Maswa kuna mdau amebambwa na karatasi halali la kupigia kura akizitumbukiza nyingi baada ya kupewa na msimamizi. Na alipobanwa alisema kuwa walifundishwa.
Habari kutoka Maswa, kuna mtu amekamatwa na kura zaidi 5 wakati 2 akiwa ameshaweka alama na kutumbukiza kwenye masanduku.
Uchaguzi huu ni full of s$^&*%t. Na karatasi hizo tayari zilikuwa zimeshawekwa tiki kwenye wagombea wa CCM. Polisi bado wanaendelea na uchunguzi lakini sijui kama haki hapa inatendeka....tusubiri.
Hilo la Maswa limenishtua sana kwani huyo ndiye kakamatwa je ni wangapi waliofaikiwa kuzitumbukiza bila kugundulika?
Nadhani kwa maeneo kama hayo inabidi uchaguzi uahirishwe kwani hatuna uhakika kama matokeo yata-reflect uhalisia wa matakwa ya wananchi.
Ahsante Superman na team, mie najaribu kuwafatilia kwa karibu sana, najaribu kusikilizia kule jikoni kinachoendelea kuna mtu ananijuza toka huko, nitawahabarisha!