Zanzibar vipi tena huko? nilijua cuf wanachukua urais naona kw ahesabu zenu hapo sijui kama watafanikiwa au bado ?
Majimbo hayo yote ni kutoka Unguja. Majimbo yote yalikuwa yanashikiliwa na CCM kabla ya uchaguzi.
Hapana mkuu,
Ukijumlisha hizo kura, utaona kuwa CUF wamepata tayari zaidi ya 30% hapo Unguja. Kwa kuwa kule Pemba haiwezi kupata hata 20% ndo maana tayari CCM imeshalizwa...
kwa ushindi wa Nyamagana, Mwanakijiji lazima acheze "bampini" kwenye wheelchair yake!! lol
Masha, Batilda, Mramba, Mkuchika maji ya shingo
MWENENDO wa matokeo ya awali yaliyokuwa yakikusanywa hadi jana usiku yameonyesha kuwa vigogo takribani wagombea 10 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wana hali ngumu.Taarifa zilizokusanywa na Mwananchi katika majimbo mbalimbali zinaonyesha kuwa Philip Marmo (Mbulu), Lawrance Masha (Nyamagana), Dk Batilda Buriani (Arusha Mjini), Kapteni George Mkuchika (Newala) na Basil Mramba(Rombo)hali zao ni ngumu katika uchaguzi huu.
Source: Gazeti la Mwananchi (today)
Unastahili pongezi mkuu, Hongera kwa kazi nzuri uliyoifanya ni haki yako kupumzika sasa. See u in the morningMkuu nawashukuru sana kwa kampani...tutaonana asubuhi..Ngoja nipashe joto kitanda kidogo and will be back soon.
Mkuu nimerudi pongezi nakupa maana naona upo full Charge. Big up Indume Yene
Mbeya Mjini.
Ngazi ya udiwani.
CCM imeshinda kata 20
CHADEMA imeshinda kata 14
NCCR imeshinda kata 2.
Masha, Batilda, Mramba, Mkuchika maji ya shingo
MWENENDO wa matokeo ya awali yaliyokuwa yakikusanywa hadi jana usiku yameonyesha kuwa vigogo takribani wagombea 10 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wana hali ngumu.Taarifa zilizokusanywa na Mwananchi katika majimbo mbalimbali zinaonyesha kuwa Philip Marmo (Mbulu)[/B], Lawrance Masha (Nyamagana), Dk Batilda Buriani (Arusha Mjini), Kapteni George Mkuchika (Newala) na Basil Mramba(Rombo)hali zao ni ngumu katika uchaguzi huu.
Source: Gazeti la Mwananchi (today)
Mbona kama ITV sasa hivi wanazuia asisema Kura za Rais au ni km naskia vibaya.. washapgwa mkwara nin!! wasilete miyayusho awa jamaa unajua watu tunataka changes afu wanataka kuleta miyayusho.. tangazeni matokeo ITV achen woga'
ni ujinga huu sijuhi anaogopa nini ,yeye anatangaza idadi ya kura sehemu fulani
Ninamshangaa Rainfred Masako kwani kutangaza matokeo hayo ndiyo kumtangaza mtu kuwa kashinda? Nadhani anaogopa vitisho kuwa anayetakiwa kutangaza matokeo ni NEC. Haelewi kuwa yale yanayotangazwa vituoni inamaanisha NEC imekwisha tangaza.