Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
- Thread starter
-
- #61
Kiukweli leo ndio ilikuwa nafasi nzuri ya kumvua taji huyu jamaa. Sasa kwa mwendo huu huenda rekodi ya miaka 26 UCL ikavunjwa na hawa Real. Otherwise labda Bayern wapangiwe nao maana msimu huu wako fiti ukilinganisha na mwaka jana.
Mpira umeisha mkuuMpira unaanza saa ngapi wadau?
Huku bongo tunajua game za Uefa huwa zinapigwa saa tano kasoro, leo vipi?
Watoto wadogo leo wote wamelala na viatu,,,tunashuhudia Nusu Fainal moja tamu sana.View attachment 245899
Kumbe game imekwisha, dah nimeikosa, siku nyingine waleta mada waandike na muda wa kuanza mpira ili tuwe attention.Mpira umeisha mkuu
Monaco 0-0 Juventus...Agg 0-1
Real Madrid 1-0 Atletico...Agg 1-0
No Benzema, Bale, Modric and Marcelo.
Real lazima wakae
Leo ndio tutaona jinsi Ronaldo alivyo butu....mleta mada una mbwembwe (sound like dauda).....Atletico anashinda na ww utashindwa kulamba sikio kwa ulimi.. kule kwenye sumaku na mbao kutabaki kama ulivyobashiri
Real madrid leo lazima afe...
Chomba, hizi game za Leo c kama za Jana. Hizi ngumu. Juve na real Madrid wanafuzu kwa semi
waite wenzio waje na blaa blaa zao
Utaelewa tu ninacho sema.