Kuna jipya?
Ninasikiliza ITV sasa hivi, katika kata moja katika jimbo la Mwanga imetangazwa kuwa mmoja wa mawakala wa CCM amegundulika kuwa ni mmoja wa Green Guard member. Amekabidhiwa kwa kwa polisi lakini hatujui nini kitafuata
Mnaosikiliza mnaweza kushuhudia.
upo sahihi mkuumakoye
kwenye vituo vya watu 300 ndo wamejitoeza hao 200 labda
vituo vyengine wamesema watu 95% wamefika na kupiga kura