Elections 2010 Live From TV's: Upigaji wa kura, matokeo na yatokanayo

Elections 2010 Live From TV's: Upigaji wa kura, matokeo na yatokanayo

Maswa kuna mdau amebambwa na karatasi halali la kupigia kura akizitumbukiza nyingi baada ya kupewa na msimamizi. Na alipobanwa alisema kuwa walifundishwa.

Mambo hayo

Source: ITV

Na amesema ni watu wa CCM

Guuuush eti mtu akifika anaonesha vidole vitatu hapo anampa karatasa 3 za URAIS ILI AMPIGIE JK
 
Habari kutoka Maswa, kuna mtu amekamatwa na kura zaidi 5 wakati 2 akiwa ameshaweka alama na kutumbukiza kwenye masanduku.
Uchaguzi huu ni full of s$^&*%t. Na karatasi hizo tayari zilikuwa zimeshawekwa tiki kwenye wagombea wa CCM. Polisi bado wanaendelea na uchunguzi lakini sijui kama haki hapa inatendeka....tusubiri.
 
Hilo la Maswa limenishtua sana kwani huyo ndiye kakamatwa je ni wangapi waliofaikiwa kuzitumbukiza bila kugundulika?
Nadhani kwa maeneo kama hayo inabidi uchaguzi uahirishwe kwani hatuna uhakika kama matokeo yata-reflect uhalisia wa matakwa ya wananchi.
 
Baadhi ya vituo mawakala wa vyama hawajajitokeza kabisa.
 
Kwa tukio la maswa ni sahihi kukataa matokeo,si uchaguzi huru tena
 
Segerea - kituo cha Magufu A (Chang'ombe)

Wapiga kura 147

Urais

CCM -72,
CHADEMA - 71,
CUF - 3,
NRA, TLP & APPT - 0.

Uubunge

CCM - 60,
CHADEMA - 72,
CUF - 8,
NCCR - 0,
TLP - 1.

Diwani

CCM - 64,
CHADEM - 64,
CUF - 19​

 
Ahsante Superman na team, mie najaribu kuwafatilia kwa karibu sana, najaribu kusikilizia kule jikoni kinachoendelea kuna mtu ananijuza toka huko, nitawahabarisha!
 
Zanzibar Presidential Results

1) Kituo Cha Bwawani-Unguja

Maalaim seif Shariff CUF 593
Dr Shein CCM 141

Jimbo la Chake Chake-Pemba
Kituo cha Michakaini
Maalim Seif CUF 956
Dr. Shein CCM 246.
Kituo cha Ngwachani
Maalim 623,
Shein 132.​

 
Maalim Seif anachukua Nchi Zenji . . . . .

SAWA SAWA?
 
Ninachofurahi ni kuwa kituo changu cha Mapambano A Sinza CHADEMA Inaongoza kisha CHECHEMEEE na KAFA...
 
Nyamagana Mwanza Uchaguzi wa Madiwani kata ya Mkuyuni na Iyombo umeahirishwa . . . . : ITV
 
Back
Top Bottom