LIVE: Hapa Madrid na Atretico kule Monaco na Juve

LIVE: Hapa Madrid na Atretico kule Monaco na Juve

Kiukweli leo ndio ilikuwa nafasi nzuri ya kumvua taji huyu jamaa. Sasa kwa mwendo huu huenda rekodi ya miaka 26 UCL ikavunjwa na hawa Real. Otherwise labda Bayern wapangiwe nao maana msimu huu wako fiti ukilinganisha na mwaka jana.


hio rekodi anayo nani?
 
Mpira unaanza saa ngapi wadau?
Huku bongo tunajua game za Uefa huwa zinapigwa saa tano kasoro, leo vipi?
 
Watoto wadogo leo wote wamelala na viatu,,,tunashuhudia Nusu Fainal moja tamu sana. ImageUploadedByJamiiForums1429735993.341393.jpg
 
Mpira umeisha mkuu

Monaco 0-0 Juventus...Agg 0-1

Real Madrid 1-0 Atletico...Agg 1-0
Kumbe game imekwisha, dah nimeikosa, siku nyingine waleta mada waandike na muda wa kuanza mpira ili tuwe attention.
Kwa mwendo huo Madrid na Juventus wamepita, ningependa sana Madrid akutane na Barcelona semi fainali ili tuone game mbili wakipambana, vita ya mastaa.
 
Chichalito ni foward makin kwanza anategemewa hata kwenye timu yake ya taifa madrid ingekuwa inampanga mara kwa mara kazi mngeiyona
 
Leo ndio tutaona jinsi Ronaldo alivyo butu....mleta mada una mbwembwe (sound like dauda).....Atletico anashinda na ww utashindwa kulamba sikio kwa ulimi.. kule kwenye sumaku na mbao kutabaki kama ulivyobashiri


sijaanza jana au juzi kuandika thread humu...na thread zangu always zimeweka wazi mahaba yangu na ubashiri wangu pia...
so next time ukiikuta thread ya Gang Chomba basi wewe mwaga pumba au porojo kisha bwaga...

karibu tena
 
Mungu Ibariki Athletico Madrid.

Amen!

CC everlenk na Watu8. Njooni tuwaombee dua baya watani zetu.

Real wameokota dhahabu ufukweni mpwa....

Dakika za lala salama wamefanya wafanyayo na kumtoa Atletico...
 
Last edited by a moderator:
waite wenzio waje na blaa blaa zao

Binafsi nilitamani Atletico apite sio kwa sababu Real Madrid ni mbaya la hasha...

Nilitamani kushuhudia nusu fainali yenye timu zinazopiga mpira wa kitemi yaani Bayern, Atletico na Juve...

Real Madrid ya sasa hawana sumu zile za kitemi...
 
Back
Top Bottom