Elections 2010 Live From TV's: Upigaji wa kura, matokeo na yatokanayo

Elections 2010 Live From TV's: Upigaji wa kura, matokeo na yatokanayo

Habari zinasema bado hali ni tete katika vituo mbalimbali vya jimbo la Ubungo kwani hapo Sinza Vatican matokeo hayajabandikwa na wananchi wanashinikiza yabandikwe na polisi wanatisha wananchi.

Hao watu wasikubali kutoa upenyo wa kuchezea takwimu...
 
Kibanga ampiga Mkoloni anaripoti:

Udiwani = manzese,tandale,kijitonyama kisiwani,mwanayamala
Manzese = Chadema - CCM Chali

Tandale = CUF - Retained

Kijitonyama Kisiwani = Chadema - Retained

Mwananyamala = CUF - CCM Chali.

Nimeongea na wakala wa Chadema Kijitonyama Kisiwani amenipa hiyo taharifa yupo njiani saa hizi kwenye saannne amenihaidi kunipa matokeo in figures.
Tumemuomba Mungu na tukawa upande wake na ndio maana mabadilko yamefika Tanzania.
 
So far so good, big up sana Superman thanx alot 4 doin what u are doin, nipo na wewe tangu jana unajiandaa na hii shughuli na mpaka unaamka na kuwahi kupiga kura na mpaka sasa upo unajituma, inatia moyo sana, mimi hapa nipo najaza jedwali langu taratibu tu na jinsi matokeo yanavyokuja na mpaka sasa kwa matokeo yote yaliopitia hapa kwako ni kwamba Dr Slaa ana 7274 na JK ana 3850. Bia inashuka kiulaini kama kumsukuma mlevi.
na hizo za sinza DR Slaa-7808, na JK-4223. twende kazi.

Du! Mkuu umenichekesha mpaka nimetoa machozi.

Kila la heri Mkuu.

Ila kumbuka hadi sasa, matokeo haya siyo official.
 
IRINGA MJINI wamefanya kufuru, ila Njombe kidogo wametuangusha to be sincere
 
Is this true?
TGS D said:
Tukuyu ushirika,

Urais:
chadema - 700,
ccm 400,

Mbeya mjini kituo cha azimio,

Urais:
chadema - 101,
ccm - 43,

Kituo cha Mwenge,

Ubunge:
chadema - 130,
ccm - 33,

Kituo cha kilimo 1,

Urais:
chadema - 119,
ccm - 29,

Kituo 2,

Urais:
chadema - 109
ccm - 39.

Habari toka Vwawa, chadema inaongoza mji unazizima kwa shangwe!

Mbeya oyeee!
 
Sasa Star Tv wanatoa matokeo, kwa creen scrolls. Mamaa ananakili nitawarushia punde:
 
Moja, mbili, tatu, ANZA, halifichikiii, halifichiki, pembe la ng'ombe, halifichiki ndo asili yake halifichiki, ITIKIA TENA, Cheza kidogo, cheza kidogo, hapa tunawachezesha CCM sasa
 
Asante sana lete raha ndani ya roho!

Mkuu, historia kama hizi siyo watu wote wamepata bahati ya kuziona...I will be among the proud guys in my generation to witness this U-turn in our history!!

Tuko pamoja mkuu.
 
Iringa Mjini:

Tawegoro:

CCM 144
CHADEMA 196

IDYD:
CCM 113
CHADEMA 162
NCCR 12

SOKO KUU:

CCM: 66
CHADEMA 132

ZIMAMOTO-1:

CCM 61
CHADEMA 113

ZIMAMOTO 2:

CCM 87
CHADEMA 106:

Source: Star TV
 
Mwanza

Pentest said:
Mkoa wa Mwanza
Nyamagana
Kituo cha hesawa

Wenje 126
Masha 78

Kituo cha BOT

Wenje 111
Masha 71

Kituo cha Kauma
Wenje 135
Masha 38

Kituo cha saa nane
Wenje 120
Masha 30
 
Pentest anaripoti: MASHA OUT!

Masha out nyamagana
Mkoa wa Mwanza
Nyamagana
Kituo cha hesawa

Wenje 126
Masha 78

Kituo cha BOT

Wenje 111
Masha 71

Kituo cha Kauma
Wenje 135
Masha 38

Kituo cha saa nane
Wenje 120
Masha 30
 
So, kulingana na matokeo kutoa Star TV kwa IRINGA MJINI ni hivi....

CCM = 441

CHADEMA = 709

CCM wameshindwa tayari wajameni!! Makamba na Kinana chupi zimewabana mida hii!
 
So, kulingana na matokeo kutoa Star TV kwa IRINGA MJINI ni hivi....

CCM = 441

CHADEMA = 709

CCM wameshindwa tayari wajameni!! Makamba na Kinana chupi zimewabana mida hii!

Bado mkuu.. Let's hang on...
 
Pasco naye anatuhabarisha:

Wanabodi,

Sasa hivi nimepigiwa simu na rafiki yangu yuko kwenye Kitengo Cha Inteligensia cha CCM, amesema CCM imeshashinda kwa Over and Obove 80%. JK ataapishwa Ijumaa Saa 4 Asubuhi Uwanja wa Taifa!.
Naombeni msinisakame au kunifananisha na MS!.

habari ndio hiyo!.
 
Back
Top Bottom