Lisu ueleze UMMA wa watanzania Abdul Samia alitaka kukuhonga ili ufanye nini?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Jana clubhouse umerudia kuwa Abdul alitaka kukuhonga.

SWALI KUBWA: ALITAKA KUKUHONGA ILI UFANYE NINI?

Wenje amesema alimpeleka kwako ili akusaidie kupata fedha zako. Je ni kweli ulituma covering letter kwa email ya Abdul? What does that mean? it means ulikuwa na mahusiano mema na Abdul, why leo unamkana na "kumpakazia" hongo?

On top of that

1.Tukikuta covering letter ya kuomba madai yake kwenye email ya Abdul kama alivyosema Wenje tukuelewe vipi?

2. Clip ikitoka Lisu anaomba radhi kamati kuu kwa kusema uongo kama alivyodai Wenje tuelewe nini?

3. Ukiletwa ushahidi wa mafaili ya Mbowe kununua magari kwenye mnada wa ubalozi wakati yeye Lisu alidai kuwa Mbowe alikuwa amehongwa na serikali tumuelewe vipi?
 
..Abduli naye ajitokeze aeleze kilichojiri.

..alikwenda kufanya nini nyumbani kwa mtu anayemtukana Mama yake kila kukicha.
 
Kumbe this is for real 😳. ??!
Watu mmeshagawanyika mara hii tena namna hii ??!
Hatari sana !
Dunia rangilangire !
Ngoja Tusubiri tuone !
 
Jana clubhouse umerudia kuwa Abdul alitaka kukuhonga.

SWALI KUBWA: ALITAKA KUKUHONGA ILI UFANYE NINI?

Wenje amesema alimpeleka kwako ili akusaidie kupata fedha zako. Je ni kweli ulituma covering letter kwa email ya Abdul? What does that mean? it means ulikuwa na mahusiano mema na Abdul, why leo unamkana na "kumpakazia" hongo?

On top of that

1.Tukikuta covering letter ya kuomba madai yake kwenye email ya Abdul kama alivyosema Wenje tukuelewe vipi?

2. Clip ikitoka Lisu anaomba radhi kamati kuu kwa kusema uongo kama alivyodai Wenje tuelewe nini?

3. Ukiletwa ushahidi wa mafaili ya Mbowe kununua magari kwenye mnada wa ubalozi wakati yeye Lisu alidai kuwa Mbowe alikuwa amehongwa na serikali tumuelewe vipi?
Kipndi mwendazake amekata moto Lissu alihojiwa na BBC akasema na mlinzi wa mwendazake amekata moto kwa corona... zilikuwa ni rumours za mtandaoni yeye akaruka nazo moja kwa moja kwenye interview 🐼
 
Lisu anaropoka sana, kinywa chake ni mtaro wa maji machafu! ajitafakari tena.

Ni kulewa sifa za mitandaoni.

Mbowe make sure Lisu hawi mwenyekiti!
 
..Abduli ahojiwe alikwenda kufanya nini nyumbani kwa Lissu.

..Je, alitumwa na Mama yake? Alimtaarifu Mama yake kuhusu anachokwenda kufanya nyumbani kwa Lissu?
 
Jana clubhouse umerudia kuwa Abdul alitaka kukuhonga.

SWALI KUBWA: ALITAKA KUKUHONGA ILI UFANYE NINI?

Wenje amesema alimpeleka kwako ili akusaidie kupata fedha zako. Je ni kweli ulituma covering letter kwa email ya Abdul? What does that mean? it means ulikuwa na mahusiano mema na Abdul, why leo unamkana na "kumpakazia" hongo?

On top of that

1.Tukikuta covering letter ya kuomba madai yake kwenye email ya Abdul kama alivyosema Wenje tukuelewe vipi?

2. Clip ikitoka Lisu anaomba radhi kamati kuu kwa kusema uongo kama alivyodai Wenje tuelewe nini?

3. Ukiletwa ushahidi wa mafaili ya Mbowe kununua magari kwenye mnada wa ubalozi wakati yeye Lisu alidai kuwa Mbowe alikuwa amehongwa na serikali tumuelewe vipi?
Machawa wa machame leo hamlali?
 
Hapa kuna mawili, either hukusikiliza alichoongea au umehadithiwa na embecile mwingine kwa sababu majibu ya hivi vijihoja yote aliyatoa kwa ukamilifu wake, au kama ulisikiliza basi uelewa wako utakuwa kama wa embeciles wengine wazee wa makarai. Jielimishe kidogo ujue kupick points kwenye maelezo unapokua unasikiliza uache kujiaibisha kwa kujaza server na uchafu kama huu!
 
Jana clubhouse umerudia kuwa Abdul alitaka kukuhonga.

SWALI KUBWA: ALITAKA KUKUHONGA ILI UFANYE NINI?

Wenje amesema alimpeleka kwako ili akusaidie kupata fedha zako. Je ni kweli ulituma covering letter kwa email ya Abdul? What does that mean? it means ulikuwa na mahusiano mema na Abdul, why leo unamkana na "kumpakazia" hongo?

On top of that

1.Tukikuta covering letter ya kuomba madai yake kwenye email ya Abdul kama alivyosema Wenje tukuelewe vipi?

2. Clip ikitoka Lisu anaomba radhi kamati kuu kwa kusema uongo kama alivyodai Wenje tuelewe nini?

3. Ukiletwa ushahidi wa mafaili ya Mbowe kununua magari kwenye mnada wa ubalozi wakati yeye Lisu alidai kuwa Mbowe alikuwa amehongwa na serikali tumuelewe vipi?
Unauliza maswali wakati hujawahi kumsikiliza? Unamtaka Lisu aseme mara ngapi ndipo usikie?

Toka siku nyingi alilkwishasema kuwa Abdul alimwambia kuwa aache kumsema mama yake, na akifanya hivyo, mambo yake ya kifedha yatakuwa safi. Akamtajia majina ya viongozi wenzake waliozingatia hilo, na sasa mambo yao ya kifedha yapo vizuri.

Lisu akamjibu kuwa hahitaji hela ya kuhongwa, kama ana uwezo amlipe fedha yake halali, hela ya gharama ya matibau aliyoitumia. Na Abdul akasema kuwa mama yake hajapokea mchanganuo wa hayo madai. Lisu akamweleza kuwa alikwishaupeleka huo mchanganuo hazina. Abdul akamwambia ampe nakala. Lisu akampa.

Kwa hiyo rushwa ilillenga aendelee kuwa upinzani lakini asimseme vibaya Mama Abdul.

Maoni yangu:
Labda alitaka awe anamsifia kwa kuleta maridhiano kama anavyofanya mwenyekiti wake.
 
Lisu anaropoka sana, kinywa chake ni mtaro wa maji machafu! ajitafakari tena.

Ni kulewa sifa za mitandaoni.

Mbowe make sure Lisu hawi mwenyekiti!
Mlimpaje nafasi ya kugombea urais mtu huyu unayemnanga ??
 
Mimi ni chawa wa chadema kweli na a great follower of Lisu.......lakini kwa miendendo yake ya siku hizi, Lisu hafai......
Mtu yeyote mwenye mapenz ya kweli na Chadema hawezi hata kwa utani kum support Freeman Mbowe.
 
Back
Top Bottom