babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
SUPERMAN,DC,ELLI,:smile-big:GOOD JOB MAN ,naona mkuu super toka monii unaripoti hapa kazi nzuri ndg yangu,mi mpaka hapa nishajua rais ni nani ngoja nikalale,maana kesho box linasubiri.lakini hizi update ninazo ntazifuatilia toka saa 12 usubuhi.watanzania tumeamka walai.:smile:
Zitto confirm tayari, visit Zitto na Demokrasia
duh hapa ndio ninapochukia politiki.maana mpaka nimekugongea ze nidful,wakati nilitaka niku quote kwa habari mbaya za pasco.ah basi mshatukata stimu.:rip:Pasco naye anatuhabarisha:
Kigoma bado matokeo rasmi hayajatolewa..ITV
Tanga mjini upuuzi mtupu. Msimamizi anawapigia simu wasimamizi wasaidizi wanaonyesha kuwa CUF anaongoza katika kata nyingi lakini wanachelewa kupelekeka hayo matokeo kwenye ofisi za jimbo.
I guess CCM wanatafuta njia ya kuchakachua.
Mkoa wa Magharibi - Zanzibar
Dole - Zanzibar
Urais.
CCM = 4,777
CUF = 2,007
Bimani.
CCM = 6,225
CUF = 4,898
Kihembe Samaki
CCM = 2,754
CUF = 1,041
Mwanakwerekwe.
CCM = 4,338
CUF = 2,812
Muhugu
CCM = 4,458
CUF = 4,119
Mfenesini.
CCM = 3,755
CUF = 2,246
CUF wameweza kupata jimbo la mtoni huko Unguja kwa kura (CUF - 4,377). CUF haijawahi kushinda jimbo lolote Unguja. This is a good start.
Sikuweza kuweka matokeo ya vyama vingine maana wamepata namba za viatu.