LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Lissu hawezi kabisa kuiongoza chadema sababu ni mwendawqzimu na hana nguvu za kiuchumi kupambana na ccm
Huwezi kuitakia mema chadema kwa kuendeleza ukagame, huo ni unafiki, siku ccm ikiondoa ukomo uongozi wa nchi mtaanza kulialiaHili jambo linashabikiwa na CCM zaidi kuliko wale wanaoitakia mema CDM.
Ameponda nn mkuu? Siri Gani za chama? Usiri wa nn kwenye mambo ya umma? Mbona mnaipigia kelele ccm kwa usiri wa mikataba?ππShida sio kugombea uenyekiti shida ni kuanza kuponda uongozi uliopo na kutoa siri za ndani...hapo ni amelianzisha tu baada ya kutangaza nia je akishindwa unategemea nini?
Mimi ni CCM mkuu ila najaribu kuwaonyesha ndugu zetu wa CHADEMA wanapokosea....huwezi ukasikia mwanasiasa yoyote wa CCM anayehama au kukosana kuongelea ya ndani...hao wakipewa nchi mtu wakikosana si wataanza kufunguka hata siri za nchiAmeponda nn mkuu? Siri Gani za chama? Usiri wa nn kwenye mambo ya umma? Mbona mnaipigia kelele ccm kwa usiri wa mikataba?ππ
Lema ukatibu mkuu haumfai kabisa, labda umakamu, katibu mkuu apewe kigailaChama kitachukua sura ya Kitaifa. Heche Makamu Mwenyekiti na Lema Katibu itawasaidia.
Yepi ya ndani? Chama ni Mali ya umma, mambo aliyozungumza lissu ni muhimu kwa chama na taifa kiujumla, hata ccm yako mambo wanapaswa kujifunza kutoka hotuba ya lissuMimi ni CCM mkuu ila najaribu kuwaonyesha ndugu zetu wa CHADEMA wanapokosea....huwezi ukasikia mwanasiasa yoyote wa CCM anayehama au kukosana kuongelea ya ndani...hao wakipewa nchi mtu wakikosana si wataanza kufunguka hata siri za nchi
Hauwezi kukijenga chama kwa kuwapa washindani wako risasi za kukupiga ndio alichokofanya Lissu...CCM haina cha kujifunza kutoka kwa Lissu kwa sababu imeshamudu siasa za Afrika...haya mambo ya chama kuwa mali ya umma sijui uongozi ni kutumikia wananchi hayapo AfrikaYepi ya ndani? Chama ni Mali ya umma, mambo aliyozungumza lissu ni muhimu kwa chama na taifa kiujumla, hata ccm yako mambo wanapaswa kujifunza kutoka hotuba ya lissu
Mbowe wampe uwenyekiti bodi ya wadhamini maana ni bingwa wa kutafuta pesa za chama
..siasa hazifanani na ushabiki wa mpira, Lisu hana uwezo kuongoza chama kikafanikiwa.Kila jambo na wakati wake, wakati wa sasa unamuhitaji lissu chadema
Sidhani kama Mbowe kwa sasa yeye anapigania uhai na kukuimarisha chama. Lisu asinge lianzisha hili songombingo uchaguzi huu, kwasabu indicator zilishaonyesha kuwa Mbowe na toops lake wameshapanga mikakati yakumtupa nje ya uongozi, Yeye angeyaacha tu haya maamuzi yaendelee nakukaa pembeni kama walivyotaka, ili lije shinikizo la wanachama na siyo shinikizo lake. Siasa ni technics na tricks, Mbowe apigi kelele zozote kwasababu amesha jipanga na anajiamini, utakapo kuja uchaguzi Kama Mbowe atagombea Lisu apati hata 20% .Lisu washauri wake hawajapiga mahesabu vizuri. Mimi nimshauri Lisu kama Mbowe atagombea kwa kulinda Heshima yake na Uhai wa baadae wachama, safari hii asigombee cheo chochote, kwasabu, Mbowe ameshapanga safu yake yakufanya nayo kazi. Yeye awe kimya na kuwa mwanachama wa kawaida kama watampa ujumbe wakamati kuu apokee bila kinyongo aendelee kukijenga chama lakini ategemee vijembe na maudhi ya kila aina kwa kipindi hiki. Mbowe tayari amekwisha kuwa kama wakina Marando wa NCCR mageuzi kipinde cha Mrema kwa upande mwingine safari hii mtaona ata Dola itamlinda Mbowe. Yote kwa yote, Mtakap liona chukizo la uharibifu limeshakaa patakatifu ni wakati wakukimbia.Hapana, acha inyeshe sasahivi ili TUONE PANAPOVUJA. Hatma yao ndio itakayoamua mustakabali wa uhai na uimara wa chama
Kama kuna mambo yakielezwa kwa wananchi ni maovu kiasi kwamba watu wanajawa na chuki dhidi ya chama tawala unataka yafichwe wananchi wasiyafahamu ili wasijawe na chuki dhidi ya CCM?Mimi naona ni sahihi tu kwa sasa hadi tutakapopata mbadala wake, vyama vya upinzani vilivyopo vinachoweza kufanya ni kutuelezea tu matatizo tunayoyaishi na kutujaza chuki kwa chama tawala basi binafsi sioni cha kunishawishi nione huyu ndio mbadala wa ccm.
Lazima tubadilika,Neema ya Vyakula vingi inatufanya tujione huru na sawa,hata HAKI ikipotea sawa tuu.Huu ni ukosefu wa fikra!Umenena vyema.LISU ATARUDISHA ITIKADI/IMANI YA WATU KWA CHADEMA. CHADEMA MPENI UENYEKITI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Watanzania ni watu ambao huwaamini kama wanaweza kuishi bila kuonewa. Bila kutetemekea watawala. Bila kuwa machawa wa wenye navyo.
Watanzania wengi huamini kuonewa, kudhulumiwa na Wakubwa ni HAKI yao.
Watanzania wengi wamejenga kasumba kuwa ukiwa na cheo unahaki ya kufanya chochote kwa wasionavyo.
Watanzania wengi ni conservative au tuseme wamedumaa na hawahitaji mabadiliko mazuri zaidi.
Watanzania wengi hawamaani katika utu, HAKI, ndio maana hawawezi kupigania HAKI Zao hata kwa kusema tuu.
Watanzania ndio watu pekee ambao hata wewe hapo unaweza jifanya Usalama wa taifa ukaenda kijiwe chochote ukamchukua mtu yeyote au ukampiga makofi mtu kwa kisingizio cha Usalama wa taifa na Watanzania wakakuangalia tuu
Watanzania wengi ndio watu pekee ambao unaweza kuwaweka benchi wakasugua wakisubiri huduma ya hospital au huduma yoyote na wasiwe kuhoji.
Tundu Antipas Lisu tunamhitaji kwa wakati huu ili kubusti akili za Watanzania. Kuamsha Ari.
Kung'arisha fikra,
Kuchochea Moyo wa kupenda haki na kuipigania.
Kuufanya ukweli uwe mwamvuli wa wananchi.
Kuondoa uchawa na Tabia mbaya za kujipendekeza.
Moja ya dalili ya ukosefu wa HAKI katika jamii ni uchawa na kujipendekeza.
Uchawa na HAKI havikai pamoja.
Uchawa na ukweli havikai pamoja.
Mtu yeyote anayejitambulisha na kujionyesha. kama Chawa hawezi kuwa mtenda HAKI.
LISU atarejesha imani ya watu kwenye vyama vya upinzani. Kama ilivyokuwa 2010-2015.
Acha nipumzike sasa
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Dar es salaam
Kama wanaunga hoja na kusifu kila kiongozi Wa CCM,hapo ni kipengere,lakini Mungu fundi tutafika tuu.Kuna tatizo la watu kuchanganya chama na watu, CCM kama CCM haina
Tatizo, ila ni kweli kuna wana CCM wachache ambao kweli ni mashetani lakini wana CCM wengi ni malaika na kwenye upinzani mashetani pia wapo!.
Nimeandika sana humu mambo ya malaika na shetani
P
πββοΈβοΈπ―πππππ€πππποΈπΌππ‘οΈLISU ATARUDISHA ITIKADI/IMANI YA WATU KWA CHADEMA. CHADEMA MPENI UENYEKITI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Watanzania ni watu ambao huwaamini kama wanaweza kuishi bila kuonewa. Bila kutetemekea watawala. Bila kuwa machawa wa wenye navyo.
Watanzania wengi huamini kuonewa, kudhulumiwa na Wakubwa ni HAKI yao.
Watanzania wengi wamejenga kasumba kuwa ukiwa na cheo unahaki ya kufanya chochote kwa wasionavyo.
Watanzania wengi ni conservative au tuseme wamedumaa na hawahitaji mabadiliko mazuri zaidi.
Watanzania wengi hawamaani katika utu, HAKI, ndio maana hawawezi kupigania HAKI Zao hata kwa kusema tuu.
Watanzania ndio watu pekee ambao hata wewe hapo unaweza jifanya Usalama wa taifa ukaenda kijiwe chochote ukamchukua mtu yeyote au ukampiga makofi mtu kwa kisingizio cha Usalama wa taifa na Watanzania wakakuangalia tuu
Watanzania wengi ndio watu pekee ambao unaweza kuwaweka benchi wakasugua wakisubiri huduma ya hospital au huduma yoyote na wasiwe kuhoji.
Tundu Antipas Lisu tunamhitaji kwa wakati huu ili kubusti akili za Watanzania. Kuamsha Ari.
Kung'arisha fikra,
Kuchochea Moyo wa kupenda haki na kuipigania.
Kuufanya ukweli uwe mwamvuli wa wananchi.
Kuondoa uchawa na Tabia mbaya za kujipendekeza.
Moja ya dalili ya ukosefu wa HAKI katika jamii ni uchawa na kujipendekeza.
Uchawa na HAKI havikai pamoja.
Uchawa na ukweli havikai pamoja.
Mtu yeyote anayejitambulisha na kujionyesha. kama Chawa hawezi kuwa mtenda HAKI.
LISU atarejesha imani ya watu kwenye vyama vya upinzani. Kama ilivyokuwa 2010-2015.
Acha nipumzike sasa
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Dar es salaam
Mkuu mbona upinzani bado una watu makini ambao wana uwezo wa kuwa kugombea urais mathalan Heche, wenje na kadhalika.Naunga mkono hoja, ila asigombee
Urais 2025 Kuelekea 2025 - Kama CCM Itamsimamisha Rais Samia 2025, Mnaonaje Freeman Mbowe Awe Mgombea wa Upinzani? Atapiga Ndege 3 kwa Jiwe Moja, Atavuna Wabunge Wengi ila...
P
π―πππ€πMtu anayependa ukweli na kuufanya hawezi kuwa adui wa demokrasia.
Demokrasia ni kukubali nguvu ya ukweli
Mbowe ni kiongozi mzuri lakini sio katika mazingira ya sasa ya taifa lililokumbwa na uchawa, kujipendelea, umungumeza, na usultani
π€£ π€£ π€£ π€πTunataka Chadema imara, Tunataka upinzani ambao uko tayari kwa lolote. Nchi imekua kama ya watu flani. Tumechoka , Bora tuchome pori Kila Nyoka atafute shimo
π€£ π€£ π€£Duru zinasema Lisu akishinda uenyekiti Pascal Mayalla analamba nafasi ya juu ya uongozi wa chadema.
Hii habari niliipata kwa Kaka yake Lisu.
Kwahiyo Tunaelekea wapi?Watu wamuunge Mkono.
Hatutarajii mabadiliko makubwa lakini angalau tufikie kile kiwango cha 2010-2015