngoja usubiri uone maana hata Msigwa mlimpamba sana lakini kilichompata Kwa Sugu kilimpeleka CCM.

Nae ajiandae kwenda CCM,ACT au kuinda chama kipya
 
LISU hawezi kushindwa.
Mimi sijawahi kumpamba mtu Mkuu.
Angalia usijekuwa unatatizo la kumbukumbu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…