Habari zinasema bado hali ni tete katika vituo mbalimbali vya jimbo la Ubungo kwani hapo Sinza Vatican matokeo hayajabandikwa na wananchi wanashinikiza yabandikwe na polisi wanatisha wananchi.
Tumemuomba Mungu na tukawa upande wake na ndio maana mabadilko yamefika Tanzania.Kibanga ampiga Mkoloni anaripoti:
Udiwani = manzese,tandale,kijitonyama kisiwani,mwanayamala
Manzese = Chadema - CCM Chali
Tandale = CUF - Retained
Kijitonyama Kisiwani = Chadema - Retained
Mwananyamala = CUF - CCM Chali.
Nimeongea na wakala wa Chadema Kijitonyama Kisiwani amenipa hiyo taharifa yupo njiani saa hizi kwenye saannne amenihaidi kunipa matokeo in figures.
So far so good, big up sana Superman thanx alot 4 doin what u are doin, nipo na wewe tangu jana unajiandaa na hii shughuli na mpaka unaamka na kuwahi kupiga kura na mpaka sasa upo unajituma, inatia moyo sana, mimi hapa nipo najaza jedwali langu taratibu tu na jinsi matokeo yanavyokuja na mpaka sasa kwa matokeo yote yaliopitia hapa kwako ni kwamba Dr Slaa ana 7274 na JK ana 3850. Bia inashuka kiulaini kama kumsukuma mlevi.
na hizo za sinza DR Slaa-7808, na JK-4223. twende kazi.
Asante sana lete raha ndani ya roho!Kutoka Sinza
TGS D said:Tukuyu ushirika,
Urais:
chadema - 700,
ccm 400,
Mbeya mjini kituo cha azimio,
Urais:
chadema - 101,
ccm - 43,
Kituo cha Mwenge,
Ubunge:
chadema - 130,
ccm - 33,
Kituo cha kilimo 1,
Urais:
chadema - 119,
ccm - 29,
Kituo 2,
Urais:
chadema - 109
ccm - 39.
Habari toka Vwawa, chadema inaongoza mji unazizima kwa shangwe!
Mbeya oyeee!
Asante sana lete raha ndani ya roho!
Pentest said:Mkoa wa Mwanza
Nyamagana
Kituo cha hesawa
Wenje 126
Masha 78
Kituo cha BOT
Wenje 111
Masha 71
Kituo cha Kauma
Wenje 135
Masha 38
Kituo cha saa nane
Wenje 120
Masha 30
Thanks Mkuu!
So, kulingana na matokeo kutoa Star TV kwa IRINGA MJINI ni hivi....
CCM = 441
CHADEMA = 709
CCM wameshindwa tayari wajameni!! Makamba na Kinana chupi zimewabana mida hii!
Wanabodi,
Sasa hivi nimepigiwa simu na rafiki yangu yuko kwenye Kitengo Cha Inteligensia cha CCM, amesema CCM imeshashinda kwa Over and Obove 80%. JK ataapishwa Ijumaa Saa 4 Asubuhi Uwanja wa Taifa!.
Naombeni msinisakame au kunifananisha na MS!.
habari ndio hiyo!.