Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
teh teh teh teh. Kwenye buluu. Ina maana hujui mkeo kaenda wapi usiku huu? Huo ni ubwege.
Narudi
Nimecheka hadi mwanangu ameamka watu8. Yai la jogooo.....?
mh! Ila kweli huu ni ubwege acha na mie niende kwa b.day ya Paloma
mpenzi ikifika yako nami nitakuandalia sherehe kubwaaa!!!
Thanks darling
Nimekuona eneo hlo. Kwa nn unapenda kuchelewa?
Narudi
teh teh teh. Yai la jogøo huja ghafla
Ishawahi tokea jogoo akataga NICAS?
Ujue nini? naviziaga hm walale kwanza ndio nitoke, unajua si vizuri utoke peke yako wenzako uwaache, sasa na mimi sitakagi kutoka na mtu, hua napenda kutoka mwenyewe kweiyo inanibidi niwavizie. Upo hapo Nicas Mtei ?
poa dogo. Mi nshaondoka hapo.
Narudi
wapo jogoo ambao huwa wanataga. Hutaga yai 1 tu ila cjajua ni ktk kpnd gani.
Narudi
Haya Nicas nitaanza kuvizia nnaweza okota yai la jogoo siku moja.
Duh, ndio naondoka hapa "LEO TUPO HAPA PUB"
Kwa kweli hii Birthday Party imeacha simulizi maana watu wamekunywa, kula na kusaza..........
Chit Chat iko juu jamani.......
wala usihofu mkuu, kuna kitu tunaandaa mimi na Mjeda, na kitakuwa si cha kawaida, stay tune.....................hongera sana Muandaaji mwandamizi.. Nikija dar itabd kusanyiko lingine liandaliwe.
Narudi
Imenoga ila Madame B kaondoka mapema huyo na sikawaida yake labda atatujuza ni kwanini kaacha party ya shoga yake!
Cc Mtambuzi, ruttashobolwa, Paloma, Zion Daughter, Kaizer, amu, Jesca, kipaji halisi,
Hongeren sana guys. Nimefurah kuzungumza nany wote.Mc Madame B mwenye kipaji cha pekee hakikisha hapo pananoga, Paloma hongera sana. Usisahau mkataba wetu mpya. Jeska uje Mwanza nkununulie kikuku kingine, Zion Daughter ahsante kwa kuniwakilisha, Kaizer pia 2pia biere 2 kwa niaba yangu Hommie, Ruttashobolwa simamia haki na usawa, kipaji halisi onesha kipaji chako cha kucheza kiduku, Bujibuji angalia yaskukute ya white party. Halafu amu una kesi ya kujibu..
Narudi