binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,966
- 47,296
Sana, next to Lissu.Heche ana kipajo kikubwa sana Cha kuhamasisha watu.
Hotuba ya Heche ilikuwa ya muhimu sana kwa kipindi kama hiki, Viva Heche.
Sana, next to Lissu.Heche ana kipajo kikubwa sana Cha kuhamasisha watu.
heche anaweza kweli kumu-outshine Lema? Na alivyovurunda vile kizimbani?
huenda ana stress za kiwango cha juu mno heche 🐒
kwamba kinyonge hivyo na kwa dhana hiyo ya kujiabisha ndio unaweza kumnyamazisha mwanasiasa gentleman?Lema hana kitu bora anyamaze tu maana atajihaibisha na kujishuhsha thamani
Si onaona kama wewe hazimo kichwa kavurunda heche wamevurunda mawakili wa selekali kesi ya uhaini haikuzungumziwa badala yake wanapeleka ishu binafsi zinazomuhusu heche mwenyeweheche anaweza kweli kumu-outshine Lema? Na alivyovurunda vile kizimbani?
huenda ana stress za kiwango cha juu mno heche 🐒
Kavurunda wapi?heche anaweza kweli kumu-outshine Lema? Na alivyovurunda vile kizimbani?
huenda ana stress za kiwango cha juu mno heche 🐒
Katuga ni wakili kanjanja bush Loyer ni wakili wa hovyo sana kaenda kudukua Account binafsi akidhani itamtoa Heche kwenye Reli, kumbe kasahau kuwa watanzania siyo wajinga watadai na yeye adukuliwe Account zake na mawakili wenzake ili aache ujingaSi onaona kama wewe hazimo kichwa kavurunda heche wamevurunda mawakili wa selekali kesi ya uhaini haikuzungumziwa badala yake wanapeleka ishu binafsi zinazomuhusu heche mwenyewe
Na hiyo ndio dawa yao wameshida kuwasilisha ushahidi utakaoonyesha lisu ni muhaini wanapeleka vitu binafsi mahamaniKatuga ni wakili kanjanja bush Loyer ni wakili wa hovyo sana kaenda kudukua Account binafsi akidhani itamtoa Heche kwenye Reli, kumbe kasahau kuwa watanzania siyo wajinga watadai na yeye adukuliwe Account zake na mawakili wenzake ili aache ujinga
Hivi bado ipo mtaa wa Ufipa ama mna mpango wa kuihamishia Dodoma?CHADEMA partyHeadquarters